Taarifa ya lini hii,toa taarifa iliyokamilika ili tukuhukumu kwa haki,baadae usije hapa ukilialia umeonewa.Kizazi cha nyoka mnamatatizo sana.View attachment 1824787
Masala awamu pendwa, pumba haziruhusiwi mjini, hakuna wafugajiHuyu lissu atapevuka lini,atulie huko ubeligi kwa bwana zake ,huku sisi tuko bize kijenga nchi
Vijana wa ccm ni wapumbavu sana kwamba jinai inakufa kifala hivi unaenda kuachia mafisadi kama wakina Singasinga halafu unashindwa kumkama aliyempiga risasi Tundu lissu, kumteka Mo na kumteka Roma?Siasa za nilipigwa risasi 30 hakuna anaezifatilia aisee Lissu ajipange upya alipata umaarufu kwa siasa za JPM kwa mama ataonekana kituko.
Hata.ukitaka aitwe jpm au
Kwangu mimi hana tofauti na vibaka wengi
Wewe ndio kibaka mganga njaa usie na mbele wala nyuma, una hasira haupo kwenye list. Endelea kumuita kibaka kisha unagongea bandoKwangu mimi hana tofauti na vibaka wengine.
Hainisumbui hata kidogo.Wewe ndio kibaka mganga njaa usie na mbele wala nyuma, una hasira haupo kwenye list. Endelea kumuita kibaka kisha unagongea bando
Aache kelele zake zisizo na tija. Anachosha.
Dereva na viongozi wengine wa chama chake wanajua kinachoendelea, ndio maana baada ya tukio akakimbilia kufichwa.Dereva wa Lissu angekufa hao waliomshambulia wasingekamatwa ?
Ukishaona mtu anajiita Magonjwa Mtambuka Bia yetu Kawe Alumni sijui na.majina gani mengine ya kipuuzi, unatarajia kichwani kutakua na kitu kweli?Vijana wa ccm ni wapumbavu sana kamba jinai inakufa kifala hivi unaenda kuachia mafisadi kama wakina Singasinga halafu unashindwa kumka aliyempiga risasi Tundu lissu, kumteka Mo na kumteka Roma
Siasa hizi hazitaisha mpaka pale justice itakuwa huru kumshughulikia kila mtu
Inakusumbua kwa kuwa hats mawindo haramu ya teuzi yamekwama,tafadhali jaribu tena baadae.Hainisumbui hata kidogo.
Unalazimisha inisumbue?Inakusumbua kwa kuwa hats mawindo haramu ya teuzi yamekwama,tafadhali jaribu tena baadae.
SiioniKwani hiyo twit haina tarehe?
[emoji1][emoji1][emoji1]
Dereva na viongozi wengine wa chama chake wanajua kinachoendelea, ndio maana baada ya tukio akakimbilia kufichwa.
Utarudi hapa ukilialia,tutakusulubu usiseme tuna kuoneaUnalazimisha inisumbue?
Mbona hukuhoji kipindi cha marehemu yule muovu? Leo ndio unajifanya kutambua ugaidi aliyofanyiwa Mh Lisu kwa kuwa anamkosoa mama Samia 😏Mbona wanazua uongo kuwa anamsifia mama? Waliomshambulia walishakamtwa?
Mkuu umenena vyema.Vijana wa ccm ni wapumbavu sana kamba jinai inakufa kifala hivi unaenda kuachia mafisadi kama wakina Singasinga halafu unashindwa kumkama aliyempiga risasi Tundu lissu, kumteka Mo na kumteka Roma?
Siasa hizi hazitaisha mpaka pale justice itakuwa huru kumshughulikia kila mtu nchi hii.
Mama samia hajafanya hata 10% ya mambo ya msingi katika nchi