Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Tunazungumzia jaribio la dikteta Magufuli la kutaka kumwua Lisu. Hayo mengine, kama una hoja, anzisha mada yako.
Ingekuwa kweli angepigwa Risasi za mguu?

Msiwe Matutusa uliwahi kuiona clip ya yule mwandishi pale Nyororo?
 
Utaelezwa mpaka lini ili akili yako ielewe?
Kwa akili za kishamba za yule jamaa kila aliyekuwa anapinga hoja zake za kijinga alikuwa msaliti wa nchi, kwani aliamini yeye ndio Tanzania!
Onesha maelezo ni wapi aloposema yeye ndio nchi?

Lisu anasema alipigwa risasi sababu Magu alisema msaliti hapaswi kuishi!

Je yeye lisu alikuwa msaliti wa nchi?
 
Chadema yenyewe inaongozwa kidikteta

Nyalandu anadai alishinda nafasi ya makamu Mwenyekiti lakini kura zake akapewa Tundu Lisu

Mbowe peke yake aliamua kumleta Lowassa na Kamati kuu yote ikamgwaya

Unaendekeza propaganda za kipuuzi hadi unajichanganya. Kuna siku Nyalandu aliwahi kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti?
 
Onesha maelezo ni wapi aloposema yeye ndio nchi?

Lisu anasema alipigwa risasi sababu Magu alisema msaliti hapaswi kuishi!

Je yeye lisu alikuwa msaliti wa nchi?

Magufuli alikuwa anajiona ndio nchi? Hivyo mtu yoyote aliyekuwa anampinga alikuwa anageuza anapinga nchi?
 
Unaendekeza propaganda za kipuuzi hadi unajichanganya. Kuna siku Nyalandu aliwahi kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti?
Kumbe unajua mlikoiba kura zake dadeki!

Alikampeni nchi nzima akiungwa mkono na mwenyekiti mkaja kumtenda kama Dr Slaa
 
Lema alisema yaweza kuwa inside job ... Hapa ni kuishi kwa mashaka na member wenzio Hadi Mwisho checka ukiwa nao ukiondoka sio wale.
Sio rahisi hivyo.... Siku hiyo hiyo Mbowe angenyongwa na Chadema ingefutiwa usajili. Kama tu walifungwa kwa sababu ya maandamano ndio sembuse mauaji?
 
Jaji au hakimu hutoa hukumu kulingana na mazingira ya tukio,baada ya lile tukio la kishetani lililofanywa shetani na jamaa zake kila mwenye akili timamu anajua nan muhusika wa ule mpango
Judges act on facts, not speculations, learned brother.
 
Dikteta Magufuli alikuwa ni muuaji na anayepinga ni upumbavu wake tu kwani kuna watu hawajulikani walipo hadi leo na serikali iko kimya.

Mungu alifanya kinachostahili kumuondoa mapema kwani angeendelea kubaki madarakani labda angekufa kifo kibaya zaidi huyo dikteta.
 
Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni;

"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa wanafanywaje, hawastahili kuishi."

Ambapo masaa mawili baadae Lissu alishambuliwa Dodoma, akisema bayana kuwa anayemuongelea ni Hayati John Pombe Magufuli, ambapo hata baada ya tukio hilo Rais Magufuli hakuwahi kusema chochote juu ya shambulio hilo.

View attachment 2504783
Saizi Mwendazake anapambana na moto huko 😁😁
 
Dikteta Magufuli alikuwa ni muuaji na anayepinga ni upumbavu wake tu kwani kuna watu hawajulikani walipo hadi leo na serikali iko kimya.

Mungu alifanya kinachostahili kumuondoa mapema kwani angeendelea kubaki madarakani labda angekufa kifo kibaya zaidi huyo dikteta.
Hata wanaomtetea wanajua kuwa yule bwana alikuwa muuaji lakini wanamtetea kwa sababu na wao huenda ni wauaji.
 
Huwa nafurahishwa Sana na ujasiri wake huyu jamaa!!

Pia najiuliza ina Maana chama changu ccm kipindi kile kilikosa mbwatukaji tu wa kipropaganda ku spin ubwatukaji wa Lisu!!?

YAANI hata KICHAA au chizi fresh wa kimchongo wa kusema lisu ni HIVI au vile apuuzwe!!?

Ndani wanachama woote sisi tulishindwa kupata mbwatukaji mmoja tu ambae lisu akiitisha press na yeye anaitisha press anabwatuka kama yeye!!?

Kama hakukuwepo walioshauri hilo baass hawakumsaidia Mheshimiwa wakamsusa aamue mwenyewe tu hata kama anakosea au kupatia!!

Mimi BADO naamini tulipaswa KUFANYA KITU Zaidi ya kile kilichotokea!!!
Mwalimu mzima unatetea ujinga!! Alikuwepo Cyprian Musiba au umesahau? No wonder kwa akili hizi mwalimu utaendelea kutumika kama toilet pepa na sisiem
 
Huyu bwachu awe makini na maneno anayoyaropoka. Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom