TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kweli kuchaji kodi kubwa hakumaanishi kuwa ndipo utakusanya kodi nyingi kwani wachangia kodi wanaweza kuwaza kukwepa kodi ama kuacha biashara itakayowafanya kulipa kodi.....haina maana ndo kukusanya kodi
Hata hivyo, kwa mazingira ya kwetu na viongozi tulioamini kusimamia masuala ya kodi, wanafuata taratibu zote ikiwemo kutumia model inayojumuisha ' independent parameters/variables' zote zinazowezesha upatikanaji wa haki wa 'dependent variable' yaani kodi. Hautumiki utaratibu wa 'guessing ' kwenye ku-set kodi. Mfano mzuri ni ile 'calculator ya TRA' ya kuingiza magari ama vipuri nchi. Ni mtindo huo huo unatumika kwa kodi nyingine!