Tunatoa maadili kutoka kwenye Biblia? Kama Ni kweli, Mbona Mungu Hana Maadili?

Wakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi zilikuwa story tu za mababu katika kutishia watu amani. Hebu tuone sehemu zifuatazo.

Kalaani binadamu na uumbaji wote kwa tendo la watu wawili(Mwanzo 3:16-23)

Kaua kwa mafuriko wajawazito, watoto wasio na hatia na wanyama(Mwanzo 7:20-23)

Kawapa magonjwa na mvua za mawe wamisri kisa farao kakataa kuwaachia wayahudi baada ya Mungu mwenyewe kuufanya moyo wake uwe mgumu(Kutoka 9:8-11,25)

Aliamuru waisraeli waue wanaume, wanawake wasio bikra na watoto wote wa mataifa Saba na waibe arhi Yao(kumbukumbu la torati 7:1-2)

Alimuua mtoto wa Daudi kisa alizini na Bathsheba (2 Samuel 12:13-18)

Alitaka mateso na kuuwawa kwa mtoto wake(Warumi 3:24-25)

Ameapa kuwatesa wasioamini kristo katika moto wa milele(Ufunuo 21:8)

Pia ameamuru kuuliwa mtu mwenye makosa ya kufanya kazi siku ya sabato(Kutoka 31:15), kumtukana mzazi(walawi 20:9), kuabudu miungu mingine(kumbukumbu la torati 17:2-5), kuwa mchawi(kutoka 22:18), Ushoga (Walawi 20:13), kutokuwa bikra siku ya ndoa(kumbukumbu la torati) 22:20-21

Hitimisho: Ukitoa sodom na gomora na story ya Nuhu. Mungu ameua watu 2,038,344 na Shetani ameua watu 10 tu. Tena hao kumi ni watoto wa Ayubu ambae Mungu alibet na shetani so Mungu alimuamuru shetani awaue. Shetani hajawahi danganya Wala kuiba Biblia nzima. So Nani yupo sawa Mungu au Shetani.
Utaniona chizi nikikuambia kuwa Biblia imemuelezea Yesu kuanzia kitabu cha mwanzo mpaka cha ufunuo.

Ndio, hadi hivyo vitabu vya paulo mnavyodai vimeekwa na wanadamu.

Muulize mtu yeyote mwenye ufunuo wa kiroho, atakuhabarisha hili.

Ila kama utan'gan'gana na dunia yako na uelewa finyu unaoharibika, utakua kama yale aliyosema Mhubiri..kuwa dunia ni ubagili tuu na kujilisha upepo.
 
Mimi sipo katika imani ya ukristo ila nimeona swali lako nikaona nichangie...Kwanini Mungu hana maadili?

Kuwekewa maadili ni jambo linaloonesha kuwa upo chini ya sheria fulani ulizoamrishiwa kutoka katika mamlaka iliyo juu zaidi inaweza kuwa mzazi, serikali, ofisi au hata Mungu.

Miongoni mwa sifa za Mungu ni kuwa yeye ndiye wa mwanzo na wa mwisho, ni mmoja hana mshirika katika utawala wake, ni mkuu na yeye ndiye mfalme na ndiye mshindi.

Mungu ndiye Mkuu kwa maana yake hakuna yeyote kumzidi yeye. Muweza wa kila kitu lakini licha ya hayo bado Mungu amejihukumia mwenyewe kuwa Rehema na huruma yake izidi hasira na ghadhabu zake. Ndio leo hii unaona licha ya viumbe kufanya kila aina ya uovu hapa ardhini bado Mungu anatupa chakula, maji, hewa n.k...anawapa mali watu waovu kabisa ambao laiti kama wewe ungekuwa umepewa hayo mamlaka basi usingewapa watu hao hata tone moja la maji kutokana na ubaya wanaoufanya. Mungu anawapa mpaka wale wanaomkana.

Mungu ndiye mfalme hakuna wa kumpangia, anaamua mambo kutokana na hekima na busara zake ambazo wewe mwanadamu huna uwezo wa kuzielewa hata kidogo.

Mfano anaweza kukupa mtoto kisha akamfisha angali mchanga,kikawaida wewe mwanadamu huwezi elewa hekima zake Mungu ila kumbe huyo mtoto aliyemchukua angali mchanga pengine angekuwa chanzo cha wewe kufedheheka hapa duniani na hata kujuta kwanini ulimzaa...mfano labda huyo mtoto angekua na kuja kuwa Shoga.!!

