Tundu Lissu aache kumkebehi Rais Samia

Tundu Lissu aache kumkebehi Rais Samia

..kwa hiyo Rais alimtembelea Lissu ili baadae aje kumtumia kwenye bango?

..au Raisi alimlipa mafao Lissu ili amuweke kwenye bango?

..Je, Raisi au aliyetengeneza bango aliomba ridhaa ya Lissu kumuweka kwenye mabango?
Hakika…..
 
Tundu Lissu kwa maneno yake mwenyewe na kwa kujiamini alisema Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risasi kwa madai kuwa alikua msaliti bahati nzuri akapona.

Lissu alidai tena aliponea kuuawa mara ya pili baada ya uchaguzi kumalizika na akaokolewa na ubalozi wa Ujerumani.

Rais Samia ambaye ndiye kiongozi pekee aliyemtembelea Tundu Lissu alipokuwa amelazwa Nairobi, alikubali pia kumtembelea Tundu Lissu nchini Ubelgiji alipokuwa katika ziara ya kikazi.

Tundu Lissu baada ya hapo alisema Samia alimlipa stahiki zake za Ubunge na kumwambia atamlipa pia na hela zake za matibabu akikamilisha kupeleka vielelezo.

Ukizingatia nchi ilipokuwa imetoka kabla ya Samia kuwa Rais kitendo cha Samia kukutana na Lissu iliwashtua sana CCM na CHADEMA, kwa kuwa kulikuwa na uadui mkubwa sana.

Rais Samia pamoja na hayo alifanya mengi ambayo yalikuwa kinyume na msimamo wa chama chake kilichokuwa na msimamo mkali dhidi ya Chadema kwa manufaa ya Chadema na nchi kwa ujumla
Alifuta kesi nyingi zilikuwa zinawakabili kutoka awamu ya 5, kuwakaribisha nchini waliokuwa wamekimbia nje, kuwapa malimbikizo ya ruzuku, kuruhusu kufanya mikutano ya hadhara iliyokuwa imezuiwa, kufungulia vyombo vya habari, na hata kuahidi kufufua mchakato wa katiba mpya, ambao mtangulizi wake alikataa hata kusikia.

Sasa leo nikaona tweet ya Lissu akimkebehi Samia kuwa hajafanya la maana lolote halafu ameweka bango.

Labda pengine Lissu na wanaharakati wengine wa Chadema hawajui kwamba Samia angeweza kuendeleza aina ya utawala wa Magufuli ambao ndio wengi katika CCM wanataka na ila akatumia busara, na sadly wasingekuwa na la kufanya.

Sasa kiongozi akionyesha busara na nyie onyesheni busara, kuna mengi ambayo bado Chadema na Lissu wanaweza kuwa wanadai au hayaendi kwa spidi kama wanavyotaka lakini kukejeli jitihada za Samia ni kuwapa nguvu wahafidhina ndani ya CCM.
Keshamkebehi tayari ndiyo maana sisi hawa NGO ya kengeza na huyo punga lisu tunasema si viumbe hai wakushirikiana nao, maana kama walimsaliti Dr Slaa na kulamba billion kadhaa za lowasa basi they can say and be on any side as long as their price is negotiated. So Rais Dkt Samia ni muhimu sana kukaa mbali na hawa wahuni maana siku wakianza kumtukana majukwaani ndiyo atajua hajui hawa ni vibaraka
 
Mashoga yanayofugwa kwenye makorido ya lumumba kufikia 2025 lazima yakatafte kaz halali lasivyo njaa itayauwa.
 
..kwa hiyo Rais alimtembelea Lissu ili baadae aje kumtumia kwenye bango?

..au Raisi alimlipa mafao Lissu ili amuweke kwenye bango?

..Je, Raisi au aliyetengeneza bango aliomba ridhaa ya Lissu kumuweka kwenye mabango?

Huyu mleta hoja ni wale walioathirika ni ile tabia iliyooteshwa awamu wa tano, kila jambo likifanyika inaonekana ni hisani ya rais. Utakuta mradi wowote ukifanyika utasikia ni fedha za Rais. Ikajengeka tabia ya kumsujudia rais, hadi rais akajiona ni Mungu hapaswi kusemwa. Athari ile imebebwa na rais huyu, chawa wake nao wanaona tabu rais wao kusemwa, maana wanaona anafanya wema na sio kutekeleza sheria.
 
Mashoga yanayofugwa kwenye makorido ya lumumba kufikia 2025 lazima yakatafte kaz halali lasivyo njaa itayauwa.
Shoga moja limeshaolewa huko Ubeligiji lina mume kabisa hilo li lisu ni punga punga, na kengeza wenu ni punga punga, waambie waache kumhadaa mwenyekiti wetu
 
Tundu Lissu kwa maneno yake mwenyewe na kwa kujiamini alisema Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risasi kwa madai kuwa alikua msaliti bahati nzuri akapona.

Lissu alidai tena aliponea kuuawa mara ya pili baada ya uchaguzi kumalizika na akaokolewa na ubalozi wa Ujerumani.

Rais Samia ambaye ndiye kiongozi pekee aliyemtembelea Tundu Lissu alipokuwa amelazwa Nairobi, alikubali pia kumtembelea Tundu Lissu nchini Ubelgiji alipokuwa katika ziara ya kikazi.

Tundu Lissu baada ya hapo alisema Samia alimlipa stahiki zake za Ubunge na kumwambia atamlipa pia na hela zake za matibabu akikamilisha kupeleka vielelezo.

Ukizingatia nchi ilipokuwa imetoka kabla ya Samia kuwa Rais kitendo cha Samia kukutana na Lissu iliwashtua sana CCM na CHADEMA, kwa kuwa kulikuwa na uadui mkubwa sana.

