Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

KWANI KATIBA ILIYOPO INA SEMA NINI?.
Tumeona raisi ana mamlaka makubwa kupita uwezo wake.umesikia raisi samia kuna mpinzani kakatazwa kufanya mikutano,utekaji wa wapingaji ?.
Kwa hiyo raisi ndio katiba kabeba yote na yule mwendazake kafanya yote hayo.usitafute mchawi wakati alishakufa na dhambi zake
 
Sijui ni lini watu watafunguka akili waone yanayoendelea.

Ogopa sana mtetezi wa wanyonge kula sahani moja na mijizi ya nchi hii ogopa hiyo kitu. Wenye akili pekee ndo wanaweza kuelewa.
Mtu miaka yooote anatumikaga tu.

Asante jpm kutufungua macho. Upinzani endeleeni kupiga kelele mnaowapigania wao wala bata .
 
Pia rais ni taasisi. Sasa mtu huko atoke anakotoka. Halafu aanze kusema rais ni muuaji. Hiyo inaleta taswira gani kwa wananchi kuhusu taasisi hiyo ya urais? Tundu lisu katukosea watanzania tulio wengi.

..Lissu amerudia tuhuma hizo kwa miaka 5 sasa na taasisi ya Raisi imeshindwa kutoa majibu kupangua tuhuma hizo.

..Nashauri Raisi Ssh aunde TUME YA UCHUNGUZI ili wahusika waliojaribu kumuua Lissu wajulikane na wafikishwe mahakamani.
 
Mpaka wafanye uchunguzi kuondoa sintofahamu.
 
Rais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi

Kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM

Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali

Ni vema Tundu Lisu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika

Mlale Unono!
Bwashee,
Huwezi kubeba junia la uozo ukabaki salama..
Utachafuka na kunuka juu!
 
Back
Top Bottom