King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hongera Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naishi maeneo hayo. Kimara mbezi na Kibamba sio pa kununua nyumba hivi sasa.
Kibamba pako poa sana. Cha msingi kama ina hati. La sivyo ajiridhishe kwamba ni eneo la makaz na afuate taratibu za mauziano kisheriaKibamba sio sehemu salama kabisa maana kimara Mbezi na Kibamba serikali ya awamu ya V bado wana kishindo chao cha maendeleo.
haya bana mauzo memamizimu ilikuwa imepanga ..ila ilishinda kulipa kodi
tumeitimuaa
Nyumba inaoneka nzuri zaidi ya bei.vipi ilijengwa kwenye road reserve nini? au kuna mkondo wa maji hapo? pia inaonekana haikaliwi na watu piaNyumba inauzwa ipo Kibamba mwisho ina vyumba 3 kimoja masterView attachment 1702235
Nyumba ina jiko la makbati store seating room na dining room
nyumba ina uwanja mkubwa sqm 900
ina mabanda ya kuku
ina maji ya dawasco na kisima kipo
WAHI SASA LEO HII HII UCHUKUE NYUMBA
mawasiliano 0677 818283
View attachment 1702227View attachment 1702228View attachment 1702227View attachment 1702228View attachment 1702229View attachment 1702230View attachment 1702231View attachment 1702232View attachment 1702233
Utasikia wanapotosha bomba la umeme wa upepoKibamba sio sehemu salama kabisa maana kimara Mbezi na Kibamba serikali ya awamu ya V bado wana kishindo chao cha maendeleo.
Hahahaha. Kuna bomba la maji taka kutoka Mloganzila kwenda baharini.Utasikia wanapotosha bomba la umeme wa upepo
Kibamba kuna utata sana wa watu kuvamia mashamba ya wengine kuna kipindi cha nyuma zaidi ya nyumba 20 zilibomolewa kwa kujenga sehemu sio ya aliyewauzia. Hao jamaa wa cga juu kuweni nao makini sana.Nyumba inaoneka nzuri zaidi ya bei.vipi ilijengwa kwenye road reserve nini? au kuna mkondo wa maji hapo? pia inaonekana haikaliwi na watu pia