Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Genge la wahuni wa mwendazake. Ole sabaya & Co. na wewe ukiwemo.Kina JK au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Genge la wahuni wa mwendazake. Ole sabaya & Co. na wewe ukiwemo.Kina JK au?
Katiba inakataza kushitakiwa kwa makosa aliyoyafanya katika kutekeleza majukumu yake ya urais kikatiba. Katiba na sheria za nchi hazimpi mamlaka ya kuagiza raia auawe hata kama ni msaliti, mpinzani, nk.Ajabu hata kama Magufuli angeendelea kuwa hai mpaka leo, astaafu urais, na baada ya hapo, bado asingeshtakiwa popote kwa katiba hii tuliyonayo.
Ana wazimu tu. Kiongozi gani muoga tangu ajaribiwe kuuliwa anakimbia kivuli chake hadii leo.😆. Mtu muoga kama kunguru lakini ana mdomo kama nini.Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni;
"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa wanafanywaje, hawastahili kuishi."
Ambapo masaa mawili baadae Lissu alishambuliwa Dodoma, akisema bayana kuwa anayemuongelea ni Hayati John Pombe Magufuli, ambapo hata baada ya tukio hilo Rais Magufuli hakuwahi kusema chochote juu ya shambulio hilo.
View attachment 2504783
Shida kipindi kile.. Jiwe alikuwa anasikilizana na machizi kama Bashite....Huwa nafurahishwa Sana na ujasiri wake huyu jamaa!!
Pia najiuliza ina Maana chama changu ccm kipindi kile kilikosa mbwatukaji tu wa kipropaganda ku spin ubwatukaji wa Lisu!!?
YAANI hata KICHAA au chizi fresh wa kimchongo wa kusema lisu ni HIVI au vile apuuzwe!!?
Ndani wanachama woote sisi tulishindwa kupata mbwatukaji mmoja tu ambae lisu akiitisha press na yeye anaitisha press anabwatuka kama yeye!!?
Kama hakukuwepo walioshauri hilo baass hawakumsaidia Mheshimiwa wakamsusa aamue mwenyewe tu hata kama anakosea au kupatia!!
Mimi BADO naamini tulipaswa KUFANYA KITU Zaidi ya kile kilichotokea!!!
Magufuli alikuwa ni TAKATAKA tu na ndiyo maana alikufa siku 120 baada ya kuiba uchaguzi mkuu wa 2020 ambapo alijiandaa kubadili kifungu cha katiba kinachoweka ukomo wa vipindi vya urais kupitia wabunge aliowaweka mwenyeweMbona Jk aliua watu watano kwa bomu kwenye mkutano wa chadema kule soweto arusha na yupo?
Mwangosi je?
Ulimboka?
Au lisu yeye ni nani?
Takataka kabisa
Naam, kauli hiyo peke yake haitoshi; inabidi kuwepo na ushahidi mwingine. Ushahidihuo mwingine ni pamoja na lango la eneo ya makazi ya viongozi kuwa wazi kinyume cha utaratibu; walinzi wote kuondolewa siku ya tukio; camera za cctv kupotea baada ya tukio na baada ya Jeshi la Polisi kukiri kuwa walishazichukua na kuwa zitatumika kwenye upelelezi. Haya yote yanaongezea nguvu ile kauli. Ushahidi wa nyongeza ni matukio baada ya mlengwa kunusurika kifo: matibabu yake, wanachi kukamatwa kwa kumuombea, wananchi kunyang'anywa t-shirts za kuhamasisha maombi, wabunge wa ccm kukatazwa kwenda kumuona hospitalini, kuzuiliwa mishahara, kuvuliwa ubunge, nk. Kabla hata ya uchunguzi wa kitaalam kufanyika, tayari ushahidi tu wa mazingira peke yake ni overwhelming!Habari Jf the home of great thinkers,
Nimekaa niwaza sana kufuatia maelezo aliyotoa Tundi lissu katika Mahojiano na clouds kwamba statement hii ilifanya ajue ni nani walihusika kushambuliwa kwake .
"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa tunafanyaje, hawastahili kuishi."
Je, hii statement inatosha kuwa ushahidi tosha? Je, wabaya wengine wa Tundu Lissu hawakuweza chukua faida ya hii Statement na kumshambulia?
Je, maelezo yake yana athiri kivyovyote vile uchunguzu wa kushambuliwa kwake?
Kwani na yeye alihusika kutoa amri ya kumuua Lisu.Mbona Pole pole alipewa ubalozi badala ya kupelekewa moto??
