Kwahiyo maji sio kitu 😳, kumbe Ni Nini Sasa🤔?Kwamba maji ni maendeleo ya vitu?
Akili nyingine bwana ni zaidi ya tope.
Hivi kuna watu bado mnahangaika na huyo chokoraa Lissu🤔? Tena mnazingatia kabisa uharo wake anaoongea😂?
Tatizo siyo maendeleo ya aina gani tu ila ni vilivyofichama kwenye maendeleo ya vitu.Nimewasikia wananchi wa eneo moja huko mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu.
Nikajiuliza kwa nini hao watu hawahitaji maendeleo ya watu wao wametaka maendeleo ya vitu?
Majibu ya Tundu lisu ni kwamba, hata yeye anashangaa kwa nini mpaka sasa hawana barabara na maji, na kwamaba mpaka huko alipotokea mpaka kufika pale jana yake ametembea kwenye njia ya vumbi mpaka alipofika kwenye mkutano akawa amechoka sana hadi kutaka kuahilisha mkutano.
Swali langu kwa Tundu Lissu.
Kama yeye na pesa aliyo nayo, na magari aliyotumia bado amepata maumivu kwa kupita barabara ya vumbi, je anakubali maendeleo ya vitu ni moja ya kurahisisha maendeleo ya watu?
Anaweza kufahamu kuwa kuna watu pia wanahitaji usafiri wa ndege kuwapeleka sehemu husika na pengine kunusuru maisha yao tofauti na wangetumia barabara wasingepona kutokana na umbali?
Je, unaweza kuwa na mapesa mengi na magari mazuri lakini ili ufike kwako ni lazima ukanyage tope kwa kusukuma gari yako na ukifika kwako huna hata umeme unatumia kibatari na gari yako inakuwa chafu mda wote na ndani mwako vumbi kibao kutokana na barabara ya vumbi ambayo magari yakipita vumbi yote inajaa ndani mwako.
Je, utafurahi na maisha hayo ya uchafu kila siku ila una pesa?
Je, Tundu lisu akiingia madarakani atatekereza maombi ya hao wananchi ya barabara na maji waliyo omba au atataka awajaze pesa iii wawe na furaha kwanza?
Achana na hizo 50 huenda haukuwa target ndo maana haukuziona.Tunaomba kwanza zile milioni 50 zetu za kwenye kila Kijiji. Kupovuka tu hakutusaidii chochote.
Vitu
Vitu vingi vilikwama kukamilika watu walikuwa na pesa lakini huduma zilikuwa dini sana, na ndo maana chadema mliandamana kila siku kuwa pesa ya nchi inaibiwa na haifanya kazi na miradi haikamiliki kwa wakati na kwa kiwango sahihi.
Pia hao watumishi walipandishwa madaraja lakini walibaki ni madeni tu.
Na m
Thibitisha huo upigaji hapa, acha porojo za vijiwe vya kahawa.Kwa hiyo unataka uniamishe siku hizi hakuna upigaji serikalini!! Miradi ya miundombinu mfano maji, barabara, nk. awamu hii inakamilika kwa wakati kuliko awamu iliyopita!! Uko dunia ya wapi mheshimiwa!! Tanzania hii hii!!
Umeshawahi kusafiri kutoka Mikumi kwenda Ifakara? Ile barabara inayojengwa kwa kiwango cha lami ina muda gani mpaka sasa?
Hiyo hoja ya kuwahusu watumishi ndiyo sijaielewa kabisa ulichomaanisha.
..ameuliza kwanini ujengwe uwanja wa chato badala ya barabara za huko Mufindi.
..ameuliza kwanini lijengwe daraja la baharini la kupunga upepo hapa Dsm badala ya barabara ya Mikumi-Kilombero-Ifakara-Mlimba.
Achana na hizo 50 huenda haukuwa target ndo maana haukuziona.
Nikikuhonga million 10, utazifanyia nini?
Tuambieni zimetumika kiasi gani tujue kama zisingetosha.Unadhni hiyo pesa ya Charo na hilo daraja la baharini vingemaliza matatizo ya barabara tanzania nzima?
Thibitisha huo upigaji hapa, acha porojo za vijiwe vya kahawa.
Daraja la Baharini linajengwa kwa pesa za nchi ya Korea ya kusini sio za Tanzania na ni wao walitaka bila kuombwa sababu walikuwa wakichelewa ofisini kwao sababu ya foleni. Hakuna hata mia ya Tanzania ya kujenga hilo Salender..ameuliza kwanini lijengwe daraja la baharini la kupunga upepo hapa Dsm badala ya barabara ya Mikumi-Kilombero-Ifakara-Mlimba.
Daraja la Baharini linajengwa kwa pesa za nchi ya Korea ya kusini sio za Tanzania na ni wao walitaka bila kuombwa sababu walikuwa wakichelewa ofisini kwao sababu ya foleni. Hakuna hata mia ya Tanzania ya kujenga hilo Salender
Lisu anajiharibia kwa wafadhili .Mabalozi wote wa nje walioko Tanzania wana umoja wao na vikao vyao kwenye vikao vyao waliongea foleni iliyoko kenyatta drive inayowafanya wachelewe kazini wakitokea makazi yao Masaki wanakoishi wengi
Ndio ubalozi wa Korea kusini ukatafuta wafadhili wa kujenga daraja kwa ajili ya watoka Masaki ambao wengi ni vigogo wa balozi za nje wapate short cut isiyo n.a. foleni ili Salender ibaki tu kwa walala hoi watoka mwenge ,msasani
Lisu kifupi ni mwongo mpiga fix hasa ukimpa kura ni at your own risk
Mwalimu aliekufundisha shuleni amekula hasara kubwa sanaNimewasikia wananchi wa eneo moja huko mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu.
