kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Mwenyekiti wetu leo kule nyumbani ,amepanic sana na ameshasahau ilani yao amebaki kutoa vijembe tu kwa LisuEndeleeni kucheza segere la Lissu mpaka akili ziwakae sawa, Kama mnazo lakini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti wetu leo kule nyumbani ,amepanic sana na ameshasahau ilani yao amebaki kutoa vijembe tu kwa LisuEndeleeni kucheza segere la Lissu mpaka akili ziwakae sawa, Kama mnazo lakini!
Kawaambie hayo maneno miradi ilipo Kama Magufuli Yuko sahihi kuwapelekea hiyo miradi au kakosea simple usikie majibu Yao usiulize Jamii forumsNyerere hakujenga barabara?
Mwinyi hakujenga barabara?
Mkapa hakujenga barabara?
Kikwete hakujenga barabara?
Je hawakutaka Wananchi wasitawi?
Unafikiri barabara hazitajengwa chini ya Lissu?
Tena yeye atazipa mamlaka halimashauri za miji na wilaya kutenga pesa za kutosha na kuwa na nguvu ya kufanya maamuzi ya ujenzi wa shule, hospital na barabara
Magufuli tukubali tu amezengua.
Lisu akipata kura laki 4 atakuwa karoga lakini hata akiwa mchawi kuzidi kura laki nne Sio rahisiUnaongea kama upo kwenye kibuyu, barabara ya nyerere kama alijenga sasa hawa watu wanaotaka barabara wanazitaka za nini?
Out of context quotation!Nimewasikia wananchi wa eneo moja huko mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu.
Nikajiuliza kwa nini hao watu hawahitaji maendeleo ya watu wao wametaka maendeleo ya vitu?
Majibu ya Tundu lisu ni kwamba, hata yeye anashangaa kwa nini mpaka sasa hawana barabara na maji, na kwamaba mpaka huko alipotokea mpaka kufika pale jana yake ametembea kwenye njia ya vumbi mpaka alipofika kwenye mkutano akawa amechoka sana hadi kutaka kuahilisha mkutano.
Swali langu kwa Tundu Lissu.
Kama yeye na pesa aliyo nayo, na magari aliyotumia bado amepata maumivu kwa kupita barabara ya vumbi, je anakubali maendeleo ya vitu ni moja ya kurahisisha maendeleo ya watu?
Anaweza kufahamu kuwa kuna watu pia wanahitaji usafiri wa ndege kuwapeleka sehemu husika na pengine kunusuru maisha yao tofauti na wangetumia barabara wasingepona kutokana na umbali?
Je, unaweza kuwa na mapesa mengi na magari mazuri lakini ili ufike kwako ni lazima ukanyage tope kwa kusukuma gari yako na ukifika kwako huna hata umeme unatumia kibatari na gari yako inakuwa chafu mda wote na ndani mwako vumbi kibao kutokana na barabara ya vumbi ambayo magari yakipita vumbi yote inajaa ndani mwako.
Je, utafurahi na maisha hayo ya uchafu kila siku ila una pesa?
Je, Tundu lisu akiingia madarakani atatekereza maombi ya hao wananchi ya barabara na maji waliyo omba au atataka awajaze pesa iii wawe na furaha kwanza?
Acha upotoshaji! Watanzania tulio wengi tunataka maendeleo ya vitu yaende sambamba na maendeleo ya watu! Hakuna mfanyakazi atakayekubali kunyimwa haki zake za msingi mfano kupandishwa daraja kwa wakati, kisa eti unajenga barabara au kununua ndege!
Mbona wakati wa JK hizo barabara, madaraja, nk vyote hivyo vilijengwa kila kona ya nchi! Lakini bado ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu, haki za wafanyakazi na makundi mengine katika jamii ziliheshimiwa?
Iweje huyu mtu wenu aone barabara na ndege ni vitu vya muhimu sana kuliko haki za wengine? Mbona hatujawahi kumsikia akijipunguzia mshahara na posho zake?
Hata Rais angekua ni Lissu au Hashimu Rungwe, bado hizo barabara zingejengwa tu. Hilo ni moja ya jukumu la serikali yoyote ile duniani. Na kodi tunazolipa na mikopo ya ndani na nje ya nchi, hufanikisha zoezi hilo.

Hoja zako VIOJA kwamba suala ni mishahara ya watumishi ndiyo hoja! Nitatoa mifano michache kuhusu VIOJA vyako hivyo.Acha upotoshaji! Watanzania tulio wengi tunataka maendeleo ya vitu yaende sambamba na maendeleo ya watu! Hakuna mfanyakazi atakayekubali kunyimwa haki zake za msingi mfano kupandishwa daraja kwa wakati, kisa eti unajenga barabara au kununua ndege!
