Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Yn saivi mtawala na mpinzani wote ni wapinzani wanampinga magufuri😂😂😂 em fikilia mbona enzi za kikwete hakumwita kikwete kaka ila uku wako kwenye same mission kufuta legacy
Yeye kama mwanasheria anajua kabsa huo sio ushahidi wa kumfunga mtu ila anaongea kama chuki tu na anaacha hoja za maana yeye kama mpinzani
 
Hapa ndipo ulivyo mjinga sasa mkashindwa nini kulipeleka mahakamani ili atafutwe huyo mnayedhani kuwa anahusika maana wenye dhamana ya kulinda raia ni serikali kwa nini serikali hata ilificha picha za cctv camera.
Wewe ndo zwazwa lini ulionyeshwa picha za mauaji hadharani?
Tundulisu kama ana ushahidi uo anao lopoka si angeenda mahakaman
 
Wewe ndo zwazwa lini ulionyeshwa picha za mauaji hadharani?
Tundulisu kama ana ushahidi uo anao lopoka si angeenda mahakaman
Mahakama zipi za wakati huo? Au hizi ambazo hadi sasa rais Rais anatesekana nazo kwa haki jinai kwa jinsi zilivyoharibiwa na Yule kichaa wa wakati huo.
 
Alichofanyiwa ni jambo kubwa sana na maumivu mazito alopitia kupasuliwa kila mahala mwilini mwake mwacheni aseme atakacho maana ni uchungu mkubwa huku akijiuliza kosa lake ni nini? Mbona Katiba inaruhusu watu kutoa maoni yao ?!

Halafu hiyo inasaidia akija kiongozi mwingine aepuke unyama kama ule maana ajue hata asipokuwepo atasemwa tu.

Kwa hiyo vumilieni dawa iwaingie vizuri hata kama inauma!
Upo irrelevant. Alichopitia ni swala la uhalifu. Kushambuliwa ni crime kama crime nyingine. Yeye alishambuliwa na wahalifu kwa kumiminiwa risasi. Je magufuri alikuwapo eneo la tukio?!

Je, kuwa raisi ina maanisha uhalifu wowote ukitokea ni wewe umesababisha au umeagiza ufanyike?!

Vyombo vya usalama vipo, wahusika wanajulikana, kwann kama yeye anatafuta haki yake asikomalie waliopo hai na walihusika kuchukuliwa hatua anamtaja mtu ambaye kwanza hakuwapo eneo la tukio, hakushika silaha kumshambulia, na siajabu tukio likiwa linatokea hakuwa akijua lolote hadi akipotaarifiwa?!

I think kwenye hili swala nyie mnaomsapoti tundulisu mnafeli kufikiria sawa sawa kwamba hapa kuna hali ya namna gani.
 
😁😁😁
16538044797770.jpg
 
Lisu ameendelea kudai kwamba hayati Magufuli aliagiza msaliti hasitahili kuishi na baada ya muda mfupi Lissu akashambuliwa kwa risasi Dodoma, je kumbe Lisu alikuwa anajijua ni msaliti wa nchi?, maana Magufuli hakutaja jina la mtu alitaja msaliti.

Kwa nini Clouds FM hawakumuuliza dereva wake amemficha wapi?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza sababu za Acacia kufutwa Tanzania na hawakushitaki MIGA?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza kama alipigwa na Magufuli na sasa hivi ni miaka miwili Magufuli hayupo kwa nini uchunguzi haufanyiki sasa hivi?

Nb: watoto wa Mbowe na Lisu wote ni raia wa Marekani.
 
Una maisha magumu sana Kwa hiyo sura aisee ndio maana una stress,unalaumu na kulalamika Kwa Kila kitu 😁😁.

Walaumu waliokuzaa sio mimi
maisha magumu ni kwa watanzania tukio wengi sasa wewe bibi wa kimanga uwezi kuwa na huruma na maskini Ndio maana sisi wabantu inabidi tupigane na kibibi kama wewe ambae ushaanza kuvaa dipers.
 
maisha magumu ni kwa watanzania tukio wengi sasa wewe bibi wa kimanga uwezi kuwa na huruma na maskini Ndio maana sisi wabantu inabidi tupigane na kibibi kama wewe ambae ushaanza kuvaa dipers.
😁😁😁😁 Vipi na wewe ulibeba Bango kuandamana juzi Kwa sababu ya njaa huko Kwa mabwana zako wanaokufukua mtaro?
 
Kuna usemi wa kiswahili unasema

"Mbuzi wa bwanaheri kala mahindi ya bwanaheri kwenye shamba la bwanaheri na kesi imepelekwa kwa bwanaheri basi yote heri"

Mwisho wa kunukuu.
 
Rais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM.

Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali.

Ni vema Tundu Lissu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika.

Mlale Unono!
Wajinga tu ndio wasiojua kuwa dikteta Magufuli alitaka kumuua lissu
 
Mahakama zipi za wakati huo? Au hizi ambazo hadi sasa rais Rais anatesekana nazo kwa haki jinai kwa jinsi zilivyoharibiwa na Yule kichaa wa wakati huo.
Hahahahaha ko yeye ndo aliharbu mahakaman kwasababu ndo aluetengeneza Katiba na hata kama angeenda mahakaman yenye haki huo ni ushahidi wakumfunga mtu?
Jamaa anaamin conspiracy theory sana uyo
 
Kuna usemi wa kiswahili unasema

"Mbuzi wa bwanaheri kala mahindi ya bwanaheri kwenye shamba la bwanaheri na kesi imepelekwa kwa bwanaheri basi yote heri"

Mwisho wa kunukuu.
Hawa waandishi wanakubaliana ni maswali gani watamuuliza. Kule Marekani wakati Lissu anazungumza na walioitwa wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma US alitokea mmoja akauliza swali kuhusu alipo dereva wa Lissu basi mabaunsa walimtoa kwenye mkutano kama haini.
 
Tanzania hilo linawezekana ukimsema Rais aliye madarakani na rafiki zake. Otherwise kwa wengine unaweza kuropoka lolote.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hawa waandishi wanakubaliana ni maswali gani watamuuliza. Kule Marekani wakati Lissu anazungumza na walioitwa wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma US alitokea mmoja akauliza swali kuhusu alipo dereva wa Lissu basi mabaunsa walimtoa kwenye mkutano kama haini.
Duh ,kwa nini huyu dereva anafichwa sana?
 
Kama asingekuwa yeye angechukua hatua haraka iwezekanavyo.

Asingeweza kuvumilia kuchafuliwa kama ambavyo alivyokuwa hapendi kukosolewa.
 
Habari,

Mimi ninavyojua Urais ni taassisi, kutuhumiwa kwa JPM ni kutuhumiwa kwa serikali na mamlaka.

Lakini cha kushangaza serikali ipo kimya, mama pia yupo kimya, najiuliza huu ukimya unaashilia nini? au ndio utakekezaji wa masharti ya maridhiano?
 
Lao moja hao wote ni upinzani dhidi ya marehemu haiwezekani eti mwanasheria kuongea ushahidi wakipuuzi ivo
 
Back
Top Bottom