Nikajiuliza kwa nini hao watu hawahitaji maendeleo ya watu wao wametaka maendeleo ya vitu?
Majibu ya Tundu lisu ni kwamba, hata yeye anashangaa kwa nini mpaka sasa hawana barabara na maji, na kwamaba mpaka huko alipotokea mpaka kufika pale jana yake ametembea kwenye njia ya vumbi mpaka alipofika kwenye mkutano akawa amechoka sana hadi kutaka kuahilisha mkutano.
Swali langu kwa Tundu Lissu.
Kama yeye na pesa aliyo nayo, na magari aliyotumia bado amepata maumivu kwa kupita barabara ya vumbi, je anakubali maendeleo ya vitu ni moja ya kurahisisha maendeleo ya watu?
Anaweza kufahamu kuwa kuna watu pia wanahitaji usafiri wa ndege kuwapeleka sehemu husika na pengine kunusuru maisha yao tofauti na wangetumia barabara wasingepona kutokana na umbali?
Je, unaweza kuwa na mapesa mengi na magari mazuri lakini ili ufike kwako ni lazima ukanyage tope kwa kusukuma gari yako na ukifika kwako huna hata umeme unatumia kibatari na gari yako inakuwa chafu mda wote na ndani mwako vumbi kibao kutokana na barabara ya vumbi ambayo magari yakipita vumbi yote inajaa ndani mwako.
Je, utafurahi na maisha hayo ya uchafu kila siku ila una pesa?
Je, Tundu lisu akiingia madarakani atatekereza maombi ya hao wananchi ya barabara na maji waliyo omba au atataka awajaze pesa iii wawe na furaha kwanza?
Msaada huwezi lazimisha uende wapi kuna social responsibility kwa majirani hata wewe waweza fanya mfano maji yanajaa mvua ikinyesha maaeneo unaishi na majirani na wewe huwezi ingia kwako na ni balozi wa nje huwezi sikiliza hata serikali ikisema pesa za msaada za kudhibiti maji ziende ifakara!!..hata kama linajengwa na fedha za Korea Kusini, sisi ni nchi huru tungeweza kuwashawishi wakatumia fedha hizo ktk eneo ambalo linashida kubwa zaidi ya usafiri wa barabara.
Nyerere hakujenga barabara?Nimewasikia wananchi wa eneo moja huko mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu.
Nikajiuliza kwa nini hao watu hawahitaji maendeleo ya watu wao wametaka maendeleo ya vitu?
Majibu ya Tundu lisu ni kwamba, hata yeye anashangaa kwa nini mpaka sasa hawana barabara na maji, na kwamaba mpaka huko alipotokea mpaka kufika pale jana yake ametembea kwenye njia ya vumbi mpaka alipofika kwenye mkutano akawa amechoka sana hadi kutaka kuahilisha mkutano.
Swali langu kwa Tundu Lissu.
Kama yeye na pesa aliyo nayo, na magari aliyotumia bado amepata maumivu kwa kupita barabara ya vumbi, je anakubali maendeleo ya vitu ni moja ya kurahisisha maendeleo ya watu?
Anaweza kufahamu kuwa kuna watu pia wanahitaji usafiri wa ndege kuwapeleka sehemu husika na pengine kunusuru maisha yao tofauti na wangetumia barabara wasingepona kutokana na umbali?
Je, unaweza kuwa na mapesa mengi na magari mazuri lakini ili ufike kwako ni lazima ukanyage tope kwa kusukuma gari yako na ukifika kwako huna hata umeme unatumia kibatari na gari yako inakuwa chafu mda wote na ndani mwako vumbi kibao kutokana na barabara ya vumbi ambayo magari yakipita vumbi yote inajaa ndani mwako.
Je, utafurahi na maisha hayo ya uchafu kila siku ila una pesa?
Je, Tundu lisu akiingia madarakani atatekereza maombi ya hao wananchi ya barabara na maji waliyo omba au atataka awajaze pesa iii wawe na furaha kwanza?
Mkuu umenukuu vile vile, ninaimani na ww ulikuwepo pale Wambi.Ameuliza kwanini ujengwe uwanja wa chato badala ya barabara za huko Mufindi.
Ameuliza kwanini lijengwe daraja la baharini la kupunga upepo hapa Dsm badala ya barabara ya Mikumi-Kilombero-Ifakara-Mlimba.
Ohoooh..! Endelea kudai hizo million 50 Sasa.Wewe UVCCM utapata wapi milioni 10 usawa huu!! Hata Katibu wako mkuu mwenyewe anaihemea hiyo hela kwa miezi kadhaa ndipo aipate.
Unaongea kama upo kwenye kibuyu, barabara ya nyerere kama alijenga sasa hawa watu wanaotaka barabara wanazitaka za nini?Nyerere hakujenga barabara?
Mwinyi hakujenga barabara?
Mkapa hakujenga barabara?
Kikwete hakujenga barabara?
Je hawakutaka Wananchi wasitawi?
Unafikiri barabara hazitajengwa chini ya Lissu?
Tena yeye atazipa mamlaka halimashauri za miji na wilaya kutenga pesa za kutosha na kuwa na nguvu ya kufanya maamuzi ya ujenzi wa shule, hospital na barabara
Magufuli tukubali tu amezengua.