Tunawasaidiaje wapenzi wetu wanaotoa harufu mbaya ukeni wakati wa tendo?

Naam, tuwe na utaratibu wa kuambizana ukweli sababu ni afya ya mtu inayozungumziwa, binaadam huwezi ukatoa harufu kama Samaki au Mzoga wa Panya lazima ni tatizo tena kubwa na linapaswa kutibiwa haraka, sielewi Mtu anaona ugumu gani kumwambia Muhanga wa hilo jambo ila Malaria au Typhoid tunashauriana tukapime bila wasi wasi,

Muhimu ni jinsi ya kumwambia mtu ili asijisikie vibaya.
 
[emoji2] hapo kwenye midawa ya kuongeza sijui utamu mara vipipi utamu mara ukalie maji ya vugu vugu inachanganya sijui na muarobaini inakua mnato[emoji119]
 
Vipi wale wanaonyonya nyuchi za wanawake wanasema eti mate yanasababisha fangasi kwenye uke? Kwako Dr. Mariposa...,
 
yeah ukimwambia tu kistaarabu kama ni muelewa anaelewa kuliko kumwacha na kumsemea pembeni kama hivi, haisaidii kitu
 
Hiyo harufu midwabwada nakulia ugali. Nipe namba yake
 
Huu mtindi nakubali.... Mana hata juzi nimekutana na vitu vya ajabu sana. Yani sivielewielewi... Sijui kamshauri nan pimbi yule
 
Mh umejuaje yote haya wewe mdada according to your sexual orientation au umehadithiwa?

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu

Na gentamycine ya kuchoma na sindano inatibu nini KWA WANAWAKE!!?
 
Aisee..!!
 
Sasa akitaka kupata mimba itakuaje kama akizitoa mbegu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…