Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Litamkost nani? Mama kwakuwa alikuwa VP au?Kazi mnayo. Vumilieni tu. Kosa kubwa lilofanyika ni kumshambulia na kumiss target.hilo kosa litawakost
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Litamkost nani? Mama kwakuwa alikuwa VP au?Kazi mnayo. Vumilieni tu. Kosa kubwa lilofanyika ni kumshambulia na kumiss target.hilo kosa litawakost
Clouds nao wametoka kwenye minyororo ya wakoloni weusi 😅😅😅😅
Kiukweli, msaliti anastahili KUUWAWA hata leo!
Nimeshangaa sana Clouds kuhost Tundu LissuYule bwana alikuwa katuharibia nchi sasa hivi raha sana
😅😅daahSasa je, ukute aliwahi hata kumtisha Samia, hakuwa mtu yule
Nimeshangaa sana Clouds kuhost Tundu Lissu
Pia rais ni taasisi. Sasa mtu huko atoke anakotoka. Halafu aanze kusema rais ni muuaji. Hiyo inaleta taswira gani kwa wananchi kuhusu taasisi hiyo ya urais? Tundu lisu katukosea watanzania tulio wengi.
Nimeshangaa sana Clouds kuhost Tundu Lissu
Matibabu Tena kuweni nahuruma mnahtaji Tena kumshambuliaTundu Lissu sio mzima wa akili. Ni wa kuonea huruma na kupewa matibabu.
Basi tuseme wewe ndio ulitaka kumuua ili isiwe Matusi
Freedom!Kweli maisha yanaenda kasi, leo hii clouds wanamuhoji Lissu? Kabisaaa yaani?
Aisee na wao walikuwa wanatamani sema basi tu..sio tu Clouds wamem-host Lissu, bali wamekwenda nyumbani kwake na kufanya naye mahojiano.
Kama jpm aliweza kuwa rais sidhani kuna mtu anaweza kushindwaNchi ikipata Rais wa aina hii, itakuwa imepata Rais wa hovyo kabisa.
Mpaka wafanye uchunguzi kuondoa sintofahamu...Lissu amerudia tuhuma hizo kwa miaka 5 sasa na taasisi ya Raisi imeshindwa kutoa majibu kupangua tuhuma hizo.
..Nashauri Raisi Ssh aunde TUME YA UCHUNGUZI ili wahusika waliojaribu kumuua Lissu wajulikane na wafikishwe mahakamani.
Bwashee,Rais wa JMT kimsingi ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi
Kumkashifu au kumdhulia jambo Rais wa JMT ni kuidharau CCM
Sera za CCM zinajulikana na ndizo zinazotekelezwa na Serikali
Ni vema Tundu Lisu pamoja na Kituo kilichorusha Uzushi huo vikahojiwa na vyombo husika
Mlale Unono!