Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Huwa nafurahishwa Sana na ujasiri wake huyu jamaa!!

Pia najiuliza ina Maana chama changu ccm kipindi kile kilikosa mbwatukaji tu wa kipropaganda ku spin ubwatukaji wa Lisu!!?

YAANI hata KICHAA au chizi fresh wa kimchongo wa kusema lisu ni HIVI au vile apuuzwe!!?

Ndani wanachama woote sisi tulishindwa kupata mbwatukaji mmoja tu ambae lisu akiitisha press na yeye anaitisha press anabwatuka kama yeye!!?

Kama hakukuwepo walioshauri hilo baass hawakumsaidia Mheshimiwa wakamsusa aamue mwenyewe tu hata kama anakosea au kupatia!!

Mimi BADO naamini tulipaswa KUFANYA KITU Zaidi ya kile kilichotokea!!!
 
Ni watu wa hovyo na wahalifu waliotekeleza kitendo hicho.
Acha kujitoa akili na nakwambia siku zao zinahesabiwa
Huna ulijualo ndugu yangu na POLE SANA!

Kwahiyo Rais hulindwa na wahalifu?! Na wale wanaokaa nyuma yake ni wahalifu?! Mnaongea mkiwa hakuna mlijualo.
 
Haya endelea na upumbavu wako ,
BASI TuSeme ANALINDWA NA MALAIKA
Ahsante mwerevu... endelea na wewe na werevu wako 😊🙏🏾

Mwenye akili na mwerevu kama wewe ataelewa nazungumzia nini MPUMBAVU mimi.
 
Ajabu hata kama Magufuli angeendelea kuwa hai mpaka leo, astaafu urais, na baada ya hapo, bado asingeshtakiwa popote kwa katiba hii tuliyonayo.
Angeweza kushtakiwa kwa vitendo vyake kama Magufuli na siyo Rais. Kuna avenue ya kumshtaki
 
Habari Jf the home of great thinkers,

Nimekaa niwaza sana kufuatia maelezo aliyotoa Tundi lissu katika Mahojiano na clouds kwamba statement hii ilifanya ajue ni nani walihusika kushambuliwa kwake .

"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa tunafanyaje, hawastahili kuishi."

Je, hii statement inatosha kuwa ushahidi tosha? Je, wabaya wengine wa Tundu Lissu hawakuweza chukua faida ya hii Statement na kumshambulia?

Je, maelezo yake yana athiri kivyovyote vile uchunguzu wa kushambuliwa kwake?
 
Ilikuwa ni ushauri wa Makonda na Richard Musalika Makungu aliyekuwa Deputy DG operation. Baada ya hapo akapelekwa kuwa RAS Tabora
 
Kwahiyo wewe unafkiri wale waliotelekeza tukio hilo ni watu tu wa hovyohovyo au vijana wakuni waliokolea ujinga, bangi na pombe vichwani mwao?! Wewe hata ukiwajua unaweza kuwahukumu?! Wao ndo wanajua hata usalama wa maisha yako nchini kwa taarifa yako kama hujui... na wanayajua mengi ambayo huyajui na ukiyajua utabaki mdomo wazi kwenye dimbwi la mawazo.

Ninakazia:

"Wasaliti ni wale waliokua wanaiba hela za watu kwa mtindo wa plea bargain."

Cc; Waterloo
 
Habari Jf the home of great thinkers,

Nimekaa niwaza sana kufuatia maelezo aliyotoa Tundi lissu katika Mahojiano na clouds kwamba statement hii ilifanya ajue ni nani walihusika kushambuliwa kwake .

"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa tunafanyaje, hawastahili kuishi."

Je, hii statement inatosha kuwa ushahidi tosha? Je, wabaya wengine wa Tundu Lissu hawakuweza chukua faida ya hii Statement na kumshambulia?

Je, maelezo yake yana athiri kivyovyote vile uchunguzu wa kushambuliwa kwake?
JPM ni suspect no.1 ila sasa ameshafariki, kumsafisha katika hili labda serikali iamue kwa dhati kumprove wrong TL.
 
Back
Top Bottom