House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu
Tatizo mtu wa kuja kukaa huko Bomang'ombe kwa Ole Sabaya
juzi mmeitangaza mumuhumu na haikufikia bei hiiyo leo mmeongeza na picha za mito kwenye makochi na Microwave, bado tatizo ni allocation kamji ka majungu sana.
pia haiwezekani kuweka Lodge
 
Ilishaletwa humu kwa bei ya 95, leo ameileta kwa bei ya 100
Ohhh kumbe . Asante Mkuu.. Na ukipata dalali mwingine yule original wa hiyo nyumba itakuwa bei chini zaidi. Ukifanikiwa kumpata mmiliki kupitia kwa majirani basi ujue nyumba haivuki 60m. Hiyo ndiyo kazi za madalali kusimamisha biashara. Mimi nilitaka kuuza mali yangu nita post mwenyewe social media zote. Nina baadhi ya assets huwa napangisha lakini huwa hakuna dalali. Wateja na wenye mali wanaumizwa sana na madalali. Huo ndiyo ukweli na ukweli tuwaambie nyie madalali jirekebisheni.
 
Nyumba inauzwa BEI YA KUTUPA...Kimara Temboni
MILIONI 50 TU.
.. 0677 818283

Nyumba ina vyumba vitatu vikubwa kimoja master

Pia ina nyumba nyingine ndogo ya chumba na sebule + fremu ya biashara

Eneo la kiwanja ni 20 kwa 20 (sqm 400)

Nyumba ipo km 1.5 kutoka Morogoro road

BEI NI MILIONI 50 TU......Wahi sasa

Mawasiliano 0677 818283

FB_IMG_1619439414643.jpg
FB_IMG_1619439423184.jpg
FB_IMG_1619439426314.jpg
FB_IMG_1619439438045.jpg
FB_IMG_1619439441032.jpg
FB_IMG_1619439414643.jpg
FB_IMG_1619439423184.jpg
FB_IMG_1619439426314.jpg
FB_IMG_1619439438045.jpg
FB_IMG_1619439441032.jpg
FB_IMG_1619439446045.jpg
139769047_170408144426963_1939095282374882140_n.jpg
 
Kama ni Bei ya kutupa,kwa Nini usiinunue wewe iliyeleta huu uzi?
 
Nyumba inauzwa BEI YA KUTUPA...Kimara Temboni
MILIONI 50 TU.
.. 0677 818283

Nyumba ina vyumba vitatu vikubwa kimoja master

Pia ina nyumba nyingine ndogo ya chumba na sebule + fremu ya biashara

Eneo la kiwanja ni 20 kwa 20 (sqm 400)

Nyumba ipo km 1.5 kutoka Morogoro road

BEI NI MILIONI 50 TU......Wahi sasa

Mawasiliano 0677 818283

View attachment 1780006View attachment 1780007View attachment 1780010View attachment 1780011View attachment 1780012View attachment 1780006View attachment 1780007View attachment 1780010View attachment 1780011View attachment 1780012View attachment 1780013View attachment 1780014
Nyumba nzuri hivyo, maswahibu gani yamekukuta mkuu!
 
Back
Top Bottom