Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Ajabu hata kama Magufuli angeendelea kuwa hai mpaka leo, astaafu urais, na baada ya hapo, bado asingeshtakiwa popote kwa katiba hii tuliyonayo.
Katiba inakataza kushitakiwa kwa makosa aliyoyafanya katika kutekeleza majukumu yake ya urais kikatiba. Katiba na sheria za nchi hazimpi mamlaka ya kuagiza raia auawe hata kama ni msaliti, mpinzani, nk.
 
Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni;

"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa wanafanywaje, hawastahili kuishi."

Ambapo masaa mawili baadae Lissu alishambuliwa Dodoma, akisema bayana kuwa anayemuongelea ni Hayati John Pombe Magufuli, ambapo hata baada ya tukio hilo Rais Magufuli hakuwahi kusema chochote juu ya shambulio hilo.

View attachment 2504783
Ana wazimu tu. Kiongozi gani muoga tangu ajaribiwe kuuliwa anakimbia kivuli chake hadii leo.😆. Mtu muoga kama kunguru lakini ana mdomo kama nini.
Anapomnyoshea jpm kidole huku anadai ni amri ametoa na hana ushahidi ajue hasira kiasi gani anapeleka kwa wale mamilioni ya waliyomuamini magufuli bila mashaka..
 
Huwa nafurahishwa Sana na ujasiri wake huyu jamaa!!

Pia najiuliza ina Maana chama changu ccm kipindi kile kilikosa mbwatukaji tu wa kipropaganda ku spin ubwatukaji wa Lisu!!?

YAANI hata KICHAA au chizi fresh wa kimchongo wa kusema lisu ni HIVI au vile apuuzwe!!?

Ndani wanachama woote sisi tulishindwa kupata mbwatukaji mmoja tu ambae lisu akiitisha press na yeye anaitisha press anabwatuka kama yeye!!?

Kama hakukuwepo walioshauri hilo baass hawakumsaidia Mheshimiwa wakamsusa aamue mwenyewe tu hata kama anakosea au kupatia!!

Mimi BADO naamini tulipaswa KUFANYA KITU Zaidi ya kile kilichotokea!!!
Shida kipindi kile.. Jiwe alikuwa anasikilizana na machizi kama Bashite....
Yaani Bashite anamshauri tupeleke risasi za moto.. Na watu watajua ni tukio la ujambazi...

Yaani lile tukio la risasi kama una jicho la tatu unaona kabisa ni Jiwe mwenyewe katuma watu kwa kukurupuka
 
Mbona Jk aliua watu watano kwa bomu kwenye mkutano wa chadema kule soweto arusha na yupo?

Mwangosi je?

Ulimboka?

Au lisu yeye ni nani?

Takataka kabisa
Magufuli alikuwa ni TAKATAKA tu na ndiyo maana alikufa siku 120 baada ya kuiba uchaguzi mkuu wa 2020 ambapo alijiandaa kubadili kifungu cha katiba kinachoweka ukomo wa vipindi vya urais kupitia wabunge aliowaweka mwenyewe
 
Aliwagiza nani, Wapi, Vipi na Je hao wote walioagizwa wameshakufa ? Kwanini wasitajwe kama wanajulikana na evidences zipo ? Au Mwagizaji pekee ndio kwenye kosa aliyeagizwa ni Sawa ?
 
Habari Jf the home of great thinkers,

Nimekaa niwaza sana kufuatia maelezo aliyotoa Tundi lissu katika Mahojiano na clouds kwamba statement hii ilifanya ajue ni nani walihusika kushambuliwa kwake .

"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa tunafanyaje, hawastahili kuishi."

Je, hii statement inatosha kuwa ushahidi tosha? Je, wabaya wengine wa Tundu Lissu hawakuweza chukua faida ya hii Statement na kumshambulia?

Je, maelezo yake yana athiri kivyovyote vile uchunguzu wa kushambuliwa kwake?
Naam, kauli hiyo peke yake haitoshi; inabidi kuwepo na ushahidi mwingine. Ushahidihuo mwingine ni pamoja na lango la eneo ya makazi ya viongozi kuwa wazi kinyume cha utaratibu; walinzi wote kuondolewa siku ya tukio; camera za cctv kupotea baada ya tukio na baada ya Jeshi la Polisi kukiri kuwa walishazichukua na kuwa zitatumika kwenye upelelezi. Haya yote yanaongezea nguvu ile kauli. Ushahidi wa nyongeza ni matukio baada ya mlengwa kunusurika kifo: matibabu yake, wanachi kukamatwa kwa kumuombea, wananchi kunyang'anywa t-shirts za kuhamasisha maombi, wabunge wa ccm kukatazwa kwenda kumuona hospitalini, kuzuiliwa mishahara, kuvuliwa ubunge, nk. Kabla hata ya uchunguzi wa kitaalam kufanyika, tayari ushahidi tu wa mazingira peke yake ni overwhelming!
 
