Bznes zako huweki picha kwa nini? Tuanzie hapoKiwanja GOBA center (Mbezi GOBA) umbali kilipo Ni dk 7/10 kutokea site Hadi barabara kuu ya goba Bei ni 6.8M ukubwa wa kiwanja Ni miguu 20x18
Haya mje goba mjenge msiseme sikuwaambia
0715053339/0719236829
Kisha tuje suala la vipimo, hatua/ miguu badala ya mita?Bznes zako uweki picha kwa nn? Tuanzie hapo
Inshaalah Mungu atafungua njia zakoKwa GOBA hii bei ni sawa na bure ningekuwa vizuri ningekichukua mimi
Kwanini mkuu??Kabla ya mtu kununua kiwanja Goba, Mapinga inabd ujiongeze kwelikweli kabla ya kugeuka fursa.
Pana utapeli wa kutupwa, kwa mbali naiona Kigamboni nako kunaibukia kwa kasi. Tena kuwa makini na viwanja cha kupimwa kwa miguu ni hatari.Kwanini mkuu??
Bznes zako uweki picha kwa nn? Tuanzie
Endelea kujua mkuu mpimajigoba centre unauza kwa miguu?maana navyojua hko kote kumepimwa
JF kunawatu wa viatu! We ni kiatuPana utapeli wa kutupa, kwa mbali naiona kigamboni nako kunaibukia kwa kasi. Tena kuwa makini na viwanja cha kupimwa kwa miguu ni hatari.
[emoji3][emoji3]Kabla ya mtu kununua kiwanja Goba, Mapinga inabd ujiongeze kwelikweli kabla ya kugeuka fursa.
Kuna mahala nimesema unafanya utapeli? Reply yako inatia wasiwasi sana juu ya unachokifanya.JF kunawatu wa viatu! We ni kiatu
Yan tangazo langu na utapeli unavihusisha vp!! Kua na ustaarabu bas!!
Tatizo unaweka taarifa ambazo hazija jitosheleza, halafu unataka uaminiwe kirahisi tu; huku ukitumia fake ID! Hela inauma mkurugenzi! Weka maelezo yaliyo jitosheleza. Namba ya simu pekee haitoshi.JF kunawatu wa viatu! We ni kiatu
Yan tangazo langu na utapeli unavihusisha vp!! Kua na ustaarabu bas!!
Fake IDπππTatizo unaweka taarifa ambazo hazija jitosheleza, halafu unataka uaminiwe kirahisi tu; huku ukitumia fake ID! Hela inauma mkurugenzi! Weka maelezo yaliyo jitosheleza. Namba ya simu pekee haitoshi.
Maana hata wale matapeli wa "tuma ile hela kwenye namba hii" huweka namba zao za simu, na mtu anapigwa kama kawaida.
Ukishakua na wasiwasi unahisi ndo biashara imekufa?!! Endelea na wasiwasi wako mi napeleka watu siteKwa majibu yako ndugu dalali nina wasiwasi na wewe.
Kuna mahala nimesema unafanya utapeli? Reply yako inatia wasiwasi sana juu ya unachokifanya.
Kwa nn unajisikia insecure kama unafanya biashara halali?
JF kunawatu wa viatu! We ni kiatu
Yan tangazo langu na utapeli unavihusisha vp!! Kua na ustaarabu bas!!
Pana utapeli wa kutupwa, kwa mbali naiona kigamboni nako kunaibukia kwa kasi. Tena kuwa makini na viwanja cha kupimwa kwa miguu ni hatari.
Viwanja vya utapeli mtu usipokuwa makini unaweza kufilisikia hapo.
Napoteza carolize zangu kujibizana na wewe! Haya umeshinda!Kuna mahala nimesema unafanya utapeli? Reply yako inatia wasiwasi sana juu ya unachokifanya.
Kwa nn unajisikia insecure kama unafanya biashara halali?
Ukinunua kiwanja ukakuta kina mgogoro na hamna proper documents, achana nacho mapema undelete na shughuli nyingine kwa kuhesabu umepoteza. Juhudi zozote za kukiokoa ni kutupa shilingi baharini bila matokeo yoyote.
Halafu sijaandika kwa jazba eti! Ni katika tu kukumbusha ili ufanye biashara yako katika mazingira ya uhakika.Fake IDπππ
Unavyoandika kwa jazba Sasa lol!