Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Vyanzo vipo yaani utajiri wote huu tulionao unasema vyanzo vipo wapi kama unaona kizunguzungu kalaleBadala ya kuelezea mipango yake kwamba hiyo pesa ataipata kutoka vyanzo vipi vya mapato, anaongelea kutumia!
Na nyinyi mnashangilia!
Kweli kuongoza chadema ni raha
Hata kama itakuwa kwa mwezi, ataongeza hiyo ndio ishu kubwaUlaya gani huko watu wanalipwa kwa wiki? Huyu jamaa kukaa ulaya kwa miaka mitatu tu kama mgonjwa ndio anajiona anaijua Ulaya vizuri, ha ha ha.
Hata mimi wamenishangaza sanaBadala ya kuelezea mipango yake kwamba hiyo pesa ataipata kutoka vyanzo vipi vya mapato, anaongelea kutumia!
Na nyinyi mnashangilia!
Kweli kuongoza chadema ni raha
Jinga kweli wewe.Ebu tuoene
1)590000
2)590000×2=1,180,000
3)1,180,000÷4=295,000 per week!
4)295,000!
Goddamn it Lissu kura yangu chukua
Nyingi iyo wengine adi laki unusu alafu ndio mishumaa ya CCM! Wengine vijana wa Lumumba wanalipwa buku saba tu wana kuja kutapika huku jamii forumsMkuu kuna watu nchi hii serikali inawalipa pesa ndogo hivyo?? Laki tano na tisini tu??
Harafu wanajidai nchi hii ni dona kantri??
Akiziweza hizi ahadi ni nzuri sana aiseeMgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu Watumishi wa Umma ikiwemo Madaktari, Malimu na Vyombo vya Dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.
Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma kulingana na maisha ya sasa yalivyo.
Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Mkuu,we hutaki kulipwa mara nne kwa mwezi?
Na yote haya yanawezekana mkuuAisee, hii haitokua Tanzania tena kama watayafanya hayo
Safi kabisaEwe mtanzania ichague Chadema ili kuboresha hali ya maisha yako. Na siyo kufanyishwa kazi kama mtumwa halafu hali yako ya kimaisha ikifubaa.
Chadema imejipanga kuhakisha maisha ya mtanzania yanakuwa bora zaidi kwa kufanya yafuatayo endapo itashika dola:-
Wakulima watauza mazao yao mahala popote wanapoona kuna bei nzuri. Ukiritimba na vizuizi vya kinyonyaji kwenye mazao vitaondolewa. Itakuwa ni wajibu wa serikali kutafuta masoko bora ya mazao nje na ndani ya nchi. CCM haiwasaidii wakulima lkn wakivuna mazao yao wanawapangia mahala pa kuuza.
Watumishi watapandishiwa mishahara zaidi na mfumo wa malipo ya mishahara utabadilika na kuwa kwa wiki badala ya mwezi. CCM wamewadhukumu sana watumishi kwa miaka 5 inayomqlizika kwa kuwanyima hata "salary increment" ambayo ipo kisheria.
Wazee wote walio katika sekta isiyo rasmi watalipwa pensheni ya kiwango cha kukidhi maisha yao. CCM kwa miaka 60 wameshindwa kuwathamini wazee hawa pamoja na kuchangia kwa sehemu kubwa ktk ujenzi wa taifa
Serikali mpya itakayoongozwa na Chadema (siyo serikali ya Chadema) itaweka mazingira bora ya biashara kwa kuweka viwango rafiki vya kodi ili kufufua kukuza na kuinua sekta hii. Wafanyabiashara watakuwa rafiki badala ya kuchukuliwa kama adui. CCM wao wanasema wafanyabiashara wataishi kama mashetani".
Serikali itaajiri na itatengeneza ajira za kutosha kwa vijana wanaomaliza ngazi mbalimbali za elimu ili kutimiza malengo na ndoto zao. Siyo kama ccm hawajaajiri vijana miaka yote hii mitano.
Chagua Chadema Kwa Maisha Bora Ya Bila Kufokeana
Mshahara wa kila wiki hauna maana na ni mawazo ya kijingaEwe mtanzania ichague Chadema ili kuboresha hali ya maisha yako. Na siyo kufanyishwa kazi kama mtumwa halafu hali yako ya kimaisha ikifubaa.
Chadema imejipanga kuhakisha maisha ya mtanzania yanakuwa bora zaidi kwa kufanya yafuatayo endapo itashika dola:-
Wakulima watauza mazao yao mahala popote wanapoona kuna bei nzuri. Ukiritimba na vizuizi vya kinyonyaji kwenye mazao vitaondolewa. Itakuwa ni wajibu wa serikali kutafuta masoko bora ya mazao nje na ndani ya nchi. CCM haiwasaidii wakulima lkn wakivuna mazao yao wanawapangia mahala pa kuuza.
Watumishi watapandishiwa mishahara zaidi na mfumo wa malipo ya mishahara utabadilika na kuwa kwa wiki badala ya mwezi. CCM wamewadhukumu sana watumishi kwa miaka 5 inayomqlizika kwa kuwanyima hata "salary increment" ambayo ipo kisheria.
Wazee wote walio katika sekta isiyo rasmi watalipwa pensheni ya kiwango cha kukidhi maisha yao. CCM kwa miaka 60 wameshindwa kuwathamini wazee hawa pamoja na kuchangia kwa sehemu kubwa ktk ujenzi wa taifa
Serikali mpya itakayoongozwa na Chadema (siyo serikali ya Chadema) itaweka mazingira bora ya biashara kwa kuweka viwango rafiki vya kodi ili kufufua kukuza na kuinua sekta hii. Wafanyabiashara watakuwa rafiki badala ya kuchukuliwa kama adui. CCM wao wanasema wafanyabiashara wataishi kama mashetani".
Serikali itaajiri na itatengeneza ajira za kutosha kwa vijana wanaomaliza ngazi mbalimbali za elimu ili kutimiza malengo na ndoto zao. Siyo kama ccm hawajaajiri vijana miaka yote hii mitano.
Chagua Chadema Kwa Maisha Bora Ya Bila Kufokeana
Hata elimu bure mlikataa katakata kwamba haiwezekani leo hii yako wapi? CCM bongo zenu ni za 2G mko slow Sana ktk kufikiri.ni sawa na ahadi ya kuweka mabomba ya kutoa maziwa nchi nzima ni kichaa tu anayeweza kuukubali ujinga wa lissu
Una roho ya kimasikini sana hadi huruma!Mshahara wa kila wiki hauna maana na ni mawazo ya kijinga