mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Tulia!!! Suala la uislam usiliingize hapa!! Rais Shein na Rais Kikwete pia ni Waislam!! Ndio walikuwa viongozi wakuu wakati matukio ya kigaidi yaliyopelekea watuhumiwa hawa kukamatwa. Kwa hiyo al shabaab huko Somalia wakikamatwa waachiwe tu kwa kuwa ni waislaam!!Madai haya hapo ya mdau wa JF ananiuliza .
Wewe umezaliwa lini?
Unajua waliingia kwa kosa gani na nini kikichosababisha wapelekwe huko?
Kama hujui lejea wakatibwa matamkobyao na matuku9byaliyokuwa yanatendeka huko zanziba.
Mara makanisa kuchomwa na mapadri kupigwa risasi na watalii pia kupigwa risasi,
Kuna mashee wasio wa uamsho walitegwa milipuko kwenye majumba yao
Sasa iam hujui historia hiyo ukae kimya.
Na toka walipokamatwa zamziba iko shwari mpaka sasa hakuna ujingaujinga.
Ameandika kuhusiana na mashekhe wa Taasisi ya Uamsho,bahati mbaya ushahidi huo haupo mahakamani na kama upo aupelekea ili kesi iamuliwe. na moderators tukiandika habari za kuwazungumzia mashee wa Taasisi ya uamsho mnakuja mbio mnaondoa,kwa vile ni waislamu au inakuwaje hapo ?
Unachoamua kukifumbia macho ni kuwa ugaidi duniani umeua waislam wengi kuliko wa dini zingine!! Al-kaida wanasema ni waislaam alshabaab wanasema ni waislaam, boko haram wanasema ni waislaam na mashehe wa uamsho wanasema ni waislam, Taliban wanasema ni waislam, lakini hao wanaosema ni waislam wanapigaga mabomu hadi miskitini!!
Kwa hiyo mamlaka zinazohusika zinapochukua hatua za kulinda raia wake inabidi tuelewe!! Tuhuma za ugaidi si za kushughulikia haraka haraka tu!! Haki itatendeka tu!!