Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Ikowaz mwenyeakili anajua aliyeamrisha shambulio... vichaa ndobado wana-debate!! Tujadili future sasa
 
Kama kweli ni yeye aliagiza hangeagiza watu wa namna Ile, ni risasi moja tu, kwani alikuwa tembo ili amiminiwe risasi zote zile? Hakika serikali haihusiki. Naamini ukweli utajulikana na Lissu ataomba msamaha kwa kuchafua jina la JPM.
 
Tujikaze Lissu aseme hadi mwenyewe aone imetosha na kuridhika.

Yeye ndiye alopitia maumivu makubwa sana Na kupasuliwa karibia mwili mzima ! Imagine!

Kadiri anavyoongea inampa ahueni kisaikolojia na kuuponya moyo wake zidi ya uchungu mkubwa Kwa kujiuliza je kosa lake kubwa lilikuwa ni lipi la uzito kiasi gani kiasi cha kustahili adhabu ya kuuawa ?

Ngoja aongee apate relief ya moyo wake.

Ni jambo baya sana alofanyiwa. [emoji24]
 
Jambo baya sana. Kutaka kuuliwa ni jambo baya mbinguni na duniani
 
Yako mengi wanayoongelea na huyo Mwendakuzimu ni one of the topic, hakuna mwenye kinga dhidi ya kuongelewa. Muovu ataongelewa kwa maovu yake na mwema ataongelewa kwa mema yake, this includes Mwendakuzimu.
Nyinyi hapa jf ni idadi ndogo sana hebu njoo mtaani muanze kumsema vibaya muone.
 
We ndiyo unachekesha zaidi, kwahiyo vile viapo vyote wanavyoapa kulinda katiba huwa ni usanii? Nilidhani mtu akiapa hakuna tishio ambalo litazidi utii wa viapo...Acheni kudanganya binadamu wenzenu, basi tuseme incase of anything nchi yetu haina walinzi...Maana kuwa mlinzi ni pamoja na kuwa tayari kwa lolote ili nchi na raia wawe salama...Acheni hizo cheap politics.....

Kesho ikija episode nyingine tutaambiwa story hizi hizi...Time is a good dawa!
Inaonekana wewe labda hauishi nchi hii. Kwa hiyo unacheka kwamba Magu hakuvunja katiba au ?

Kwamba akiapa Ndiyo unaamini atafuata kiapo ? Kweli wewe siyo mtanazania.
 
Alipo vunja hao wengine walioapa kuilinda walifanya nini? Walimsaidia kuvunja?
 
Kama Mungu hapanga mtu afe hutomuua kamwe badala yake utaondoka wewe utamwacha yeye
 
Kwa hiyo baada ya kufa ndio akalipwa aje aseme ujinga ujinga huyu mtu namchukia anakubali kutumika kiajabu Ila ipo siku ukweli utajulikana
 
akili ya kisukumagang bwana..!! Kwahiyo Magufuli hakutaka kumuua Tundu Lissu? Ndio maana mauaji ya albinos na Vikongwe hayaishi huko Usukumani!
Tuambie lini ulisikia Albino kauawa wakati wa Magufuli?

Huku usukumani hakuna mauji tena ya vikongwe endelea kujifariji!
 
A

Aliyeshambuliwa hajafungua kesi dhidi ya waliomshambulia na anawajua. Kwanini?

..Jaribio la mauaji ni kosa la jinai.

..Serikali pekee ndiyo yenye mamlaka ya kisheria, kuchunguza, kukamata, na kufungua kesi, kunapotokea jinai.

..Katika mkasa uliomtokea, Lissu haruhusiwi na sheria zetu kufungua kesi ktk suala la kijinai hata kama anawajua waliomshambulia.
 
Tujikaze Lissu aseme hadi mwenyewe aone imetosha na kuridhika.

Yeye ndiye alopitia maumivu makubwa sana Na kupasuliwa karibia mwili mzima ! Imagine!

Kadiri anavyoongea inampa ahueni kisaikolojia na kuuponya moyo wake zidi ya uchungu mkubwa Kwa kujiuliza je kosa lake kubwa lilikuwa ni lipi la uzito kiasi gani kiasi cha kustahili adhabu ya kuuawa ?

Ngoja aongee apate relief ya moyo wake.

Ni jambo baya sana alofanyiwa. [emoji24]
Kuishi kwa Lissu ni miujiza.
 
Kwani dikteta huwa anawafanya nini wanaopinga anachok
Alipo vunja hao wengine walioapa kuilinda walifanya nini? Walimsaidia kuvunja?

Nashauri haya ya kutaja majina ya mtu kwa hisia tuu na mtu huyo hawezi kujitetea, sio kumtendea haki marehemu, ila kama ana ushahidi usiotia shaka, akaripoti kwenye vyombo vinavyohusika, ili uchunguzi uanze!.
P
Pascal ni kweli kwamba utaratibu wa mashtaka kwa mtu aliyepigwa risasi hadharani kama Lissu Ndio huo unaousema kama jinai?
 
Utaratibu ni kunapotokea jinai yoyote, jeshi la polisi kuchunguza, na hatua ya kwanza ni polisi kufika eneo la tukio na kutafùta kitu kinachoitwa lead ili uchunguzi ndio uanzie hapo.

Kwenye lile tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu, polisi walifika hawakukuta shuhuda yoyote aliyeshuhudia tukio lile, na hakuna hata mtu mmoja aliyesikia mlio wa risasi kwasababu bunduki zile zilikuwa na silencer!. Pia tukio lote lilirekodiwa kwenye CCTV cameras, baada ya tukio zile CCTV cameras zika vanished into thin air!.

Hivyo hakuna uchunguzi wowote wa tukio hili uliofanyika kutokana na kukosekana lead ya pa kuanzia kufuatia mashahidi pekee wawili tuu na wote walikuwa nje ya nchi!.

Sasa shuhuda mmoja amerejea nchini, hivyo anapaswa kwenda kuripoti polisi ili sasa uchunguzi ndio uanze.
P
 
Walinzi waliokuwa au waliopaswa kuwa getini siku hiyo hawawezi kuwa lead ya uchunguzi?

Back
Top Bottom