Huwa nafurahishwa Sana na ujasiri wake huyu jamaa!!

Pia najiuliza ina Maana chama changu ccm kipindi kile kilikosa mbwatukaji tu wa kipropaganda ku spin ubwatukaji wa Lisu!!?

YAANI hata KICHAA au chizi fresh wa kimchongo wa kusema lisu ni HIVI au vile apuuzwe!!?

Ndani wanachama woote sisi tulishindwa kupata mbwatukaji mmoja tu ambae lisu akiitisha press na yeye anaitisha press anabwatuka kama yeye!!?

Kama hakukuwepo walioshauri hilo baass hawakumsaidia Mheshimiwa wakamsusa aamue mwenyewe tu hata kama anakosea au kupatia!!

Mimi BADO naamini tulipaswa KUFANYA KITU Zaidi ya kile kilichotokea!!!
Wabwatukaji mbona walikuwepo, hawa waliokaa kimya sa hivi (akina Musiba) pamoja na mtandao wote wa book7 mitandaoni.
 
Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni;

"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa wanafanywaje, hawastahili kuishi."

Ambapo masaa mawili baadae Lissu alishambuliwa Dodoma, akisema bayana kuwa anayemuongelea ni Hayati John Pombe Magufuli, ambapo hata baada ya tukio hilo Rais Magufuli hakuwahi kusema chochote juu ya shambulio hilo.

View attachment 2504783
magufuli hili jambo lilimtia mpaka huko aliko
 
Onesha maelezo ni wapi aloposema yeye ndio nchi?

Lisu anasema alipigwa risasi sababu Magu alisema msaliti hapaswi kuishi!

Je yeye lisu alikuwa msaliti wa nchi?
We mtoto wa darasa la ngapi? MSemaji, mwakilishi namba moja wa nchi ni nani?
 
Shida kipindi kile.. Jiwe alikuwa anasikilizana na machizi kama Bashite....
Yaani Bashite anamshauri tupeleke risasi za moto.. Na watu watajua ni tukio la ujambazi...

Yaani lile tukio la risasi kama una jicho la tatu unaona kabisa ni Jiwe mwenyewe katuma watu kwa kukurupuka
Wale watamanio teuzi, bila shaka tukio lile kuna watu walipata vyeo/teuzi.
 
Ana wazimu tu. Kiongozi gani muoga tangu ajaribiwe kuuliwa anakimbia kivuli chake hadii leo.😆. Mtu muoga kama kunguru lakini ana mdomo kama nini.
Anapomnyoshea jpm kidole huku anadai ni amri ametoa na hana ushahidi ajue hasira kiasi gani anapeleka kwa wale mamilioni ya waliyomuamini magufuli bila mashaka..
Acha watu waongee kama wewe unavyosifia, uharamia uliofanyika lazima usemwe na historia itahukumu yote sio madaraja tuu, ongezea na wizi wa kura uliofanyika nchi nzima na kuiba viti vya wapinzani kwa kura au kuwanunua kutumia pesa za walipa kodi, usisahau pia walizima internet nchi nzima ili kufanikisha wizi wao wa kura na ukandamizaji wa demokrasia, yapo ya kumsifia pia na yote ndio yanatengeneza legacy
 
Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni;

"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa wanafanywaje, hawastahili kuishi."

Ambapo masaa mawili baadae Lissu alishambuliwa Dodoma, akisema bayana kuwa anayemuongelea ni Hayati John Pombe Magufuli, ambapo hata baada ya tukio hilo Rais Magufuli hakuwahi kusema chochote juu ya shambulio hilo.

View attachment 2504783
Oda iko wapi
 
Kwa hiyo lisu alikuwa msaliti?

Kama ni hivyo basi ilikuwa sahihi kwake kuuliwa

Kipi kipimo cha usaliti?

Unapimwaje? [emoji2369]

Je sheria ina-define vipi usaliti?

Ikithibitika adhabu yake ni nini?

Je sheria imesema auwawe ?

Kwanini asishitakiwe kwenye vyombo vya haki?
 
Back
Top Bottom