Habdavi
JF-Expert Member
- Mar 5, 2011
- 788
- 804
Kweli kuna haja ya kupata due diligence check list kabla ya kufanya muamala wowote. Wenzetu wanakuwa na credit bureau ambayo ina data ya mikopo yote yenye dhamana ya nyuumba.Ivi ndugu ukitaka kujua kama anayekuzia alichukulia mkopo kabla hujanunua utajuaje?