Mbowe delay uteuzi wa mgombea chadema Hadi ACT wazalendo watangaze wao.Hili Ni shinikizo kwa kamati kuu usikubali.Huyu anataka kutimukia ACT wazalendo anawahi kuchukua pesa za Wana chadema kabla ya uteuzi ili akibwagwa aende nazo ACT wazalendoCdm watake wasitoke huyu ndio yuko mioyoni mwetu.
Kwani mabwana zake mabeberu hawata mfadhili au?
Kwa tuhuma za kukwapua hela ulipokuwa Chadema CCM hawawezi kukuamini na ukichukulia na kabila lako ndiyo kabisaaaaa utasugua bench hadi matako yaote sugu huteuliwi ng'o wewe jikite tu kwenye biashara yako ya mama lishe na bar bubu.Asiwe na haraka angoje ateuliwe kwanza
Nani wamiliki wa IMF na WORLD BANK?!Imf wb Ni washirika wa kimaendeleo mabeberu Ni mabwana wa chadema
Uko sahihi.Taabu ya Tundu Lisu huwa hajali protocols ni too much know.Asiwe na haraka angoje ateuliwe kwanza
Wapi B8 zetu!
Wana hasira naye Magufuli aliamua kuwa anunue ndege za bombarier na Boeing . Tundu Lisu wakapinga.Raisi Magufuli akaamua kununua .Kwani mabwana zake mabeberu hawata mfadhili au?
Ndo wabunge walichangishwa zisaidie wagombea. Sasa Lissu anaanza kuhangaika kutembeza bakuli kumbe mwenyekiti kachikichia zote.Wapi B8 zetu!
Kwani chadema imeshampitisha Lissu kuwa mgombea wao? Na Msigwa nae katangaza leo.Huyu nitamchangua 150,000 kufikia mwisho wa wiki. Niko radhi familia yangu ikae kwa shida. Ni nitaongeza kadiri muda unavyokwenda. Atudhibitishe tu pesa zetu kutumika kwa shughuli husika.
Did I quote you?Njoo Mama tukupe hela
Mabeberu ni wale wanaokutumia kuisaliti nchi yako kwa tamaa ya pesa/uongozi Kama wanavyotumiwa lisu/chadema zito/act. Kwa Tanzania Kama nchi hawezi kututumia ndio wanakuwa Sasa washirika wa kimaendeleo,Mabeberu ndio wanatupa condom, mseto na ARV kwa serikali ya jiwe
Nchi zote dunia Ni wanachama hakuna mmilikiNani wamiliki wa IMF na WORLD BANK?!
Atulie. Aje nchini.Ndugu na marafiki zangu mnaoniunga mkono kwenye safari hii ndefu na ngumu. Kazi hii inahitaji mikono na nguvu ya kila mmoja wenu. Hivyo nawaomba mnisaidie kwa kila mmoja kwa nafasi yake. Tafadhali tuma mchango wako kwenye namba zilizowekwa kwenye tangazo hili tu. Nawashukuru sana-Tundu Lissu on twitter
View attachment 1478123
Sawa.Nitachangia kila mwezi mpaka uchaguzi umalizike.
Sio mchezo na lowasa hayupo labda zile bill 8 zipo watazitumia kwenye kampeniWana hasira naye Magufuli aliamua kuwa anunue ndege za bombarier na Boeing . Tundu Lisu wakapinga.Raisi Magufuli akaamua kununua .
Kitendo kile kiliwauma mno unataka wanyimwe pesa kupitia mauzo ya ndege zao Halafu kesho uende kuwaomba pesa hawakupi.Yaani unaomba unataka pesa zitoke wapi wakati unazuia manunuzi?
Zitto alitukana kampuni lao Hilo kuwa linaleta Tanzania ndege mitumba!!! Kampuni yenye heshima duniani yenye wanahisa ulaya na Marekani kijitu Cha Mwandiga kigoma kiseme eti wanauza ndege mitumba!!! Kesho waende kuomba pesa eti za kampeni !!! Nani awape?
Ndio maana unaona wanakimbilia huku huku Tanzania kwenye tigo rusha nk
Nataka kukupa MsaadaDid I quote you?
Nani amekuuliza?Nataka kukupa Msaada
Naona una Njaa
Mumeo anakusubiri chumbani.Kwani mabwana zake mabeberu hawata mfadhili au?
Uneonesha njaa zako hadharani Bi DadaNani amekuuliza?