Mbona wakati wa JK hizo barabara, madaraja, nk vyote hivyo vilijengwa kila kona ya nchi! Lakini bado ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu, haki za wafanyakazi na makundi mengine katika jamii ziliheshimiwa?
Iweje huyu mtu wenu aone barabara na ndege ni vitu vya muhimu sana kuliko haki za wengine? Mbona hatujawahi kumsikia akijipunguzia mshahara na posho zake?
Hata Rais angekua ni Lissu au Hashimu Rungwe, bado hizo barabara zingejengwa tu. Hilo ni moja ya jukumu la serikali yoyote ile duniani. Na kodi tunazolipa na mikopo ya ndani na nje ya nchi, hufanikisha zoezi hilo.
Singida ni mkoaMbona hajawahi kusem uwanja wa ndege wa singida usijengwe mapka tanzania yote ipte huduma ya maji barabara na umeme na wawe na fulaha ndo huo uwanja ujengwe maana haina maana.
MATAGA hutawaona hapaAcha upotoshaji! Watanzania tulio wengi tunataka maendeleo ya vitu yaende sambamba na maendeleo ya watu! Hakuna mfanyakazi atakayekubali kunyimwa haki zake za msingi mfano kupandishwa daraja kwa wakati, kisa eti unajenga barabara au kununua ndege!
Mbona wakati wa JK hizo barabara, madaraja, nk vyote hivyo vilijengwa kila kona ya nchi! Lakini bado ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu, haki za wafanyakazi na makundi mengine katika jamii ziliheshimiwa?
Iweje huyu mtu wenu aone barabara na ndege ni vitu vya muhimu sana kuliko haki za wengine? Mbona hatujawahi kumsikia akijipunguzia mshahara na posho zake?
Hata Rais angekua ni Lissu au Hashimu Rungwe, bado hizo barabara zingejengwa tu. Hilo ni moja ya jukumu la serikali yoyote ile duniani. Na kodi tunazolipa na mikopo ya ndani na nje ya nchi, hufanikisha zoezi hilo.
Nimewasikia wananchi wa eneo moja huko mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu.
Nikajiuliza kwa nini hao watu hawahitaji maendeleo ya watu wao wametaka maendeleo ya vitu?
Majibu ya Tundu lisu ni kwamba, hata yeye anashangaa kwa nini mpaka sasa hawana barabara na maji, na kwamaba mpaka huko alipotokea mpaka kufika pale jana yake ametembea kwenye njia ya vumbi mpaka alipofika kwenye mkutano akawa amechoka sana hadi kutaka kuahilisha mkutano.
Swali langu kwa Tundu Lissu.
Kama yeye na pesa aliyo nayo, na magari aliyotumia bado amepata maumivu kwa kupita barabara ya vumbi, je anakubali maendeleo ya vitu ni moja ya kurahisisha maendeleo ya watu?
Anaweza kufahamu kuwa kuna watu pia wanahitaji usafiri wa ndege kuwapeleka sehemu husika na pengine kunusuru maisha yao tofauti na wangetumia barabara wasingepona kutokana na umbali?
Je, unaweza kuwa na mapesa mengi na magari mazuri lakini ili ufike kwako ni lazima ukanyage tope kwa kusukuma gari yako na ukifika kwako huna hata umeme unatumia kibatari na gari yako inakuwa chafu mda wote na ndani mwako vumbi kibao kutokana na barabara ya vumbi ambayo magari yakipita vumbi yote inajaa ndani mwako.
Je, utafurahi na maisha hayo ya uchafu kila siku ila una pesa?
Je, Tundu lisu akiingia madarakani atatekereza maombi ya hao wananchi ya barabara na maji waliyo omba au atataka awajaze pesa iii wawe na furaha kwanza?
Ni ujinga mtupu hizi nadharia eti kuna maendeleo ya vitu na yale ya watu. Hizo infrastructures ndio nyenzo za watu kujiboreshea maisha yao. Ukilima utahitaji barabara ya kupeleka mavuno yako sokoni kabla hayajakuozea.Acha upotoshaji! Watanzania tulio wengi tunataka maendeleo ya vitu yaende sambamba na maendeleo ya watu! Hakuna mfanyakazi atakayekubali kunyimwa haki zake za msingi mfano kupandishwa daraja kwa wakati, kisa eti unajenga barabara au kununua ndege!
