TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kweli kuchaji kodi kubwa hakumaanishi kuwa ndipo utakusanya kodi nyingi kwani wachangia kodi wanaweza kuwaza kukwepa kodi ama kuacha biashara itakayowafanya kulipa kodi.....haina maana ndo kukusanya kodi
Awamu hii ya kodi TRA inatumika kunyanganya watu pesa zao ili magufuli atimize ndoto yake ya kutufanya tuishi kama mashetaniKweli kuchaji kodi kubwa hakumaanishi kuwa ndipo utakusanya kodi nyingi kwani wachangia kodi wanaweza kuwaza kukwepa kodi ama kuacha biashara itakayowafanya kulipa kodi.
Hata hivyo, kwa mazingira ya kwetu na viongozi tulioamini kusimamia masuala ya kodi, wanafuata taratibu zote ikiwemo kutumia model inayojumuisha ' independent parameters/variables' zote zinazowezesha upatikanaji wa haki wa 'dependent variable' yaani kodi. Hautumiki utaratibu wa 'guessing ' kwenye ku-set kodi. Mfano mzuri ni ile 'calculator ya TRA' ya kuingiza magari ama vipuri nchi. Ni mtindo huo huo unatumika kwa kodi nyingine!
Mkuu, nakuomba usifuate mkumbo, kwa sababu ukiulizwa ushahidi usiotiliwa mashaka juu ya tuhuma zako hizi nadhani itakuchukua muda kutengeneza hata 'fake evidence'!Awamu hii ya kodi TRA inatumika ...
Kwani magufuli anavyotuhumu wengine kuwa wametumwa na mabeberu anaushahidi huo?Mkuu, nakuomba usifuate mkumbo, kwa sababu ukiulizwa ushahidi usiotiliwa mashaka juu ya tuhuma zako hizi nadhani itakuchukua muda kutengeneza hata 'fake evidence'!
Tuendelee na mjadala Mkuu.
Na wewe usituzingue bwana, watu tumesha miss kufokewa sasa hivi.Mapya ya Lisu
Je Nani anaua wavuvi na kuwazamisha Ziwa Victoria?
Pili: Kushusha Bei ya Vifaa vya ujenzi ili Watanzania wajenge Nyumba Bora.
Kupunguza Kodi kwenye cement, nondo, mabati ili ziwe Bei rahisi
...wa mwisho ni yule mzamivu feki wa ntwara kwenye korosho zenye magandaTundu is the most intelligent candidate, anayefuata ni Rungwe, then Lipumba...wa mwisho ni naniliu
Lissu anachotakiwa sasa hivi ni kuziomba kura za wanaccm.Lisu atagusa maisha ya kila Mtanzania, hata Wana CCM watampa Kura.
Bei ya Sukari
Kufanya Vifaa vya ujenzi kuwa nafuu
Na kutenda haki. Lisu alipokuwa Geita, aligusia Wavuvi kuuawa na TaNapa na kutupwa ziwani.
kwani CCM wa huko kwenu wanaelewa ukiwaletea habari ya ugumu wa maisha?Awakumbushe ugumu wa maisha wanaoupitia kwa sababu ya Magufuli.
Wengi kwa chini chini wanalalamika sana tukwani CCM wa huko kwenu wanaelewa ukiwaletea habari ya ugumu wa maisha?
wa huku kwetu zanzibar huwa hawaelewi
kama ni hivyo basi lissu azidishe elimu zaidi kwa tabaka la chini kwani wao ndio utajiri wa CCMWengi kwa chini chini wanalalamika sana tu
Ni kweli mkuu hali siyo nzuri kwa kila mmoja wetu.kama ni hivyo basi lissu azidishe elimu zaidi kwa tabaka la chini kwani wao ndio utajiri wa CCM