Tunasisitiza haki kutendeka kwa mashehe wa Kiislamu wa Uamsho kutoka Zanzibar

Tulia!!! Suala la uislam usiliingize hapa!! Rais Shein na Rais Kikwete pia ni Waislam!! Ndio walikuwa viongozi wakuu wakati matukio ya kigaidi yaliyopelekea watuhumiwa hawa kukamatwa. Kwa hiyo al shabaab huko Somalia wakikamatwa waachiwe tu kwa kuwa ni waislaam!!
Unachoamua kukifumbia macho ni kuwa ugaidi duniani umeua waislam wengi kuliko wa dini zingine!! Al-kaida wanasema ni waislaam alshabaab wanasema ni waislaam, boko haram wanasema ni waislaam na mashehe wa uamsho wanasema ni waislam, Taliban wanasema ni waislam, lakini hao wanaosema ni waislam wanapigaga mabomu hadi miskitini!!
Kwa hiyo mamlaka zinazohusika zinapochukua hatua za kulinda raia wake inabidi tuelewe!! Tuhuma za ugaidi si za kushughulikia haraka haraka tu!! Haki itatendeka tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…