Toa hata ramani ya nyumba na kila nyumba ina sqm ngapi, hivyo ndio vitu vinavyoweza kumvuta mwekezaji.nyumba zina privacy za watu..na ni wapangaji
sio vyema kupiga picha mazingira yao na kuzipost mtandaoni
kama unahitaji kuona zaidi unaweza kwenda kuoneshwa
Na ninarudia tena kama hizo nyumba na valuation yako sio "famba" the best nikuchukua mkopo, kwa hiyo unaua ndege watatu kwa jiwe moja ,
Mosi una rescue biashara zako
Pili unabakiwa na nyumba zako asset
Tatu utapata zaidi huko mbeleni kwani nyumba huongezeka thamani.
Ama sivyo utapoteza hiyo biashara yako na nyumba pia unaweza kupoteza kwa kuuza cheaply due to pressure na other risk factors zinazo endana na biashara yako maana hali inaonekana si hali