Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Dogo Serikali inaenda hatua kwa hatua. Ilianza na Ole Sabaya. Sasa hivi inamshughulikia Gaidi Mbowe. Baada yake itaangalia nani anafuata. So, be patient!Tunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia.
Tnataka awajibishwe
Nyinyi wauza madawa aliwanyoosha sana mpaka sasa hivi wengine wako jela wananyea madebe. Naona mmeshindwa kurudi kwenye biashara zenu. Jaribuni kurudi muone cha mtema kuni mkanyee debe kama Gaidi Mbowe hahahahaha...bashite anatakiwa kuwa indicted. na jinai haifi. pia mali zake na majumba kule mwanza na hapo dsm kuna siku vitanyang'anywa tu. hivi wale walioporwa mipesa si wajitokeze wachukue mpunga wao, sasahivi hana nguvu yeyote.
Nimesema angalau yeye nape hakutoa uhai wa watu, ni mwenzetu kisiasa kama mpinzani wetu....goli la mkono la Nape lilikuwa la kisiasa zaidi kuliko mtu aliyetesa nafsi na kupora magari na mipesa. ile clip ya clouds hadi umoja wa mataifa wanayo. siku kesi ikianza hadi Pompeo atakuja kutoa ushahidi kwasababu watu wengi wanamtamani balaa.
aliwanyoosha kwa kunyang'anya pesa na magari. mtu pekee aliyekuja kuteketeza wauza unga ni yule Kamishna wa madawa aliyestaafu Mmasai, akaja pia Kamishna Kaji, na sasa kamishna huyu mpya, hawa wanafanya kazi kwa welezi sio kisiasa.Nyinyi wauza madawa aliwanyoosha sana mpaka sasa hivi wengine wako jela wananyea madebe. Naona mmeshindwa kurudi kwenye biashara zenu. Jaribuni kurudi muone cha mtema kuni mkanyee debe kama Gaidi Mbowe hahahahaha...
Naunga mkono hoja, pia nitakuwa tayari kujitolea kutoa ushahidi kama Mzee wa vilipuzi nawasbirika wake🏋️.Tunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia.
Tnataka awajibishwe
Ushahidi ni kazi ya polisi mwenye ridhaa ya mashtaka kufunguliwa sio polisi tu ukiwa mwana-ccm kindakindaki.Ushahidi wa bashite sio wa kuokoteza kama wa Mbowe
Hivi hujui hata hiyo Idara ya Kupambana na Madawa ilikuwa haijaanzishwa wakati sheria ilikuwa imeshapitishwa na Bunge na Kusainiwa na Rais muda mrefu tu!! Bila movement ya kupambana na hao wauza madawa iliyofanywa na Makonda may be nyinyi wauza madawa msingekuwa mmethibitiwa?aliwanyoosha kwa kunyang'anya pesa na magari. mtu pekee aliyekuja kuteketeza wauza unga ni yule Kamishna wa madawa aliyestaafu Mmasai, akaja pia Kamishna Kaji, na sasa kamishna huyu mpya, hawa wanafanya kazi kwa welezi sio kisiasa.
kati ya watu wote wanaouza unga bashite alimkamata nani zaidi ya kuwachafulia majina tu na hakuna kilichotokea? hao kina Rizmoko aliowataja kulikuwa na ukweli? kama kulikuwa na ukweli wamefanywa nini? alikuwa anakuomba hela ukikataa anakutishia kukutaja, halafu anakutaja kweli.
kuna watu wengine kama kina manji, ipo wazi hawauzi unga, ila wanabwia unga, ni mateja, huwezi kumtreat teja kama muuza unga kwasababu teja ni victim anahitaji msaada.
mali za bashite zikilinganishwa na cheo chake atatakiwa apokonywe everything. alikuwa na mipesa hadi alikuwa anagawa kwa kina Kaseja na Manula kama....vile.mwanaume unampa mwanaume mwenzio hela....aibu gani hii?
Kuwa na adabu! Nitakupiga tofali maana humu JF lazima muda mwingine kuweka chekeche ubaki na sensible ones to respond to!Dogo Serikali inaenda hatua kwa hatua. Ilianza na Ole Sabaya. Sasa hivi inamshughulikia Gaidi Mbowe. Baada yake itaangalia nani anafuata. So, be patient!
Acha biashara ya madawa ya kulevya wewe!Tunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia.
Tnataka awajibishwe
Jibu hoja acha nyege nshindoMimba ya magufuli na makonda itawatoa roho hapo ufipa
acha ujinga, kati ya movement zote za Bashite, ni ipi iliwahi kufanikiwa? kudhalilisha wanawake waliozalishwa watoto/watoto wa kambo, madawa ya kulevya, mashoga, kutokuja mjini bila kuoga n.k,Hivi hujui hata hiyo Idara ya Kupambana na Madawa ilikuwa haijaanzishwa wakati sheria ilikuwa imeshapitishwa na Bunge na Kusainiwa na Rais muda mrefu tu!! Bila movement ya kupambana na hao wauza madawa iliyofanywa na Makonda may be nyinyi wauza madawa msingekuwa mmethibitiwa?
Atafuata yeye Retired muuza madawa.Dogo Serikali inaenda hatua kwa hatua. Ilianza na Ole Sabaya. Sasa hivi inamshughulikia Gaidi Mbowe. Baada yake itaangalia nani anafuata. So, be patient!
Vipi biashara yako ya madawa umeshaacha?acha ujinga, kati ya movement zote za Bashite, ni ipi iliwahi kufanikiwa? kudhalilisha wanawake waliozalishwa watoto/watoto wa kambo, madawa ya kulevya, mashoga, kutokuja mjini bila kuoga n.k,
unamaana kabla ya 2015 hapakuwa na sheria ya madawa wala kitengo cha madawa? Kamishna Nzowa alikuwa anafanya kazi gani? kilikuwepo lakini ndani ya jeshi la polisi na walikuwa wapo vizuri tu. sheria yenyewe ya madawa kabla ya mengine ni ya 2015 even before mwendazake hajawa rais. hata wewe kama ulifaidika na bashite siku yako yaja, utakuja kutapika hizo hela za dhurma. wapambe wa sabaya sasaivi wapo wapi? kama sio kumfukuzia Jesca/mchumbake huku nje yeye akiwa ndani? kwa kiburi kileee
wanaopiga tofali huwa hawaagi mzee. mzibue tu huyo jamaa.Kuwa na adabu! Nitakupiga tofali maana humu JF lazima muda mwingine kuweka chekeche ubaki na sensible ones to respond to!
vijana wa bashite huwa mnachekesha sana. na akili mnafanana.Vipi biashara yako ya madawa umeshaacha?
Mkuu ipo siku ukilala ukiamka utaamka na habari ya Makonda akiwa rumande.Trust me kipo kinachoendelea chini kwa chini wewe ni mtu mdogo sana kuwa na infos.endelea kuota