Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Idd Amin Mwendazake lazima asemwe
Zaidi ya wanafunzi nusu millioni waliochaguliwa kwenda from 1 nchi nzima awajaenda.
Wazazi wanalaumu ugumu wa maisha kutoweza wapeleka watoto shule pamoja na kwamba elimu bure.
Kwa kiazi kama wewe uwezi ona kushindwa kwa serikali kupambana na inflation na madhara yake.
Hivi kwanini mods awakupi ban ata ya mwezi mmoja watupumzishe kusoma ujinga wako.