Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Mambo kunoga, na pamoja na hayo tunataka u chunguzi yakinifu na chombo huru, sio mtuhumiwa aji chunguze. Kusiwe na kutishana wala kuhamisha magori, kama mstaafu aliyekuwa anang'ang'ania eti mpaka dereva wa Lisu akiludi ndio uchunguzi uanze.