Narudia hizo Ni ngonjera tu tafuteni sababu nyengine una uliza ushindani kwa CCM? CCM ipo madarakani toka kilivyo anzishwa
Ya binafsi nitawachangia wote MAGU na LISSU iwe jua au mvua na huo mtanange usipime wekeni utaratibu jinsi ya kuchangawewe mpuuzi. anatafuta pesa kwa ajili ya kujinadi kwa wanachama. siasa za level nyingine hizi wewe kaa na hayo maccm ufundishwe wizi wa kura.
Nyumbu huwa wakikamatwa na mamba wanarudi palepale kunywa maji. Hivyo na we nyumbu wa CHADEMA endelea kuchangia tu wenzako wakazipigie wine na smart gin hadi walewe nakuteleza. 😃 😃 😃 😃
kwakuchangia wapambeHaijalishi zinanywewa au zinaliwa kuku...
..., cha msingi tunachotaka ni kusema tu, kwa sauti kubwa, kuwa "HATUITAKI CCM"!
[emoji109] [emoji111][emoji111][emoji111][emoji95]
Mwanainchi yupi huyu anae ichagua CCM kwa kishindo kila chaguzi auNarudia tena hizi ni facts, kama unataka ngonjera utazipata kwingine. Sina shaka na ninalolisema. Hata ukimuuliza mwananchi yoyote mwenye ufahamu wa kawaida, na asiyeongozwa na hofu, atasema ninachokisema hata na zaidi.
Huyu nitamchangua 150,000 kufikia mwisho wa wiki. Niko radhi familia yangu ikae kwa shida. Ni nitaongeza kadiri muda unavyokwenda. Atudhibitishe tu pesa zetu kutumika kwa shughuli husika.
Mwanainchi yupi huyu anae ichagua CCM kwa kishindo kila chaguzi au
Familia yako inakilaza mkubwa sana wanahasara kubwa
Hawakuwa na mshindani si mlikimbia uwanjaniNitajie uchaguzi wa serikali za mitaa ccm ilichaguliwa na wananchi gani?
Hawakuwa na mshindani si mlikimbia uwanjani
Na uchaguzi mkuu Bora mkimbie tu maana mtadhalilika vibaya sanaHakukuwa na uchaguzi, bali ilikuwa ni ujinga na uhayawani wa kiwango cha juu. Na huu upuuzi kwenye chaguzi zetu, umeletwa na mtu ambaye hata alipokuwa mbunge alikuwa hashindi kwa box la kura.
Anapenda kuchangiwa huyu, Daily michangoNdugu na marafiki zangu mnaoniunga mkono kwenye safari hii ndefu na ngumu. Kazi hii inahitaji mikono na nguvu ya kila mmoja wenu. Hivyo nawaomba mnisaidie kwa kila mmoja kwa nafasi yake. Tafadhali tuma mchango wako kwenye namba zilizowekwa kwenye tangazo hili tu. Nawashukuru sana-Tundu Lissu on twitter
View attachment 1478123
kaa pembenWapi B8 zetu!
kaa pembeniKwani mabwana zake mabeberu hawata mfadhili au?
Na uchaguzi mkuu Bora mkimbie tu maana mtadhalilika vibaya sana
Sawa tutaona tuombe uzimaSio kwa kura, labda kama matokeo ya tume ya uchaguzi ndio huleta aibu. Safari hii utajua kuwa propaganda haziwabebi.
Sawa tutaona tuombe uzima
Ndugu na marafiki zangu mnaoniunga mkono kwenye safari hii ndefu na ngumu. Kazi hii inahitaji mikono na nguvu ya kila mmoja wenu. Hivyo nawaomba mnisaidie kwa kila mmoja kwa nafasi yake. Tafadhali tuma mchango wako kwenye namba zilizowekwa kwenye tangazo hili tu. Nawashukuru sana-Tundu Lissu on twitter
View attachment 1478123
Vipi baada ya kufika bei na wale wanasiasa wafia tumbo ile trilioni 1.5 mliotupora sasa imebaki ngapi sijui.Kwani mabwana zake mabeberu hawata mfadhili au?