Mkuu usimwamshe aliyelala, soon jamaa anafuata UsabayaniTunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia.
Tunataka awajibishwe
Sasa nenda mahakamani Kama una ushahi wa kutosha au uandike hapa jf.Kuna Ushahidi wa kutosha na usio na shaka kuwa MAKONDA ana kesi za kujibu.
Ulete hapa huo ushahidi.Ushahidi wa bashite sio wa kuokoteza kama wa Mbowe
Ulikuwa utawala katili na wakishetani kabisaWatu wajitokeze kupeleka malalamiko kwa wale waliotendewa, atakuwaje accountable wakati watu wamenyamaza kimya?
Ila kati ya watu waliochafua utumishi wa umma hapa nchini, bashite na sabaya ni namba moja. nilishawahi kuongea siku moja kwamba Mungu huwapinga wenye kiburi lakini huwapa wanyenyekevu neema. ukiwa na kiburi its just a matter of time, Mungu atakushusha.
Sasahivi Sabaya na Bashite wapo chini kabisa mmoja mfungwa mwingine hata ubalozi hana...kina Nape Nauye waliosimamia ukweli bado wapo mjengoni.
Yap upo wazi snUshahidi wa bashite sio wa kuokoteza kama wa Mbowe
Makonda anatakiwa kuwa gerezani na ndiyo sehemu salama kwakoKuna Ushahidi wa kutosha na usio na shaka kuwa MAKONDA ana kesi za kujibu.
Mahakama gani ilithibitisha kwamba makosa unadai yalitendwa naye?Tunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia.
Tunataka awajibishwe
Sasa nenda mahakamani Kama una ushahi wa kutosha au uandike hapa jf.
Jamii haiwezi kuwa wrong natural justice laws.Mahakama gani ilithibitisha kwamba makosa unadai yalitendwa naye?
Mnachokitafuta inawezekana mnataka kukiwahisha kusababisha angamizo siku si nyingi zijazo
Gadafi na sadam walivuna walivyopanda kwa kuwekeza na kuamini zaidi kwenye silaha badala ya kuwekeza kwa watu.Wivu tu unawasumbua hizi chuki zipo siku zinawatoa kamasi
Walimchukia gadafi wakiona kwamba anafaidi keki ya Libya kumbe walijidanganya yako wapi sasa wamepoteza kila kitu
Huo ni mfano mdogo kwa hiyo kijana chuki haijengi Bali inabomoa
Jinai aifi hata kama mama anamlinda kwani mama ni mpitaji ajiandae tu
Hofu ya jinai haifi itamtesa Sana hadi mwisho wa maisha yake.Tawala uja tawala upita ipo siku itaingia tawala aliyoiumiza ye still under forty time badoMakonda anaishi kama digidigi sasa hivi, anajua wakati wowote tu kinaweza kumnukia.
Si maneno yangu ni laws of nature,you reap what you sow.Hata yeye Paulo ni mpitaji tuu
Kama ilivyo mimi na wewe, wala usighadhabike hivyo... wewe tulia
Nafikiri hujui usemalo na huna chembe ya huruma kwa wale 'waliodhulumiwa' na huyu hayawani unaemtetea!Endelea kuota
Ashaota nasikia atafikishwa mahakaniEndelea kuota
Watu zero wakipewa madaraka mara nyingine utafikiri analipiza kisasi cha kufeliBashite hapendwi hata na Lumumba mzee, tuwe wakweli. alifanya uchafu mwingi sana na alikuwa na kiburi kama mungu mtu fulani hivi. no wonder shuleni alikuwa ziro.
Umeulizwa ni nani walikamatwa kwa kuuza madawa? Wako wapi?Hivi hujui hata hiyo Idara ya Kupambana na Madawa ilikuwa haijaanzishwa wakati sheria ilikuwa imeshapitishwa na Bunge na Kusainiwa na Rais muda mrefu tu!! Bila movement ya kupambana na hao wauza madawa iliyofanywa na Makonda may be nyinyi wauza madawa msingekuwa mmethibitiwa?