Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Idd Amin Mwendazake lazima asemwe

Zaidi ya wanafunzi nusu millioni waliochaguliwa kwenda from 1 nchi nzima awajaenda.

Wazazi wanalaumu ugumu wa maisha kutoweza wapeleka watoto shule pamoja na kwamba elimu bure.

Kwa kiazi kama wewe uwezi ona kushindwa kwa serikali kupambana na inflation na madhara yake.

Hivi kwanini mods awakupi ban ata ya mwezi mmoja watupumzishe kusoma ujinga wako.
 
Rais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.

Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.

Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.

Mlale Unono!
Waulize makamba Sr na Jr, Kinana nk wanasemaje kuhusu ukweli wa Lisu.
 
Zaidi ya wanafunzi nusu millioni waliochaguliwa kwenda from 1 nchi nzima awajaenda.

Wazazi wanalaumu ugumu wa maisha kutoweza wapeleka watoto shule pamoja na kwamba elimu bure.

Kwa kiazi kama wewe uwezi ona kushindwa kwa serikali kupambana na inflation na madhara yake.

Hivi kwanini mods awakupi ban ata ya mwezi mmoja watupumzishe kusoma ujinga wako.
Ban hupewa wapumbavu kama wewe..

Wanafunzi watasakwa popote na wataenda,Iko hivyo Toka zamani wewe Bata ndio unaelewa Leo Kwa sababu Teknolojia ya upashanaji habari imekua sana..

Harafu ulivyo mpumbavu,hao mil.1.1 ndio wanatarajiwa kuanza la kwanza Sasa ukisema zaidi ya mil.1 hawajarupoti ndio kusema madarasa Yako empty Sasa wakati huu ni uongo 😁😁😁😁

Bata jike naona unawashwa nitakupanda utataga siku sio nyingi na utatulia
 
Rais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.

Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.

Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.

Mlale Unono!
Amemkashifu vipi, je waliotaka kumwua si walitumwa na serikali ya Magufuli. Ulivyo na roho ya kishetani unapata ujasiri kutuandikia huu upuuzi? Alichofanyiwa Lissu angefanyiwa ndugu yako wa karibu ungethubutu kuandika upuuzi huu? Lissu anatuelezea ukatili aliofanyiwa. Geti lilikshafunguliwa maaskari wakaondolewa, CCTV zilizimwa zote. Na baada ya mashambulizi yote yale serikali haikujihangaisha kuchukua hatua yoyote, Rais wa nchi aliyeapa kulinda uhai wa watanzania alikuwa Magufuli bado unakuja kutuandikia ushetani km huu, hivi unajisikiaje? Aliyetaka kumwua Lissu alikuwa Magufuli dunia yote inafahamu. Ila Mungu alivyokuwa fundi amekufa yeye. Lissu amepona anatuhadithia unyama wa yule katili. Magufuli hakuwa binadamu wa kawaida alikuwa muuaji. Mazuzu km nyie wenye roho za kichawi km yeye Zitto alishawaambia mkamfuate kaburini.
 
Pia rais ni taasisi. Sasa mtu huko atoke anakotoka. Halafu aanze kusema rais ni muuaji. Hiyo inaleta taswira gani kwa wananchi kuhusu taasisi hiyo ya urais? Tundu lisu katukosea watanzania tulio wengi.
we aliyekuzaa ana hasara ya jumla siyo kwa upumbavu huo
 
Andikeni mutakavyo andika,lakini mujuwe iko siku ambayo ni nzito saana sisi soote tutakwenda hesabiwa.Wale waislaam wanaujuwa ugumu wa hii siku lakini bado wanafanza maovu.
Mwenyezimungu Tusamehe.
 
Alikuwa anasema Mambo yalokuwa hayasemwi na hayati ......unakopa alaf unadanganya ni pesa za ndani
 
Ban hupewa wapumbavu kama wewe..

