Nyumba Inauzwa IPO KINYEREZI KIFURU
Ina vyumba vinne vikubwaa na Viwili ni master
Ina servant quarter yenye sebule na master yake
Nyumba ipo mtaa mzuri na ina eneo kubwa sqm 1000
NYUMBA HAINA MIGOGORO NA WALA HAIJAWAHI KOPEWA BENKI
BEI NI Milioni 170 TU

Wasiliana nasi kwa simu namba 0677 818283

NB: Piga simu muda huu huu usichelewe

 
Mleta Uzi,

Mimi naichukua na naitangaza kwa 110Mil.

Mwenye hasira anye boga.
 
Nyumba Nzuri sana INAUZWA BOMA NG'OMBE HAI-KILIMANJARO
  • Nyumba ina vyumba viNNE vikubwa viwili ni master vina makabati ya nguo
  • Pia ina Dining na sitting room ya kisasa sana na store
  • Jiko kubwa na zuri + makabati yapo na jiko la nje lipo
  • Nyumba ina hati miliki safi kabisa na haijawahi kukopewa benki
  • Nyumba ipo Boma NG'OMBE Wilaya ya hai Mkoa wa kilimanjaro
  • BEI NI MILIONI 95 TU......Wahi sasa
  • Mawasiliano 0677 818283


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…