aliwanyoosha kwa kunyang'anya pesa na magari. mtu pekee aliyekuja kuteketeza wauza unga ni yule Kamishna wa madawa aliyestaafu Mmasai, akaja pia Kamishna Kaji, na sasa kamishna huyu mpya, hawa wanafanya kazi kwa welezi sio kisiasa.
kati ya watu wote wanaouza unga bashite alimkamata nani zaidi ya kuwachafulia majina tu na hakuna kilichotokea? hao kina Rizmoko aliowataja kulikuwa na ukweli? kama kulikuwa na ukweli wamefanywa nini? alikuwa anakuomba hela ukikataa anakutishia kukutaja, halafu anakutaja kweli.
kuna watu wengine kama kina manji, ipo wazi hawauzi unga, ila wanabwia unga, ni mateja, huwezi kumtreat teja kama muuza unga kwasababu teja ni victim anahitaji msaada.
mali za bashite zikilinganishwa na cheo chake atatakiwa apokonywe everything. alikuwa na mipesa hadi alikuwa anagawa kwa kina Kaseja na Manula kama....vile.mwanaume unampa mwanaume mwenzio hela....aibu gani hii?