Mungu kwa elimu na hekima zake anaamua kumfisha angali mchanga then anakupa mtoto mwingine mwema atakae kuja kukufaa baadae. Hakuna ajuae haya isipokuwa Mungu mwenyewe. So Mungu hapangiwi wala haulizwi wala hawekewi uzio wa kutenda (maadili).

Hao watu unaosema walikuwa ni wajawazito,watoto n.k waliogharikishwa wakati wa Nuh. Unajua kuwa Mtume Nuh alitumia zaidi ya miaka 950 kuwaita waelekee katika njia ya Mungu ila waliishia kumdhihaki na kumkufuru Mungu ila Mungu aliwavumilia miaka yote hiyo, mwisho akamwambia Nuh kuwa hata afanye jitihada gani kuwaita hawawezi kuitikia na kuamini na hawatazaa isipokuwa wale ambao nao watarithi ukaidi wa baba zao,hvyo Mungu mwisho akaamua kuteketeza na kuangamiza kizazi chote cha wasioamini.
Kiufupi ni kuwa, Mungu ni ana access na Administration priviledges za senses zote za mwanadamu, ikiwemo hio ya maadili (self conscience control/virtues) kwa sababu yeye ndio aliyekutengeneza wewe.

Sasa ili umjue zaidi ni itakulazimu kuweza kumfikia alipo, kwenye ulimwengu wa milele, na ili ufike huko ni lazima ufe.

So, upo tayari kufa ili kumjua Mungu?

Kama hauwezi, ni bora ukakaa tuu kimya na kujifunza kimyakimya,

Ni ujinga kubishia kitu ambacho haukijui...kisa unataka uelewa kwa namna ya kimwili.

Waliookoka wanajua menvi zaidi ya kiroho ila wanashindwa kukuelewesha wa duniani, kwa sababu inahitaji imani kidogo kuelewa, au uwezo wa kutumia milango yako yote ya fahamu

NB: Mwanadamu ana milango mitano mpaka sasa, huu wa sita (third eye) bado hata hatuujui vizuri...ila ipo mingine zaidi, nadhani inafika 12 kama sijakosea, huenda zaidi.

Hii milango mingine ndio itakufanya umjue Mungu vizuri, na huenda ukaishi milele.
 
Kwanza. Nuhu hakutumia miaka 950 acha uwongo.
Pili. Maadili ni nature ya binadamu. We unahitaji mtu akuambie kumpiga mtu au kuua au kuiba ni vibaya. Ni nature yetu kufeel guilt tunapoona tumemfanyia binadamu mwenzetu vibaya. Lakini ukifanya mapenzi unafeel guilty no, unaenjoy kabisa.
Tatu. Hizo story za Biblia sio za ukweli kihistoria na kisayansi. Kama we kwa akili zako timamu za karne ya 21 unaamini kwamba Nuhu alijaza wanyama wote duniani na dunia nzima ikajaa maji mpaka juu ya milima na wakaweza kusurvive siku 40 sijui mwaka sawa ni akili yako.
Nne, we kusema hivyo kwamba chochote kinaweza tokea duniani inaonyesha kwamba sio kazi ya Mungu hio. Mungu hampi kitu au kumnyima mtu kitu. Vitu vinatokea naturally. Ukipiga kazi unafanikia, ukiwa mvivu unakuwa maskini. Bahati nzuri na mbaya zipo hapa na pale lakini zote zipo chini ya natural laws. Huwezi ona mtu anapaa ghafla au anatoa moto mikononi.
Tano, hamna kitu ambacho hakieleweki we Kama umejificha macho usielewe kwa sababu unaogopa adhabu za kufikirika akilini mwa mababu huko sawa. Ila ukweli Ni kwamba hizi story si za kweli, coz inacontradict na sifa za Mungu kuwa all loving. We Leo hii mtoto wako umeskia ana mwanaume utamchoma moto au utamuua kisimani, noo. Sasa jitu limeua watoto wake million 2 afu unaniambia ni mwema cjui mfalme. We mfalme akiua watu million 2 nchini kwake huyo sio dictator au. Na Kama Biblia inakupa maadili mbona hupigi mawe watu wanaozini, mbona hupigi mawe watu wanaobakwa, mbona hauoi watoto wa miaka 13, mbona hauui watoto wanaowadharau watoto wao.
In short bana. Dunia imekua ndo maana nchi ambazo zimeacha haya mambo na mnaziita za kishetani ndo wanaendelea na sisi tunawaomba misaada wao tukiamini mbinguni ndo mwisho. Wenzetu wanaenda mwezini si tunabaki kuwaza kwenda mawinguni. Hebu acheni bana
Mwanadamu wa sasa anatawaliwa na laws and orders za ulimwengu unaoonekana kwa sabbabu senses zake zimedhibitiwa na ulimwengu huu wa flesh.

