Wewe ndo zwazwa lini ulionyeshwa picha za mauaji hadharani?Hapa ndipo ulivyo mjinga sasa mkashindwa nini kulipeleka mahakamani ili atafutwe huyo mnayedhani kuwa anahusika maana wenye dhamana ya kulinda raia ni serikali kwa nini serikali hata ilificha picha za cctv camera.
Mahakama zipi za wakati huo? Au hizi ambazo hadi sasa rais Rais anatesekana nazo kwa haki jinai kwa jinsi zilivyoharibiwa na Yule kichaa wa wakati huo.Wewe ndo zwazwa lini ulionyeshwa picha za mauaji hadharani?
Tundulisu kama ana ushahidi uo anao lopoka si angeenda mahakaman
Upo irrelevant. Alichopitia ni swala la uhalifu. Kushambuliwa ni crime kama crime nyingine. Yeye alishambuliwa na wahalifu kwa kumiminiwa risasi. Je magufuri alikuwapo eneo la tukio?!Alichofanyiwa ni jambo kubwa sana na maumivu mazito alopitia kupasuliwa kila mahala mwilini mwake mwacheni aseme atakacho maana ni uchungu mkubwa huku akijiuliza kosa lake ni nini? Mbona Katiba inaruhusu watu kutoa maoni yao ?!
Halafu hiyo inasaidia akija kiongozi mwingine aepuke unyama kama ule maana ajue hata asipokuwepo atasemwa tu.
Kwa hiyo vumilieni dawa iwaingie vizuri hata kama inauma!
Nimekupa sura yangu kwa sababu najiamini weka na wewe yako bibi kiarabu tukuone.Cholo naona unatangaza soko 🤣🤣🤣🤣.
Tanzania hatu entertain ushoga utapigwa Bomba ufe,for your safety ishi huko huko Kwa machoko wenzako
maisha magumu ni kwa watanzania tukio wengi sasa wewe bibi wa kimanga uwezi kuwa na huruma na maskini Ndio maana sisi wabantu inabidi tupigane na kibibi kama wewe ambae ushaanza kuvaa dipers.Una maisha magumu sana Kwa hiyo sura aisee ndio maana una stress,unalaumu na kulalamika Kwa Kila kitu 😁😁.
Walaumu waliokuzaa sio mimi
😁😁😁😁 Vipi na wewe ulibeba Bango kuandamana juzi Kwa sababu ya njaa huko Kwa mabwana zako wanaokufukua mtaro?maisha magumu ni kwa watanzania tukio wengi sasa wewe bibi wa kimanga uwezi kuwa na huruma na maskini Ndio maana sisi wabantu inabidi tupigane na kibibi kama wewe ambae ushaanza kuvaa dipers.
Kama nilivyokupa sura yangu, mimi najiamini unlike you bibi wa kiarabu.😁😁😁😁 Vipi na wewe ulibeba Bango kuandamana juzi Kwa sababu ya njaa huko Kwa mabwana zako wanaokufukua mtaro?
Wajinga tu ndio wasiojua kuwa dikteta Magufuli alitaka kumuua lissuRais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.
Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.
Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.
Mlale Unono!
Hahahahaha ko yeye ndo aliharbu mahakaman kwasababu ndo aluetengeneza Katiba na hata kama angeenda mahakaman yenye haki huo ni ushahidi wakumfunga mtu?Mahakama zipi za wakati huo? Au hizi ambazo hadi sasa rais Rais anatesekana nazo kwa haki jinai kwa jinsi zilivyoharibiwa na Yule kichaa wa wakati huo.
Hawa waandishi wanakubaliana ni maswali gani watamuuliza. Kule Marekani wakati Lissu anazungumza na walioitwa wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma US alitokea mmoja akauliza swali kuhusu alipo dereva wa Lissu basi mabaunsa walimtoa kwenye mkutano kama haini.Kuna usemi wa kiswahili unasema
"Mbuzi wa bwanaheri kala mahindi ya bwanaheri kwenye shamba la bwanaheri na kesi imepelekwa kwa bwanaheri basi yote heri"
Mwisho wa kunukuu.
Duh ,kwa nini huyu dereva anafichwa sana?Hawa waandishi wanakubaliana ni maswali gani watamuuliza. Kule Marekani wakati Lissu anazungumza na walioitwa wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma US alitokea mmoja akauliza swali kuhusu alipo dereva wa Lissu basi mabaunsa walimtoa kwenye mkutano kama haini.