Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Ilikuwa awamu hii, au iliyopita?
 
Hbr,mie ninavyojua Urais ni taassisi,kutuhumiwa kwa jpm ni kutuhumiwa kwa serikali na mamlaka,lkn cha kushangaza serikali ipo kimya,mama pia yupo kimya Najiuluza huu ukimya unaashilia nini?, au ndio utakekezaji wa mashariti ya maridhiano?
Lissu mwenyewe amepamiss mahakamani, Wewe unataka Mamlaka ijichanganye ili impe mtaji wa kisiasa! Unaakili kweli wewe??
 
Mtu mwenye majukumu elite awezi shinda JF juzi tu nimepokea wageni wenye deal zao za mamillioni ata kushiriki sikutaka pamoja na kuniomba niwasindikize.

Pamoja na wizi wao ushabiki wao una afadhali ya wewe kibibi cha kimanga.
Inategemea ni majukumu gani kwani tunafanana Mzee wa wageni wa dili 😁😁😁😁

Labda watasaidia kukupunguzia njaa uache kulalamika 🀣🀣
 

Kama ndio umefikiria hadi ukafika mwisho na ukaona haya maswali yako yanaweza kuibua hoja za kumtetea huyo unayemtetea dhidi ya shambulio la Lissu basi nimeamini hayo masifuri huko shuleni mnayapata kwa haki kabisa.
 
Mtuhumiwa si ni Maghufuli wakamkamate
 
Rare Sapphire √√√√√√√√

Hakika unafukia mashimo vizuri sana yaliyochimbwa na mahasimu wa CHADEMA kumchafua Makamu Mwenyekiti wetu..

Nadhani sasa watafute vihoja vingine..
 
Mamlaka ipi? Wote wamoja wana Bosi mmoja, jiulize Ndege yetu iliyoshikwa Uholanzi nini kinaendelea? Nani aliipeleka Uholanzi ili ikamatwe? Fikiria nchi kama Kenya, Kenya Airways ishikwe nje ya nchi huo moto wake lkn hii nchi haina mwenyewe, ni foreigners tu!
 
Inategemea ni majukumu gani kwani tunafanana Mzee wa wageni wa dili 😁😁😁😁

Labda watasaidia kukupunguzia njaa uache kulalamika 🀣🀣
Hiyo ndio tofauti yetu ata kama sina nafasi ya kuongelea hustle za watu hasa waliofunguka kwa kuniamini (trust is important) halafu ni maafisa usalama wakikwambia na huo wizi wa mawaziri unaongelea unabaki unajiuliza haya yote unaniambia mimi ili iweje.

Ndio ujue hata kama sina amani ya kushiriki kwenye deal za ovyo, lakini unazi wao una afadhali ya wewe kibibi cha kimanga ambae una uchungu kabisa na walalahoi unaetetea kila ujinga.
 
Ni nani asiyejua kuwa kama Magufuli alitaka kula wali, basi akatokea mtu akasema wali sio mzuri basi moja kwa moja huyo anayesema wali sio mzuri anageuka kuwa msaliti kwa taifa?
 
Hbr,mie ninavyojua Urais ni taassisi,kutuhumiwa kwa jpm ni kutuhumiwa kwa serikali na mamlaka,lkn cha kushangaza serikali ipo kimya,mama pia yupo kimya Najiuluza huu ukimya unaashilia nini?, au ndio utakekezaji wa mashariti ya maridhiano?
Labda wameridhia ni kweli, kama na wao ni maadui wa Magufuli? Hivyo mwenye kiuno mpindo cha sebene kapita kwenye njia, likilema linateseka na vyuma hadi sasa haliwezi kula mbususu.
 
Huelewi na hujui usemalo..!

Si nyie haohao huwa mnasema "Rais ni taasisi?"

Kama ni taasisi unashindwaje kuelewa kuwa Rais wa JMT yuko responsible na kila kinachotokea ndani ya nchi yake..?

Unafikiri Paul Makonda mratibu na msimamizi wa shambulio lile alitumwa na nani?

Najua utasema "una ushahidi'" kuwa Paul Makonda alihusika?

JIBU NI: Waambie nduguzo polisi wafanye kazi yao ndo utajua Kuna ushahidi' au la...!!
 
Uzuzu wa mtoa hoja na uchawa wako unakusumbua,ni wajibu wa police kutoa ripoti yao ya uchunguzi, elewa Mr.Lissu ni victim SIO suspect!!,nani alituloga watanzania mpaka tunashindwa kuelewa vitu rahisi kama hivi?,but wewe mtoa hoja ni limiting katili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…