Uchaguzi 2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

Huyu mzee ana sifa zote za kutuongoza
 
Hata shetani ukimsikiliza anaweza kukuaminisha kuwa atakupeleka mbinguni
 
Serikali ya majimbo ni more costly!?
Umedanganywa na mfugaji wako nawe umekubali.
"Ndugu zangu,Tanzania ni tajiri sana". - JPM. Ina maana JPM akitoka utajiri wa Tanzania unaisha!?
 

watanzani washamba sana huwezi kufanya mdahalo kati ya mgombea na waandishi wa habari. Hii ilikuwa kuongea na waandishi wa habari na sio mdahalo!
 
..bunge limejaa wana-ccm ndiyo maana linatunga sheria zinazokandamiza wananchi.

..tukipata bunge ambalo hakuna chama chenye super-majority, sheria zitakazotungwa na bunge zitakuwa na nafuu kuliko sasa hivi.
Hakuna nchi serikali inaweza ongoza bila ya majority kwenye sehemu za kupitisha sheria.

Ikitokea raisi alieshinda kuunda serikali chama chake hakina wabunge wakutosha kwenye uchaguzi either kuna re-election or the most common approach ni kuungana na vyama vingine vyenye milengo iliyokaribu ili kuunda serikali (there are usually compromises on what they won’t support and demand position in ministerial posts).

You simply need a quorum to pass laws, vinginevyo kazi yako itakuwa ngumu sana and in any normal circumstance vyama vya siasa vina whips wa kuwaweka wabunge wao kwenye mstari.

Inapotokea serikali ina jambo lake kila mmbunge anatakiwa kupiga kura ya ndio kwenye agenda muhimu za serikali either unaafiki agenda or not na usipo tii ‘whip vote’ elewa uchaguzi unaofuata wanakuengua kama mgombea wao ipo ivyo duniani kote with exception to US politics.
 
Serikali ya majimbo ni more costly!?
Umedanganywa na mfugaji wako nawe umekubali.
"Ndugu zangu,Tanzania ni tajiri sana". - JPM. Ina maana JPM akitoka utajiri wa Tanzania unaisha!?
Serikali kwa sasa inatumia almost 3/7 ya mapato yake from monthly tax revenue kwenye mishahara pekee, hivi unafikiria majimbo mengi yatajiendeshaje ukitoa Dar na Arusha kwa sasa?

Hiyo migodi yenyewe inatengeneza turnover ya $800 mpaka $1.2b, ujatoa operation cost, national taxes wala share ya mwekezaji; how exactly hiyo hela unayopata itaendesha Geita?

Akili za wafuasi wa Lissu zinawatosha wenyewe.
 
Ukimsikiliza Lissu siku moja tu ni level ya form Six
 
Sawa lakini sio hawa vilaza wa ccm aisee.
 
Mzee si mko uchumi wa kati. Maafisa wakuu wa ccm wanamilila mabilioni ya pesa. Achana na hizo hesabu uvhwara. Mpaka sasa tumepigwa 1.4Trilion zilizoibwa na ccm ili kununulia wapinzani na kufanyia kampeni. Hizo ni pesa au mawe! Kuwa mwana ccm lazima uwe na gunia la chawa kichwani
 
Sawa lakini sio hawa vilaza wa ccm aisee.
You are not serious, huko kwa wenzetu kuna wabunge wameacha mishahara ya mamillioni kutoka private sector kisa wanaamini siasa kwao wito, kuna wana jeshi washaongoza brigades (hivi unajua marines wanavyotudharau raia kutokana na mafunzo yao waliyopitia). Sio ivyo tu unakuta huyo mtu alishakuwa senior manager kwenye ‘hedge fund’ na mshahara mkubwa tu kushinda wa mmbunge baada ya jeshi.

Kuna prominent lawyers ambao washafikia level za kufikiriwa kuwa judges wa mahakama za juu, washatunikiwa tuzo za juu za ubobezi kwenye kazi zao mfano kiongozi wa Labour (Keir Starmer, google huyo mtu kazi zake kabla ya siasa) huko UK huyo jamaa kapewa tuzo na queen nwenyewe as a top national lawyer hadi upewe hiyo tuzo ushaburuza wanasheria kibao mahakamani (na kama angekuwa ana practice Law mpaka leo wateja wake ni millionaires, mshahara wake ungekuwa in milions kushinda wambunge) hila alikuwa back bencher tu bungeni chini ya Corbin na sio kwamba atawaburuza wabunge wa serikali on legal matters (achilia mbali AG wa serikali bungeni) kwenye back benchers tu kuna watu of the same calibre upande wa pili wa kujibizana nae, kuna economist waliokuwa kwenye mashirika makubwa duniani with senior strategic posts earning million in salaries + bonuses, kuna scholars wenye heshima zao as field experts, kuna wanasiasa ambao washakitumikia chama na kushika nyadhifa za juu wakati viongozi wa leo pengine wengi wao walikuwa bado wapo shule.

Hila linapofika swala la ‘whipped vote’ hakuna mzaa utapiga kura kichama kutokana na agenda za Kiongozi upende usipende.

Boris Johnson kamtosa ‘Ken Clarke’ kisa akupiga kura ya ndio kwenye proposal zake za BREXIT. Sasa google wakati huyo mtu ni kiongozi wa juu serikalini Boris Johnson ata chuo ajamaliza.

Siasa zetu bado sana, tukipata mtu kama Magu ni wa kumlinda tu as far as national interest agenda goes, watu wanapinga tu mambo wasiyoyaelewa.
 
Hearsay
 
1) Tanzanite
2) Amani
3) Ardhi kubwa yenye Futuna
4) Hunting Blocks
5) Kahawa Bora kabisa
6) Samaki wa maji baridi
7) Reserve kubwa ya Madini, mafuta na gesi
8) mawese na migebuka
9) Bandari za kutosha
10) zabibu Bora Kwa ajili ya mvinyo.

Hivyo vyote vinahitaji masoko na vinapatikana nchi nyingine isipokuwa Tanzanite peke yake.
 
Hii miji andishi ya habari ni mijisenge kweli. Akili zimeganda kama za mwenzao yupo humu jf Pascal Mayalla mchumia tumbo aka njaa. Haina uhuru wa habari lkn jinsi bongo zimetindidia ffs. Kwakua bongo zimelala bado zikifika kwa sanduku la kura haijui ifanye nini. Full kurogwa as if kwenye kile kisehemu cha kupigia kura kuna kamera wataonekana.
 
Mzee umelipuka??
 
N kweli kabisa hadi ving'amuzi vinasahulika maana hababari zinafichwa bora utumie mb utamsikia TAL
 
Ni ubabaishaji kwa kwenda mbele kutoka kwa mgombea wa chama cha Mbowe...atoe 'model of operation' itakayodhibitisha kuwa wazo lake hili linatekelezeka bila kuathiri maeneo mengine!!
Nimekuelewa mkuu, kule visiwa vya Cyprus kuna mtu alishusha bei ya sukari ghafla na wapiga vigeregere wakashangilia cha ajabu ile bei aliyoitaja haikutumika na hakuna alichofanya, namshauri lisu hivi vitu si vya kukurupuka
 
Sipati picha huyu Lisu after 28/10 akaangukia kichogo sijui atabaki Bongo kuhangaikia Makesi yake ama atatimkia Kwa mabeberu zake 😂😂😂😂😂
Lisu amesema atakubali bila kinyongo matokeo ya kushindwa lakini ashindwe kihalali sio gumashi kama anazofanyiwa seif kule visiwani
 
Hizi ulizoandika ni akili za Chato na Koromije...
 
Hivi unajua vipo viwanda vingi sana China vinavyomilikiwa na Nchi za Ulaya na Marekeni?
Makampuni ya Ulaya na Marekani yamekwenda kuwekeza China...lkn pia Makampuni mengi ya China yameenea dunia nzima,hapa Tanzania yako kwa mamia. Na bidhaa zikitengenezwa na kuuzwa masoko mengine nje ya nchi inaonekana ni kiwanda cha wa-Tanzania.

Hii ndio dhana hiyo unayoikataa wewe au unadhani kujitegemea ni kujifungia na rasilimali zako ndani?
 
Sasa wewe hutaki creation of more employment? Wa wapi wewe???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…