Wanafunzi watasakwa popote na wataenda,Iko hivyo Toka zamani wewe Bata ndio unaelewa Leo Kwa sababu Teknolojia ya upashanaji habari imekua sana..

Harafu ulivyo mpumbavu,hao mil.1.1 ndio wanatarajiwa kuanza la kwanza Sasa ukisema zaidi ya mil.1 hawajarupoti ndio kusema madarasa Yako empty Sasa wakati huu ni uongo 😁😁😁😁

Bata jike naona unawashwa nitakupanda utataga siku sio nyingi na utatulia
Inabidi utafutiwe pumpers mtu mzima na wa kukubadilisha it won’t be nina kinyaa balaa khaa ata kusoma fikra zako tu.

Kabla ya kuchagua kwenda kwenye hizo lugha hakikisha upo tayari, in all honesty mtu akifika huko huwa naona keshaishiwa.

Amini usiamini ili ushinde hiyo vita kuna mawili mod wa edit post zangu (max kazuia hiyo option) mods waingilie simu yangu nime up grade nipo iPhone 14 they can’t hack it yet.

Tukienda huko mimi huwa sipewi ban tu na account wanaifunga, na wewe peke yako uwezi it takes JF established members to deal with me and fouls.

Tuliza mshono mama, vinginevyo utafumuliwa ukimbie mtaa wa udoe.
 
Kasafishe mtaro wa anal kwanza ndio uje tujadili hoja una pollute
 
Unaweza kumuua kichaa? Mbowe alivyosema alivamiwa kumbe mlevi tu ilikuwa sahihi? Kwanini Lissu hataki dereva wake ahojiwe? Ikitokea suala hili likaenda mahakamani atakataa asihojiwe? Kwanini?
Acha urongo,mbona kasema sasa waje tu wawahoji na mpaka sasa bado?
 
Huyu jamaa bado ana kisirani na kisasi na hayati magufuri. Ndio maana kila uchao haachi kumtaja. Ukijiuliza ni kwann anakazania kumuongelea mtu ambaye ameshatangulia mbele za haki why ana hangaika kumuongelea ili iweje sasa?!
 
Mlitaka amtaje nani hata kama mhusika ni huyo?

View attachment 2505311
Picha hii inamjibu Lissu kwa 100%
IMG-20230204-WA0007.jpg
IMG-20230204-WA0008.jpg
 
Rais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.

Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.

Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.

Mlale Unono!
Wewe ni zuzu
 
Unaweza kumuua kichaa? Mbowe alivyosema alivamiwa kumbe mlevi tu ilikuwa sahihi? Kwanini Lissu hataki dereva wake ahojiwe? Ikitokea suala hili likaenda mahakamani atakataa asihojiwe? Kwanini?
Hapa ndipo ulivyo mjinga sasa mkashindwa nini kulipeleka mahakamani ili atafutwe huyo mnayedhani kuwa anahusika maana wenye dhamana ya kulinda raia ni serikali kwa nini serikali hata ilificha picha za cctv camera.
 
Huyu jamaa bado ana kisirani na kisasi na hayati magufuri. Ndio maana kila uchao haachi kumtaja. Ukijiuliza ni kwann anakazania kumuongelea mtu ambaye ameshatangulia mbele za haki why ana hangaika kumuongelea ili iweje sasa?!

Alichofanyiwa ni jambo kubwa sana na maumivu mazito alopitia kupasuliwa kila mahala mwilini mwake mwacheni aseme atakacho maana ni uchungu mkubwa huku akijiuliza kosa lake ni nini? Mbona Katiba inaruhusu watu kutoa maoni yao ?!

Halafu hiyo inasaidia akija kiongozi mwingine aepuke unyama kama ule maana ajue hata asipokuwepo atasemwa tu.

Kwa hiyo vumilieni dawa iwaingie vizuri hata kama inauma!
 
Back
Top Bottom