Magari ya Biashara
Senior Member
- Sep 16, 2019
- 183
- 578
- Thread starter
- #221
Hoja yako ni nini hasa...maana sikuelew...Unawekeza kwà kuweka nyumba nne kwenye plot moja yenye hati moja? It's very risks
Unataka mpaka kupangiana namna ya kuwekeza na kujenga...
Mwanzo umesema hailipi...nmekupa facts..sas unahamia kweny risky ya kujenga kweny eneo moja..
Huon kama ni rahisi kumanage biashara iliyopo eneo mojaa kulik kuwa maeneo tofauti tofauti...