Wabwatukaji mbona walikuwepo, hawa waliokaa kimya sa hivi (akina Musiba) pamoja na mtandao wote wa book7 mitandaoni.Huwa nafurahishwa Sana na ujasiri wake huyu jamaa!!
Pia najiuliza ina Maana chama changu ccm kipindi kile kilikosa mbwatukaji tu wa kipropaganda ku spin ubwatukaji wa Lisu!!?
YAANI hata KICHAA au chizi fresh wa kimchongo wa kusema lisu ni HIVI au vile apuuzwe!!?
Ndani wanachama woote sisi tulishindwa kupata mbwatukaji mmoja tu ambae lisu akiitisha press na yeye anaitisha press anabwatuka kama yeye!!?
Kama hakukuwepo walioshauri hilo baass hawakumsaidia Mheshimiwa wakamsusa aamue mwenyewe tu hata kama anakosea au kupatia!!
Mimi BADO naamini tulipaswa KUFANYA KITU Zaidi ya kile kilichotokea!!!
Wale sio polisi, ni chawa wa watawala, kazi yao ni kufuata maagizo ya waliowateuaHivi polisi wanangoja nini kuwachukulia hatua waliotekeleza tukio hilo?
Kauli ya dikteta, ndio maana yake.Kwa hiyo unakubaliana nami kuwa Magufuli aliposema anayeenda kinyume na nchi auawe, alimaanisha anayeenda kinyume na yeye Magufuli, auwe.
Sawa mramba asali endelea kuota.Lisu ni old stori hana maajabu
magufuli hili jambo lilimtia mpaka huko alikoKwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni;
"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa wanafanywaje, hawastahili kuishi."
Ambapo masaa mawili baadae Lissu alishambuliwa Dodoma, akisema bayana kuwa anayemuongelea ni Hayati John Pombe Magufuli, ambapo hata baada ya tukio hilo Rais Magufuli hakuwahi kusema chochote juu ya shambulio hilo.
View attachment 2504783
We mtoto wa darasa la ngapi? MSemaji, mwakilishi namba moja wa nchi ni nani?Onesha maelezo ni wapi aloposema yeye ndio nchi?
Lisu anasema alipigwa risasi sababu Magu alisema msaliti hapaswi kuishi!
Je yeye lisu alikuwa msaliti wa nchi?
magufuli asafishikiJPM hakusema lolote kwani hakutaka kuingilia mambo ya ndani ya Chadema
Wale watamanio teuzi, bila shaka tukio lile kuna watu walipata vyeo/teuzi.Shida kipindi kile.. Jiwe alikuwa anasikilizana na machizi kama Bashite....
Yaani Bashite anamshauri tupeleke risasi za moto.. Na watu watajua ni tukio la ujambazi...
Yaani lile tukio la risasi kama una jicho la tatu unaona kabisa ni Jiwe mwenyewe katuma watu kwa kukurupuka
Acha watu waongee kama wewe unavyosifia, uharamia uliofanyika lazima usemwe na historia itahukumu yote sio madaraja tuu, ongezea na wizi wa kura uliofanyika nchi nzima na kuiba viti vya wapinzani kwa kura au kuwanunua kutumia pesa za walipa kodi, usisahau pia walizima internet nchi nzima ili kufanikisha wizi wao wa kura na ukandamizaji wa demokrasia, yapo ya kumsifia pia na yote ndio yanatengeneza legacyAna wazimu tu. Kiongozi gani muoga tangu ajaribiwe kuuliwa anakimbia kivuli chake hadii leo.😆. Mtu muoga kama kunguru lakini ana mdomo kama nini.
Anapomnyoshea jpm kidole huku anadai ni amri ametoa na hana ushahidi ajue hasira kiasi gani anapeleka kwa wale mamilioni ya waliyomuamini magufuli bila mashaka..
Story zake ni kampeni kwa Samia Urais 2025!!!! Hakuna maajabu ya upinzani huo mwakaLisu ni old stori hana maajabu
Oda iko wapiKwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni;
"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa wanafanywaje, hawastahili kuishi."
Ambapo masaa mawili baadae Lissu alishambuliwa Dodoma, akisema bayana kuwa anayemuongelea ni Hayati John Pombe Magufuli, ambapo hata baada ya tukio hilo Rais Magufuli hakuwahi kusema chochote juu ya shambulio hilo.
View attachment 2504783
Kwa hiyo lisu alikuwa msaliti?
Kama ni hivyo basi ilikuwa sahihi kwake kuuliwa