Tunasisitiza haki kutendeka kwa mashehe wa Kiislamu wa Uamsho kutoka Zanzibar

Nao sio wote, huo mkondo alioenda ndio kakosea kabisa. Wazungu ni wahanga wa ugaidi wa hao mashehe. Yaani hapa hakuna mzungu atam support Mwamakula kwa lolote. Kajiingiza kwenye mdomo wa mamba hata akienda kuomba Visa ya kusafiri nchi za wazungu hapati kama ilivyo kwa shehe Ponda ni blacklisted kwa wazungu. Mwamakula ka ji register mwenyewe kwenye blackist kwa hili tamko.

Basi hao wazungu wako wanaokutambua wewe ni "SOKWE" usie na thamani hata chembe, utazikwa nao kaburi moja. Sawa mzee!
 
Binafsi nafurahia mashehe kuwa ndani na natamani wateswe zaidi. Ugaidi walio kuwa wakihubiri na kuuhimiza hadharani ulikua unaelekea kuichafua nchi yetu totally. Waendelee kuwekwa kizuizini kwa maslahi mapana ya nchi...

Unaweza leta uthibitisho kama wao ni magaidi? Na je, wamelipua sehemu gani hapa nchini utuletee huo ushahidi!!! Acha kuropoka ndugu yangu, ipo siku yatakukuta kama sio wewe basi katika familia yenu, "watu wengi binadamu wachache" unathubutu kufurahia wenzio kuwa ndani na kutamani wateswe zaidi!!!!! Kwanza una guarantee gani na Mungu kama utaishi milele!!!! Subiri yakupate ndio utachekelea vizuri. Kama ningelikua Moderator watu kama ninyi ni kupiga life ban.
 
Wale ni magaidi mkuu, that is the fact.

Kumbuka walikamatwa kipindi cha utawala wa kikwete so it has nothing to do with issues za udini.

Tulishuhudia uchomaji moto wa makanisa na kumwagiana tindikali yote hayo yamekoma baada ya hao kuwekwa mahali watulie.
 
Yafungulieni muone yalinyanyasa sana serikali ya waislamu wenzenu Shein na Kikwete yakasumbua Zanzibar kuua utalii kwa Shein halafu yakahamia Tanzania bara yakaanza kuua watu na askari kibiti mkuranga na Rufiji .yakatimliwa yakatimkia msumbiji yarudisheni tena kwa kuwafungulia jela yawaonyeshe cha mtema kuni zanzibar na bara mikundi ya kigaidi ya Msumbiji mtashtukia imerudi Zanzibar na Tanzania bara
 
Yani wewe unaongea vitu ambavyo hata mtoto wa miaka mitano huwezi mdanganya. Ili tuamini unachokisema, naomba utoe ushahidi na sio kuropoka tu.

Una ushahidi gani kama wao ni magaidi???

Na je, una ushahidi kamili kama ni wao ndio walihusika kuuwa watu na askari kibiti mkuranga???
 
Wale ni magaidi mkuu, that is the fact.

Kumbuka walikamatwa kipindi cha utawala wa kikwete so it has nothing to do with issues za udini.

Tulishuhudia uchomaji moto wa makanisa na kumwagiana tindikali yote hayo yamekoma baada ya hao kuwekwa mahali watulie.

Mkuu, mnawatuhumu kuwa ni magaidi, je kuna ushahidi gani kama wao kweli ni magaidi na wahusika wa kibiti???? Je, kesi yao imesikilizwa??
 
Mlaaniwa Sheikh Rogo alikuwa GAIDI

Mlaaniwa Sheikh Ilunga Alikuwa GAIDI

Hata humu kuna wasio na akili wengine magaidi hata katika mindset zao.

Tatizo ile ahadi ya bikira 72 inawapa kiwewe sana hawa Waislam
 
Mmh ngoma ngumu sana hii kwa mama...
 
Sasa unastaajabu hilo leo? Hao ndio zao...Dini yao inawahimiza kabisa kuuwa wote wasio waislam.

Wanataka waishi peke yao duniani
Una maanisha hii dini ya Mama Samia rais wa Tanzania? sasa itakuaje Mama Samia akianza kutekeleza maamlisho ya dini yake kwa kuanza kuuwa wote wasio waislamu?
 
Mlaaniwa Sheikh Rogo alikuwa GAIDI

Mlaaniwa Sheikh Ilunga Alikuwa GAIDI

Hata humu kuna wasio na akili wengine magaidi hata katika mindset zao.

Tatizo ile ahadi ya bikira 72 inawapa kiwewe sana hawa Waislam
Sasa hapo kwa mfano nchi angeichukua Cuf ile ya Maalim seifu unadhani ingekuaje?
 
Una maanisha hii dini ya Mama Samia rais wa Tanzania? sasa itakuaje Mama Samia akianza kutekeleza maamlisho ya dini yake kwa kuanza kuuwa wote wasio waislamu?
Huyu mama hana akili ya kipumbavu hivyo, sio narrow minded hivyo
 
Kama walibambikizwa kesi watatoka salama salimini
 
Ushahidi wa kimazingira unaonesha kwamba baada ya kukamatwa wao na yale matukio ya uhalifu yalikoma,hivyo inawezekana walihusika moja kwa moja na huo uhalifu uliyokuwa ukitokea au pengine hawakuhusika moja kwa moja ila walikuwa ndio kichocheo cha hayo matukio ya uhalifu.
 
Back
Top Bottom