Ukiweza ku access higher dimensions, hizo natueal laws zinakua hazifanyi kazi kwako..bali zinaendelea kufanya kazi kwa binadamu wengine waliofungwa senses zao...au wanyama, au mimea, etc.

Wanaposema mwanadamu ni kiumbe mwenye nguvu na aliyependelewa hawamaanishi kwenye ulimengu wa mwili pekee, hapana.

Wachawi wanajua ukweli huu vizuri na wanajua namna ya kuuvaa mwili na kuutoka mwili, etc.

Alafu, miaka ya biblia sio halisia, siku 40 za gharika ni miaka kadhaa hapa duniani..biblia ina codes nyingi sana za kiroho ndio maana wanaoamini katika kristo wanashauriana sana kuomba na kusali, kuomba Roho Mtakatifu awaongoze, ili wakisoma waelewe.

Roho mtakatifu ni sawa na kuomba some power assistance ili ifungue baadhi ya senses za mwanadamu katika kusoma, katika kuishi, na kadhalika, na ndio maana Mungu anasisitiza mno kuhusu kuomba na kuishi katika upendo.

Ukisali sana ndio utajua haya mambo kiroho,

Naskia hadi kwenye negative forces kuna namna ya kufanya na ukafikia au kufungua senses hizi zilizojificha za mwanadamu, mf. Meditations, etc.

The choice is yours.
 
Utaniona chizi nikikuambia kuwa Biblia imemuelezea Yesu kuanzia kitabu cha mwanzo mpaka cha ufunuo.

Ndio, hadi hivyo vitabu vya paulo mnavyodai vimeekwa na wanadamu.

Muulize mtu yeyote mwenye ufunuo wa kiroho, atakuhabarisha hili.

Ila kama utan'gan'gana na dunia yako na uelewa finyu unaoharibika, utakua kama yale aliyosema Mhubiri..kuwa dunia ni ubagili tuu na kujilisha upepo.
Soma Biblia
 
Mwanadamu wa sasa anatawaliwa na laws and orders za ulimwengu unaoonekana kwa sabbabu senses zake zimedhibitiwa na ulimwengu huu wa flesh.

Ukiweza ku access higher dimensions, hizo natueal laws zinakua hazifanyi kazi kwako..bali zinaendelea kufanya kazi kwa binadamu wengine waliofungwa senses zao...au wanyama, au mimea, etc.

Wanaposema mwanadamu ni kiumbe mwenye nguvu na aliyependelewa hawamaanishi kwenye ulimengu wa mwili pekee, hapana.

Wachawi wanajua ukweli huu vizuri na wanajua namna ya kuuvaa mwili na kuutoka mwili, etc.

Alafu, miaka ya biblia sio halisia, siku 40 za gharika ni miaka kadhaa hapa duniani..biblia ina codes nyingi sana za kiroho ndio maana wanaoamini katika kristo wanashauriana sana kuomba na kusali, kuomba Roho Mtakatifu awaongoze, ili wakisoma waelewe.

Roho mtakatifu ni sawa na kuomba some power assistance ili ifungue baadhi ya senses za mwanadamu katika kusoma, katika kuishi, na kadhalika, na ndio maana Mungu anasisitiza mno kuhusu kuomba na kuishi katika upendo.

Ukisali sana ndio utajua haya mambo kiroho,

Naskia hadi kwenye negative forces kuna namna ya kufanya na ukafikia au kufungua senses hizi zilizojificha za mwanadamu, mf. Meditations, etc.

The choice is yours.
🤣Hebu usiniletee mauchawi yako hapa vitu vimejificha wapi we amini maujinga yako if something is real si kitajionyesha tu
 
Wakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi zilikuwa story tu za mababu katika kutishia watu amani. Hebu tuone sehemu zifuatazo.

