Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

Vyombo vya dola hivi hivi anavyovichafua kilakukicha?

Aliwahi kuwatukana Watanzania hatuna akili. Anataka nani akampe kura?

Atazipata za baraza kuu Chadema
 
Nashukuru kwa kuniunga mkono hoja. Hao 25% wanaokosa si ndiyo kama hapa kwetu? Lakini pia uchumi wa Marekani unalinganisha na wetu?

Wenzetu wanawekeza kwenye viwango ambavyo sisi hatujafikia. Ndiyo kwanza hata viwanja vya ndege, bandari, reli tunaanza kujenga. Wao walishamaliza kiwango hiki.
 
Ulaya gani huko watu wanalipwa kwa wiki? Huyu jamaa kukaa ulaya kwa miaka mitatu tu kama mgonjwa ndio anajiona anaijua Ulaya vizuri, ha ha ha.

..usidanganye wenzako.

..kwenye nchi za wenzetu wako wanaolipwa kwa wiki.

..wako wanaolipwa kila baada ya wiki mbili.

..na kuna wanaolipwa kila mwezi.

..na hapo nazungumzia AJIRA ZA KUDUMU.

..pia mishahara au malipo inakuwa determine per hour, au per month.

cc Kamundu
 

..inatakiwa uwe BALANCED.

..unakosea unapodai unatakiwa uwalazimishe wafanyabiashara washushe bei.

..ukifanya hivyo maana yake unakwenda kuwafilisi na uwekezaji unapungua.

..kuna wakati wa kupandisha mishahara, na kuna wakati wa kuondoa fedha za ziada ktk mzunguko.

..inaelekea Jpm anajua kuondoa fedha kwenye mzunguko, hana habari na kuongeza mishahara.
 


yes inakua balanced lakini sio kwa jinsi cdm wanatafsiri kwamba kila miaka mitano pandisha watu vyeo apo apo pandisha mshahara, hio haiwezekani! kwa mfano mwaka huu toka umeanza shilingi ya tanzania ndo pesa pekee iliobaki one road na usd so apo hakuna haja ya kupandisha lakini uwekezaji ungekua mkubwa means watu wanaofanya biashara wangekua above the normal expected economic place, tuseme ungekua unauza mazao nje ungekua na bonus ya pesa kwa dollar, means uko extra juu ya mstari na ndo jinsi inatakiwa
 
Kwa kweli swala la vijana wa nao jitahidi na masomo, wana hitimu vyuo halafu hakuna ajira mpya kwa miaka5 ni Janga kwa taifa zaidi ya tunayo lichukulia.
Lissu chukua nchi irudi kwenye mstari.

#NIYEYE #LISSURAIS2020
Ni ngumu sana kwa kila vijana wanaohitimu vyuo waajiriwe,kila mwaka kuna wahitimu wengi sana katika vyuo tofauti tofauti wooote waajiriwe kweli.??
 
Keshachelewa, utekeleza wa maslahi ya wafanya ulishaanza mudaaa na kwa wauguzi aongee na madaktari wamwambie walivyo na amani, walivyoacha kukumbizana na vimikataba uchwara vya baada ya muda wa kazi, awaulize wamwambie kipato chao kilivyoongezeka na wanavyofurahia kwatibu watanzania
 

..yaani wewe unataka watu miaka mitano wasipande vyeo, na wasipande mishahara?

..mtu ambaye performance yake hairuhusu kupanda cheo ndani ya miaka mitano anatakiwa kufukuzwa kazi.

..watumishi wanatakiwa wakaguliwe, na kusailiwa kila mwaka, kupima performance yao, na kuwapandisha mishahara accordingly.

..CDM wanaposema watapandisha mishahara maana yake watazingatia kwamba upandishaji huo utakuwa na tija.

..narudia tena: kupandisha mishahara, na kuondoa fedha za ziada ktk mzunguko, is a BALANCING ACT ktk kuendesha uchumi.

..tatizo la Jpm hapandishi mishahara, na haongezi uwekezaji, kwa kifupi hajui jinsi ya kuendesha uchumi. He needs to go!
 
UKABILA,RUSHWA YA NGONO, TEUZI ZA UPENDELEO,AJIRA ZA UPENDELEO NDIO KILIO CHA WATANZANIA WENGI,MAUAJI YA RAIA ,NK MWISHO TAREHE 28/10/2020.
 
Kwa kodi ipi?? Ambayo atakuwa anatulipa hiyo mishahara?? au maendeleo leo tena ndio hakuna au anataka tuendelee kukopa mpaka tunyang'anywe bandari kama kenya
 
Asisahau katiba mpya. Tuaihitaji fasta.
 
Ulaya gani huko watu wanalipwa kwa wiki? Huyu jamaa kukaa ulaya kwa miaka mitatu tu kama mgonjwa ndio anajiona anaijua Ulaya vizuri, ha ha ha.
Tupo tulioishi ulaya. Kuna wafanyakazi wanalipwa kila siku na siyo vibarua. Wengine hulipwa mwanzo wa mwezi kabla ya kufanya kazi (annuity due wage system).
 
Tupo tulioishi ulaya. Kuna wafanyakazi wanalipwa kila siku na siyo vibarua. Wengine hulipwa mwanzo wa mwezi kabla ya kufanya kazi (annuity due wage system).
Huo muda wa kuwaelewesha hawa vilaza bora ukajichue tu mzee baba.
 
Kamanda mwambie atueleze vyanzo vya mapato vya kulipa mishahara dabo hahahaha
Kuwaongoza nyumbu ni jambo rahisi sana hahahahha
Kwani mshahara dabo kwa watumishi laki sita itakuwa bei gani?,maana haizidi trilion 1,hizo hizo pesa zitaenda kw wafanyabiashara,zitafunguliwa grocery nyingi pombe itanyweka sana,barmaid watapata mshahara mzuri,watapeleka watoto shule,watanunua chakula na hivyo wakulima kuneemeka,mbuzi zitachinjwa,mishikaki italija sana,wauza nyanya,vitunguu za kachumbali,hoho,karoti watauza sana KOTE HUKO SERIKALI ITAKUSANYA MAPATO trilion hadi tano kwa mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…