Mbona wakati wa JK hizo barabara, madaraja, nk vyote hivyo vilijengwa kila kona ya nchi! Lakini bado ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu, haki za wafanyakazi na makundi mengine katika jamii ziliheshimiwa?
Iweje huyu mtu wenu aone barabara na ndege ni vitu vya muhimu sana kuliko haki za wengine? Mbona hatujawahi kumsikia akijipunguzia mshahara na posho zake?
Hata Rais angekua ni Lissu au Hashimu Rungwe, bado hizo barabara zingejengwa tu. Hilo ni moja ya jukumu la serikali yoyote ile duniani. Na kodi tunazolipa na mikopo ya ndani na nje ya nchi, hufanikisha zoezi hilo.
Nimesoma kidogo nikakuelewa naomba nikujibu nadhani wewe hujaelewa lisu hakatai barabara walakitu kingine chenye manufaa kwa watu yeye anataka maendeleo yaendane na kuboresha maisha yawatu majumbani mfano usiache kuwaongezea watu mshahara kwasababu unajenga barabara sasa hao amewashangaa hawana vitu wala maendeleo yaoNimewasikia wananchi wa eneo moja huko mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu.
Nikajiuliza kwa nini hao watu hawahitaji maendeleo ya watu wao wametaka maendeleo ya vitu?
Majibu ya Tundu lisu ni kwamba, hata yeye anashangaa kwa nini mpaka sasa hawana barabara na maji, na kwamaba mpaka huko alipotokea mpaka kufika pale jana yake ametembea kwenye njia ya vumbi mpaka alipofika kwenye mkutano akawa amechoka sana hadi kutaka kuahilisha mkutano.
Swali langu kwa Tundu Lissu.
Kama yeye na pesa aliyo nayo, na magari aliyotumia bado amepata maumivu kwa kupita barabara ya vumbi, je anakubali maendeleo ya vitu ni moja ya kurahisisha maendeleo ya watu?
Anaweza kufahamu kuwa kuna watu pia wanahitaji usafiri wa ndege kuwapeleka sehemu husika na pengine kunusuru maisha yao tofauti na wangetumia barabara wasingepona kutokana na umbali?
Je, unaweza kuwa na mapesa mengi na magari mazuri lakini ili ufike kwako ni lazima ukanyage tope kwa kusukuma gari yako na ukifika kwako huna hata umeme unatumia kibatari na gari yako inakuwa chafu mda wote na ndani mwako vumbi kibao kutokana na barabara ya vumbi ambayo magari yakipita vumbi yote inajaa ndani mwako.
Je, utafurahi na maisha hayo ya uchafu kila siku ila una pesa?
Je, Tundu lisu akiingia madarakani atatekereza maombi ya hao wananchi ya barabara na maji waliyo omba au atataka awajaze pesa iii wawe na furaha kwanza?
Alwys smart....Acha upotoshaji! Watanzania tulio wengi tunataka maendeleo ya vitu yaende sambamba na maendeleo ya watu! Hakuna mfanyakazi atakayekubali kunyimwa haki zake za msingi mfano kupandishwa daraja kwa wakati, kisa eti unajenga barabara au kununua ndege!
Mbona wakati wa JK hizo barabara, madaraja, nk vyote hivyo vilijengwa kila kona ya nchi! Lakini bado ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu, haki za wafanyakazi na makundi mengine katika jamii ziliheshimiwa?
Iweje huyu mtu wenu aone barabara na ndege ni vitu vya muhimu sana kuliko haki za wengine? Mbona hatujawahi kumsikia akijipunguzia mshahara na posho zake?
Hata Rais angekua ni Lissu au Hashimu Rungwe, bado hizo barabara zingejengwa tu. Hilo ni moja ya jukumu la serikali yoyote ile duniani. Na kodi tunazolipa na mikopo ya ndani na nje ya nchi, hufanikisha zoezi hilo.
Naapa na nnaamini hata laki moja hapo huna...unamhonga Nani? Labda yeye ndo akupe hela ya kula ..miccm bwanaAchana na hizo 50 huenda haukuwa target ndo maana haukuziona.
Nikikuhonga million 10, utazifanyia nini?
Kuna vitu vya kipuuzi vinavyokula pesa na havina maana kwa wananchi na sio barabara,mfano kujenga mastendi ya mahilioni,masoko ya mahilioni,mandege,ma sgr,ma stiglaz,maviwanja ya ndege wanakotua na kuruka popo badala ya ndege ,ma stiglaz nk hivyo ni baadhi ya miradi hewa au tembo mweupeNimewasikia wananchi wa eneo moja huko mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu.