kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Ikowaz mwenyeakili anajua aliyeamrisha shambulio... vichaa ndobado wana-debate!! Tujadili future sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikowaz mwenyeakili anajua aliyeamrisha shambulio... vichaa ndobado wana-debate!! Tujadili future sasa
Jpm alichaguliwa na nani? Labda na Tume ya uchaguzi lakini hakuchaguliwa na wananchiRais wa nchi kwa kuchaguliwa na sio kwa mapinduzi
Jambo baya sana. Kutaka kuuliwa ni jambo baya mbinguni na dunianiTujikaze Lissu aseme hadi mwenyewe aone imetosha na kuridhika.
Yeye ndiye alopitia maumivu makubwa sana Na kupasuliwa karibia mwili mzima ! Imagine!
Kadiri anavyoongea inampa ahueni kisaikolojia na kuuponya moyo wake zidi ya uchungu mkubwa Kwa kujiuliza je kosa lake kubwa lilikuwa ni lipi la uzito kiasi gani kiasi cha kustahili adhabu ya kuuawa ?
Ngoja aongee apate relief ya moyo wake.
Ni jambo baya sana alofanyiwa. [emoji24]
Nyinyi hapa jf ni idadi ndogo sana hebu njoo mtaani muanze kumsema vibaya muone.Yako mengi wanayoongelea na huyo Mwendakuzimu ni one of the topic, hakuna mwenye kinga dhidi ya kuongelewa. Muovu ataongelewa kwa maovu yake na mwema ataongelewa kwa mema yake, this includes Mwendakuzimu.
Inaonekana wewe labda hauishi nchi hii. Kwa hiyo unacheka kwamba Magu hakuvunja katiba au ?We ndiyo unachekesha zaidi, kwahiyo vile viapo vyote wanavyoapa kulinda katiba huwa ni usanii? Nilidhani mtu akiapa hakuna tishio ambalo litazidi utii wa viapo...Acheni kudanganya binadamu wenzenu, basi tuseme incase of anything nchi yetu haina walinzi...Maana kuwa mlinzi ni pamoja na kuwa tayari kwa lolote ili nchi na raia wawe salama...Acheni hizo cheap politics.....
Kesho ikija episode nyingine tutaambiwa story hizi hizi...Time is a good dawa!
Alipo vunja hao wengine walioapa kuilinda walifanya nini? Walimsaidia kuvunja?Inaonekana wewe labda hauishi nchi hii. Kwa hiyo unacheka kwamba Magu hakuvunja katiba au ?
Kwamba akiapa Ndiyo unaamini atafuata kiapo ? Kweli wewe siyo mtanazania.
Tuambie lini ulisikia Albino kauawa wakati wa Magufuli?akili ya kisukumagang bwana..!! Kwahiyo Magufuli hakutaka kumuua Tundu Lissu? Ndio maana mauaji ya albinos na Vikongwe hayaishi huko Usukumani!
A
Aliyeshambuliwa hajafungua kesi dhidi ya waliomshambulia na anawajua. Kwanini?
Hakuwa anapinga nchi alikuwa anapinga utaratibu ule wa kijinga. Ndo mana hata prof kabudi baadae alisema zile kamati zilikiwa kanyaboyaDuh
Kwani Yeye Tundu Lisu alikuwa anapinga nchi?
Nashauri haya ya kutaja majina ya mtu kwa hisia tuu na mtu huyo hawezi kujitetea, sio kumtendea haki marehemu, ila kama ana ushahidi usiotia shaka, akaripoti kwenye vyombo vinavyohusika, ili uchunguzi uanze!.
Kuishi kwa Lissu ni miujiza.Tujikaze Lissu aseme hadi mwenyewe aone imetosha na kuridhika.
Yeye ndiye alopitia maumivu makubwa sana Na kupasuliwa karibia mwili mzima ! Imagine!
Kadiri anavyoongea inampa ahueni kisaikolojia na kuuponya moyo wake zidi ya uchungu mkubwa Kwa kujiuliza je kosa lake kubwa lilikuwa ni lipi la uzito kiasi gani kiasi cha kustahili adhabu ya kuuawa ?
Ngoja aongee apate relief ya moyo wake.
Ni jambo baya sana alofanyiwa. [emoji24]
Alipo vunja hao wengine walioapa kuilinda walifanya nini? Walimsaidia kuvunja?
Pascal ni kweli kwamba utaratibu wa mashtaka kwa mtu aliyepigwa risasi hadharani kama Lissu Ndio huo unaousema kama jinai?Nashauri haya ya kutaja majina ya mtu kwa hisia tuu na mtu huyo hawezi kujitetea, sio kumtendea haki marehemu, ila kama ana ushahidi usiotia shaka, akaripoti kwenye vyombo vinavyohusika, ili uchunguzi uanze!.
P
Utaratibu ni kunapotokea jinai yoyote, jeshi la polisi kuchunguza, na hatua ya kwanza ni polisi kufika eneo la tukio na kutafùta kitu kinachoitwa lead ili uchunguzi ndio uanzie hapo.Pascal ni kweli kwamba utaratibu wa mashtaka kwa mtu aliyepigwa risasi hadharani kama Lissu Ndio huo unaousema kama jinai?
Utaratibu ni kunapotokea jinai yoyote, jeshi la polisi kuchunguza, na hatua ya kwanza ni polisi kufika eneo la tukio na kutafùta kitu kinachoitwa lead ili uchunguzi ndio uanzie hapo.
Kwenye lile tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu, polisi walifika hawakukuta shuhuda yoyote aliyeshuhudia tukio lile, na hakuna hata mtu mmoja aliyesikia mlio wa risasi kwasababu bunduki zile zilikuwa na silencer!. Pia tukio lote lilirekodiwa kwenye CCTV cameras, baada ya tukio zile CCTV cameras zika vanished into thin air!.
Hivyo hakuna uchunguzi wowote wa tukio hili uliofanyika kutokana na kukosekana lead ya pa kuanzia kufuatia mashahidi pekee wawili tuu na wote walikuwa nje ya nchi!.
Sasa shuhuda mmoja amerejea nchini, hivyo anapaswa kwenda kuripoti polisi ili sasa uchunguzi ndio uanze.
P