Tunatoa maadili kutoka kwenye Biblia? Kama Ni kweli, Mbona Mungu Hana Maadili?

Utaniona chizi nikikuambia kuwa Biblia imemuelezea Yesu kuanzia kitabu cha mwanzo mpaka cha ufunuo.

Ndio, hadi hivyo vitabu vya paulo mnavyodai vimeekwa na wanadamu.

Muulize mtu yeyote mwenye ufunuo wa kiroho, atakuhabarisha hili.

Ila kama utan'gan'gana na dunia yako na uelewa finyu unaoharibika, utakua kama yale aliyosema Mhubiri..kuwa dunia ni ubagili tuu na kujilisha upepo.
 
Kiufupi ni kuwa, Mungu ni ana access na Administration priviledges za senses zote za mwanadamu, ikiwemo hio ya maadili (self conscience control/virtues) kwa sababu yeye ndio aliyekutengeneza wewe.

Sasa ili umjue zaidi ni itakulazimu kuweza kumfikia alipo, kwenye ulimwengu wa milele, na ili ufike huko ni lazima ufe.

So, upo tayari kufa ili kumjua Mungu?

Kama hauwezi, ni bora ukakaa tuu kimya na kujifunza kimyakimya,

Ni ujinga kubishia kitu ambacho haukijui...kisa unataka uelewa kwa namna ya kimwili.

Waliookoka wanajua menvi zaidi ya kiroho ila wanashindwa kukuelewesha wa duniani, kwa sababu inahitaji imani kidogo kuelewa, au uwezo wa kutumia milango yako yote ya fahamu

NB: Mwanadamu ana milango mitano mpaka sasa, huu wa sita (third eye) bado hata hatuujui vizuri...ila ipo mingine zaidi, nadhani inafika 12 kama sijakosea, huenda zaidi.

Hii milango mingine ndio itakufanya umjue Mungu vizuri, na huenda ukaishi milele.
 
Mwanadamu wa sasa anatawaliwa na laws and orders za ulimwengu unaoonekana kwa sabbabu senses zake zimedhibitiwa na ulimwengu huu wa flesh.

Ukiweza ku access higher dimensions, hizo natueal laws zinakua hazifanyi kazi kwako..bali zinaendelea kufanya kazi kwa binadamu wengine waliofungwa senses zao...au wanyama, au mimea, etc.

Wanaposema mwanadamu ni kiumbe mwenye nguvu na aliyependelewa hawamaanishi kwenye ulimengu wa mwili pekee, hapana.

Wachawi wanajua ukweli huu vizuri na wanajua namna ya kuuvaa mwili na kuutoka mwili, etc.

Alafu, miaka ya biblia sio halisia, siku 40 za gharika ni miaka kadhaa hapa duniani..biblia ina codes nyingi sana za kiroho ndio maana wanaoamini katika kristo wanashauriana sana kuomba na kusali, kuomba Roho Mtakatifu awaongoze, ili wakisoma waelewe.

Roho mtakatifu ni sawa na kuomba some power assistance ili ifungue baadhi ya senses za mwanadamu katika kusoma, katika kuishi, na kadhalika, na ndio maana Mungu anasisitiza mno kuhusu kuomba na kuishi katika upendo.

Ukisali sana ndio utajua haya mambo kiroho,

Naskia hadi kwenye negative forces kuna namna ya kufanya na ukafikia au kufungua senses hizi zilizojificha za mwanadamu, mf. Meditations, etc.

The choice is yours.
 
Soma Biblia
 
🤣Hebu usiniletee mauchawi yako hapa vitu vimejificha wapi we amini maujinga yako if something is real si kitajionyesha tu
 


Huna kosa, maana unasema out of Ujinga, ila kichwa cha habari ndo cha hovyo.
 
Huwa unaisoma biblia ukiwa umebinuka.
 
Unajua mtu akiwa ana m doubt Mungu Na kuhisi maswala ya kiimani ni story tu na kuwa hayana uhalisia wowote kwanza nahisi uyu mtu kwanza katoka chuo Au shule na bado anaishi kwa wazazi but ukiingia mtaani Na kuanza kutafuta maisha ndipo utajua kuna natural power ambaZo zina nguvu Na zinatenda kaZi kabisa Na Mungu yupo Na anaonekana kwa wale wamuaminio,so kijana acha kuona science ndio inajibu maswali yote ya ulimwengu huu ,ulimwengu wa kiroho upo Na una nguvu mnoo
 
Mkuu umeongelea gharika

Unaamini penguin [emoji210] alitoka huko America kwenda Iraq kupanda safina?

Maswali yako yanaonesha kiasi gani ni mchanga kwenye mambo ya kiroho
 
Hili swali ni la kijinga.

Biblia imeandaliwaa kwa ajili ya mwanadamu, na SI kwa ajili ya Mungu.

Mungu hasomi biblia.

This question is stupid.
 
Hili swali ni la kijinga.

Biblia imeandaliwaa kwa ajili ya mwanadamu, na SI kwa ajili ya Mungu.

Mungu hasomi biblia.

This question is stupid.
Hili swali lina mantiki sana.

Mungu alipaswa kuwa ni epitome of perfection, love hata maadili.

Ingalikuwa ni kweli kabisa kuna Mungu, saizi naamini angekuwa mahakama kuu ICC anajibu tuhuma.
 
mungu wa anga ni mwingine, na Mungu wa mbingu na nchi ni mwingine.

Biblia ilipokuambia Mungu aliumba mbingu na nchi haikumaanisha kama unavyofikiria, no, alimaanisha kuwa Mungu aliumba ulimwengu unaoonekana (nchi) na ulimwengu usioonekana (mbingu)

Ni kwamba tuu lugha yetu ya kiswahili ina uchache sana wa maneno na pia lugha za ulimwengu unaoonekana (flesh) pia zina uchache wa tafsiri

mungu wa anga (mfalme wa anga) ametajwa hadi kwenye biblia, yupo, lakini sio Mungu wa Mbingu na nchi.

Hili wachambuzi wa biblia wanaweza kunipa biblical lines na references nadhani kwenye waefeso hivii..limetajwa kwa ufupi.
 
Hili swali lina mantiki sana.

Mungu alipaswa kuwa ni epitome of perfection, love hata maadili.

Ingalikuwa ni kweli kabisa kuna Mungu, saizi naamini angekuwa mahakama kuu ICC anajibu tuhuma.
Mungu haonekani kwa macho, maana yeye si wa ulimwengu wa mwili.

So kusema hayupo kwa sababu haonekani kwenye ulimwengu huu still ni ujinga wako.

Shauri lako, usije kusema kuwa hatukukuambia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…