Rais Samia pamoja na hayo alifanya mengi ambayo yalikuwa kinyume na msimamo wa chama chake kilichokuwa na msimamo mkali dhidi ya Chadema kwa manufaa ya Chadema na nchi kwa ujumla
Alifuta kesi nyingi zilikuwa zinawakabili kutoka awamu ya 5, kuwakaribisha nchini waliokuwa wamekimbia nje, kuwapa malimbikizo ya ruzuku, kuruhusu kufanya mikutano ya hadhara iliyokuwa imezuiwa, kufungulia vyombo vya habari, na hata kuahidi kufufua mchakato wa katiba mpya, ambao mtangulizi wake alikataa hata kusikia.

Sasa leo nikaona tweet ya Lissu akimkebehi Samia kuwa hajafanya la maana lolote halafu ameweka bango.

Labda pengine Lissu na wanaharakati wengine wa Chadema hawajui kwamba Samia angeweza kuendeleza aina ya utawala wa Magufuli ambao ndio wengi katika CCM wanataka na ila akatumia busara, na sadly wasingekuwa na la kufanya.

Sasa kiongozi akionyesha busara na nyie onyesheni busara, kuna mengi ambayo bado Chadema na Lissu wanaweza kuwa wanadai au hayaendi kwa spidi kama wanavyotaka lakini kukejeli jitihada za Samia ni kuwapa nguvu wahafidhina ndani ya CCM.oyapata
Msamehe bure Lissu, nadhani ni athari za mateso aliyoyapata baada ya risasi zilizoingia mwilini mwake.
 
Keshamkebehi tayari ndiyo maana sisi hawa NGO ya kengeza na huyo punga lisu tunasema si viumbe hai wakushirikiana nao, maana kama walimsaliti Dr Slaa na kulamba billion kadhaa za lowasa basi they can say and be on any side as long as their price is negotiated. So Rais Dkt Samia ni muhimu sana kukaa mbali na hawa wahuni maana siku wakianza kumtukana majukwaani ndiyo atajua hajui hawa ni vibaraka
Siungi mkono matusi, sijakubaliana na Lissu lakini sio kigezo cha kumtukana, nyie misukule wa jiwe sijui mna matatizo gani ya akili, mtakuwa na uchungu hadi lini? miaka 2 tayari
 
"UTOVU WA NIDHAMU NDIO HUU"
Hawa watu huwa hawana shukurani yoyote wameshapata fedha wamshapigia mvinyo sasa ni kudhihaki tu.
 
Huyu mleta hoja ni wale walioathirika ni ile tabia iliyooteshwa awamu wa tano, kila jambo likifanyika inaonekana ni hisani ya rais. Utakuta mradi wowote ukifanyika utasikia ni fedha za Rais. Ikajengeka tabia ya kumsujudia rais, hadi rais akajiona ni Mungu hapaswi kusemwa. Athari ile imebebwa na rais huyu, chawa wake nao wanaona tabu rais wao kusemwa, maana wanaona anafanya wema na sio kutekeleza sheria.
Kwani hao viongozi wa chama chako huwa mnawasema wanapokosea? Hiyo tabia haijaanza awamu ya tano tu.
 
Msamehe bure Lissu, nadhani ni athari za mateso aliyoyapata baada ya risasi zilizoingia mwilini mwake.
Kwahiyo hayupo sawa kisaikolojia? Hayo yanakuja baada ya kumsema Bibi yako ila akimsema Magufuli huwa hamuoni kuwa ni athari hizo hizo ila mnaona anasema ukweli.

Binafsi sijamshangaa maana namjua Lissu ni nusu kichaa ila nyie mlikuwa mnautumia ulemavu wake huo bila kujua.
 
Tundu Lissu baada ya hapo alisema Samia alimlipa stahiki zake za Ubunge na kumwambia atamlipa pia na hela zake za matibabu akikamilisha kupeleka vielelezo. Rais Samia pamoja na hayo alifanya mengi ambayo yalikuwa kinyume na msimamo wa chama chake kilichokuwa na msimamo mkali dhidi ya Chadema kwa manufaa ya Chadema na nchi kwa ujumla. Alifuta kesi nyingi zilikuwa zinawakabili kutoka awamu ya 5, kuwakaribisha nchini waliokuwa wamekimbia nje, kuwapa malimbikizo ya ruzuku, kuruhusu kufanya mikutano ya hadhara iliyokuwa imezuiwa, kufungulia vyombo vya habari, na hata kuahidi kufufua mchakato wa katiba mpya, ambao mtangulizi wake alikataa hata kusikia.
Kwani hayo yote aliyafanya kwa kupenda mwenyewe au utaratibu wa kisheria ndio ulimlazimisha afanye hivyo? Lissu kulipwa anachostahili (tena afadhali umetumia neno 'stahiki'), ni matakwa ya kisheria au ni upendo na maamuzi tu ya Mama? Uwepo wa mikutano ya kisiasa, ni matakwa ya kisheria au ni upendo na maamuzi tu ya Mama? Waliokimbia nchi na kisha kurudi, ni matakwa ya kisheria au ni upendo na maamuzi tu ya Mama? Kutengeneza Katiba mpya. ni matakwa ya kisheria au ni upendo na maamuzi tu ya Mama?
 
Kwahiyo tuachane na mambo ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi,kisa Lissu alienda kuonwa,ila tuambiwage kua suala hilo lipo kwenye mchakato?
Kiongozi wa hivyo anayekaa kimya,huku akiona kabisa katiba itacheleweshwa au haitapatikana na hata hiyo tume huru yawezekana isiwepo hadi tunafikia uchaguzi,huoni hafai?
 
Back
Top Bottom