Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Huna ulijualo ndugu yangu na POLE SANA!Ni watu wa hovyo na wahalifu waliotekeleza kitendo hicho.
Acha kujitoa akili na nakwambia siku zao zinahesabiwa
Huna ulijualo ndugu yangu na POLE SANA!
kwahiyo Rais hulindwa na wahalifu?! Na wale wanaokaa nyuma yake ni wahalifu?! Mnaongea mkiwa hakuna mlijualo.
Ahsante mwerevu... endelea na wewe na werevu wako 😊🙏🏾Haya endelea na upumbavu wako ,
BASI TuSeme ANALINDWA NA MALAIKA
Wacha tukazie tu mkuu.Mungu ameshapitisha hukumu yake tayari
Wakuu huyu Bingwa kaishia wapi? teh teh teh - wazee wa madagascaralikuwa anapinga UKANYABOYA wa Magufuli ambao KABUDI kaudhibitishaView attachment 2504748
Walichonanishwa kwa kutumia maneno haya!"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa tunafanyaje, hawastahili kuishi."
Angeweza kushtakiwa kwa vitendo vyake kama Magufuli na siyo Rais. Kuna avenue ya kumshtakiAjabu hata kama Magufuli angeendelea kuwa hai mpaka leo, astaafu urais, na baada ya hapo, bado asingeshtakiwa popote kwa katiba hii tuliyonayo.
Ndiyo ukubali kuwa nchi Iko salama mikononi mwa Rais Samia. Hakuna DHULUMA na uhuru wa maoni ni ruksaKweli maisha yanaenda kasi, leo hii clouds wanamuhoji Lissu? Kabisaaa yaani?
Kwahiyo wewe unafkiri wale waliotelekeza tukio hilo ni watu tu wa hovyohovyo au vijana wakuni waliokolea ujinga, bangi na pombe vichwani mwao?! Wewe hata ukiwajua unaweza kuwahukumu?! Wao ndo wanajua hata usalama wa maisha yako nchini kwa taarifa yako kama hujui... na wanayajua mengi ambayo huyajui na ukiyajua utabaki mdomo wazi kwenye dimbwi la mawazo.
Kwani wakati ule wewe ulikuwa mdogo wa kushindwa kuelewa kinachoendelea au kuzungumzwa?Duh
Kwani Yeye Tundu Lisu alikuwa anapinga nchi?
Herding behavior is an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of fearalikuwa anapinga UKANYABOYA wa Magufuli ambao KABUDI kaudhibitishaView attachment 2504748
JPM ni suspect no.1 ila sasa ameshafariki, kumsafisha katika hili labda serikali iamue kwa dhati kumprove wrong TL.Habari Jf the home of great thinkers,
Nimekaa niwaza sana kufuatia maelezo aliyotoa Tundi lissu katika Mahojiano na clouds kwamba statement hii ilifanya ajue ni nani walihusika kushambuliwa kwake .
"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa tunafanyaje, hawastahili kuishi."
Je, hii statement inatosha kuwa ushahidi tosha? Je, wabaya wengine wa Tundu Lissu hawakuweza chukua faida ya hii Statement na kumshambulia?
Je, maelezo yake yana athiri kivyovyote vile uchunguzu wa kushambuliwa kwake?