Hiyo nyumba imejengwa bondeni kwenye ardhi chepechepe,...😳 kamwe haiwezi kuwa makazi bora kwa binadamu. Nakushauri uuze vipande vipande, mabati, madirisha, samani tofari na hicho kitalu weka shamba la mboga mboga...🤔.
 
Bei Nauru. Kabla ya kununua hii nyumba ni vizuri kujiridhisha isiwe na matatizo.
 
Kweli asee bei ya kutupa. Japo sina kitu ila nahakika itapata mteja kwa haraka sana
 
Kwani huko Dar mvua si inanyesha? Pangekua mafurikoni hapo pasingetamanika
 
Nyumba ipo kwenye. Kichanga ishaanza kudidimia inaonekana wazi, baada ya miaka mitano inakuwa imezama mpaka madirisha.

Umeingia jumba bovu unatafuta wa kulia naye, hiyo Bei parefu mkuu, watu wakipaona wataghaili nakushauri uuze kuanzia million kumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…