Tundaman Kuingia na Jeneza, Simba SC yaomba Radhi

Hivi kwanini wakurya wanaamini ukeketaji mnawakemea....ila Hawa wafia dini wazungu na waarabu weusi hamwakemei??
 
Fake funerals, chicken crucifixions and joke processions: they're just a part of Italian football culture

Sampdoria fans are delighted with their rivals' demise

It's a good feeling to win, but it's not the best. It's so much better to watch your opponents crash and burn. Well, at least that's the conclusion you'd come to after taking a stroll through the streets of Genoa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wasanii hasa walio waislamu wanajitahidi sana kuudhalilisha ukristo kisa tu hauhukumu kama kule kwao.
 
Kumbe huyo tunda ni muislam si angeingia na kanzu na kibaragashia,na lile la kubebea maiti la kiislam. Usimtendee mwenzako jambo ambalo haupendi kutendewa.
Waislamu wapo hivyo ila waguse wao sasa.Maustaadh wa bongofleva bhana!
 
Watangazaji wa clouds wa kipindi cha jahazi leo waliongea upuuzi mwingi sana kutetea lile igizo la jeneza,
sasa wenye club yao wameomba radhi.
Io Itoshe tu kusema wewe ni mpumbavu
 
Hao wakiristo nao watulie au watuonyeshe kama wana patent right ya huo msalaba
Hili suala siyo la kidini bali ni la kishabiki wa Simba na Yanga,linalazimishwa tu kuchukua mkondo wa kidini. Mimi ni mkristo lakini sijaona kuwa ukristo umedhihakiwa kwani ni jambo la kawaida tu kwenye Sanaa, ndiyo maana hata kwenye filami watu wanaigiza hata ndani ya Kanisa na hata kumuigiza Yesu Kristo. Wote mnaojadili kwa mtazamo wa dini ni wapuuzi tu maana mumeshahama sasa ni malumbano ya Ukristo na Uislamu, wacheni upumbavu. Mods futeni kabisa huu uzi.
 
Mashabiki wa simba bana 🤣🤣🤣
Nyie washabiki wa Yanga ndiyo wapumbavu kwani mumelichochea jambo dogo hili hadi limezaa malumbano ya kidini. Hata hao maaskofu michongo waliolibebea bango suala hili ni wapumbavu vile vile na watakuwa ni washabiki wa Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…