Kibamba sio sehemu salama kabisa maana kimara Mbezi na Kibamba serikali ya awamu ya V bado wana kishindo chao cha maendeleo.
Kibamba pako poa sana. Cha msingi kama ina hati. La sivyo ajiridhishe kwamba ni eneo la makaz na afuate taratibu za mauziano kisheria
 
Kibamba kibamba nyumba 30M mhhhh, haya wadau kazi kweli
 
bei ya kutupa kabisa hii lakini kwa wenye kujua gharama za kiwanja na ujenzi namna zilivyo juu
 
Ila cha muhimu mnunuzi ujiridhishe tu kwamba hamna shida vinginevyo utalia mpaka unye
 
Nyumba inaoneka nzuri zaidi ya bei.vipi ilijengwa kwenye road reserve nini? au kuna mkondo wa maji hapo? pia inaonekana haikaliwi na watu pia
 
mkuu hii picha inaonyesha as if mbele kuna korongo
 
Nyumba inaoneka nzuri zaidi ya bei.vipi ilijengwa kwenye road reserve nini? au kuna mkondo wa maji hapo? pia inaonekana haikaliwi na watu pia
Kibamba kuna utata sana wa watu kuvamia mashamba ya wengine kuna kipindi cha nyuma zaidi ya nyumba 20 zilibomolewa kwa kujenga sehemu sio ya aliyewauzia. Hao jamaa wa cga juu kuweni nao makini sana.
 
35M upate kiwanja na nyumba nzuri hiyo. Tena Kibamba haya mnunuzi jongea utapata unachokitaka.
 
Kwa hii nyumba Kuwepo kibamba alafu Kuuzwa bei ya kutupwa hivi aisee.. Bado akili yangu inagoma Mil 35 ni bei ya hasara sana labda kama jamaa amekumbwa na matatizo makubwa mno.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…