House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu
Ivi ndugu ukitaka kujua kama anayekuzia alichukulia mkopo kabla hujanunua utajuaje?
Kweli kuna haja ya kupata due diligence check list kabla ya kufanya muamala wowote. Wenzetu wanakuwa na credit bureau ambayo ina data ya mikopo yote yenye dhamana ya nyuumba.
 
Hii nyumba inaonekana imejengwa kwenye mfereji wa maji

Tizama hii picha kwa nje ya dirisha la kushoto, inaonekana kabisa Kuna mafuriko.

Kingine kimazingira inaonekana hii nyumba imetelekezwa,

haionekani Kama Kuna watu wameishi hivi karibuni.

Na desemba mvua zilipochanganya mkurugenz wa ubungo alisema wote walojenga kwny njia za maji wabomoe wenyewe.

Otherwise,
atabomoa na watalipia gharama za ubomoaji.

Ila Kiukweli Bei, Bei Ni nzuri Sana.

KILA la heri atakaenunua
View attachment 1703599
Hii nyumba anaeinunua asikurupuke atuliee afatilie in deep hata kwa kuuliza majirani why bei ndogo hivi.. Kwa kibamba yani nyumba kama hii na kiwanja cga Square mita 900 plus mabanfa ya kuku walahi si chini ya 50MIL.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
naona shida zako zote unataka kuzitatua kupitia udalali wa nyumba, utakuta mwenyewe anataka milion30, dalali wa kwanza kaongeza milion 20 (jumla mlioni 55), dalali wa pili kaweka milion 20 (jumla milion 75), wewe ukaona uwekepo milion 10, jumla 85........duh kweli dar mji mzito sana aiseeee
 
Alafu anakaa kujiweni akiota ndoto atapata fala ampige hicho cha juu kashakipangia bajeti atanunua boda sijui atao mara atajenga chumba kimoja
Na ana demu kamuahidi kumtoa dili likitiki
 
Alafu anakaa kujiweni akiota ndoto atapata fala ampige hicho cha juu kashakipangia bajeti atanunua boda sijui atao mara atajenga chumba kimoja
Na ana demu kamuahidi kumtoa dili likitiki
madalali ni miyeyusho mnooo kaka
 
Madalali mnapandisha vitu bei Sana mpaka mnaboa,kwa Sasa wengi wamestuka na madalali Kila kona.
 
Hiyo nyumba na hilo bonde thamani yake hata milioni 50 haifiki
 
Alafu anakaa kujiweni akiota ndoto atapata fala ampige hicho cha juu kashakipangia bajeti atanunua boda sijui atao mara atajenga chumba kimoja
Na ana demu kamuahidi kumtoa dili likitiki
awa ndio wanawaambiaga dada zetu kuwa kuna ela anaisikilizia ikitiki tu wametoboa maisha
 
Kwa uko chanika kupangisha nyumba kama hii yote bei gani kwa mwezi?
 
Nyumba 4 za kupangisha zina wapangaji wanalipa laki 3 kwa mwezi

Kwa mwaka nilikuwa naingiza milioni 14

Kila nyumba ina vyumba viwili

Nina shida sana katika biashara zangu

Nakupa nyumba zote hizi kwa milioni 150 tu

WAHI SASA

Nyumba zipo Tabata Segerea.

FB_IMG_1619086818351.jpg
FB_IMG_1619086810297.jpg
FB_IMG_1619086812751.jpg
FB_IMG_1619086815732.jpg
FB_IMG_1619086807029.jpg
 
Back
Top Bottom