Kalaani binadamu na uumbaji wote kwa tendo la watu wawili(Mwanzo 3:16-23)

Kaua kwa mafuriko wajawazito, watoto wasio na hatia na wanyama(Mwanzo 7:20-23)

Kawapa magonjwa na mvua za mawe wamisri kisa farao kakataa kuwaachia wayahudi baada ya Mungu mwenyewe kuufanya moyo wake uwe mgumu(Kutoka 9:8-11,25)

Aliamuru waisraeli waue wanaume, wanawake wasio bikra na watoto wote wa mataifa Saba na waibe arhi Yao(kumbukumbu la torati 7:1-2)

Alimuua mtoto wa Daudi kisa alizini na Bathsheba (2 Samuel 12:13-18)

Alitaka mateso na kuuwawa kwa mtoto wake(Warumi 3:24-25)

Ameapa kuwatesa wasioamini kristo katika moto wa milele(Ufunuo 21:8)

Pia ameamuru kuuliwa mtu mwenye makosa ya kufanya kazi siku ya sabato(Kutoka 31:15), kumtukana mzazi(walawi 20:9), kuabudu miungu mingine(kumbukumbu la torati 17:2-5), kuwa mchawi(kutoka 22:18), Ushoga (Walawi 20:13), kutokuwa bikra siku ya ndoa(kumbukumbu la torati) 22:20-21

Hitimisho: Ukitoa sodom na gomora na story ya Nuhu. Mungu ameua watu 2,038,344 na Shetani ameua watu 10 tu. Tena hao kumi ni watoto wa Ayubu ambae Mungu alibet na shetani so Mungu alimuamuru shetani awaue. Shetani hajawahi danganya Wala kuiba Biblia nzima. So Nani yupo sawa Mungu au Shetani.

Huna kosa, maana unasema out of Ujinga, ila kichwa cha habari ndo cha hovyo.
 
Huwa unaisoma biblia ukiwa umebinuka.
 
Unajua mtu akiwa ana m doubt Mungu Na kuhisi maswala ya kiimani ni story tu na kuwa hayana uhalisia wowote kwanza nahisi uyu mtu kwanza katoka chuo Au shule na bado anaishi kwa wazazi but ukiingia mtaani Na kuanza kutafuta maisha ndipo utajua kuna natural power ambaZo zina nguvu Na zinatenda kaZi kabisa Na Mungu yupo Na anaonekana kwa wale wamuaminio,so kijana acha kuona science ndio inajibu maswali yote ya ulimwengu huu ,ulimwengu wa kiroho upo Na una nguvu mnoo
 
Hili swali ni la kijinga.

Biblia imeandaliwaa kwa ajili ya mwanadamu, na SI kwa ajili ya Mungu.

Mungu hasomi biblia.

This question is stupid.
 
Hili swali lina mantiki sana.

Mungu alipaswa kuwa ni epitome of perfection, love hata maadili.

Ingalikuwa ni kweli kabisa kuna Mungu, saizi naamini angekuwa mahakama kuu ICC anajibu tuhuma.
 
mungu wa anga ni mwingine, na Mungu wa mbingu na nchi ni mwingine.

Biblia ilipokuambia Mungu aliumba mbingu na nchi haikumaanisha kama unavyofikiria, no, alimaanisha kuwa Mungu aliumba ulimwengu unaoonekana (nchi) na ulimwengu usioonekana (mbingu)

Ni kwamba tuu lugha yetu ya kiswahili ina uchache sana wa maneno na pia lugha za ulimwengu unaoonekana (flesh) pia zina uchache wa tafsiri

mungu wa anga (mfalme wa anga) ametajwa hadi kwenye biblia, yupo, lakini sio Mungu wa Mbingu na nchi.

Hili wachambuzi wa biblia wanaweza kunipa biblical lines na references nadhani kwenye waefeso hivii..limetajwa kwa ufupi.
 
Hili swali lina mantiki sana.

Mungu alipaswa kuwa ni epitome of perfection, love hata maadili.

Ingalikuwa ni kweli kabisa kuna Mungu, saizi naamini angekuwa mahakama kuu ICC anajibu tuhuma.
Mungu haonekani kwa macho, maana yeye si wa ulimwengu wa mwili.

So kusema hayupo kwa sababu haonekani kwenye ulimwengu huu still ni ujinga wako.

Shauri lako, usije kusema kuwa hatukukuambia..
 
Back
Top Bottom