Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Basi wewe ndiyo inawezekana Tanzania nzima upo peke yako usiyejua kuwa viongozi wa CCM ni kawaida Yao kufanya ujinga.Hakuna kiongozi wa,CCM anayefanya ujinga huo
Chama gani Sasa kinaweza kuongoza nchi hii!?Watu wanao shabikia chadema,Wana weakness kwenye brain,hv cdm kweli utaweza ongoza nchi hii
Korokoroni ni mahali pa kuwekwa wahalifu, SI mahali pa kuwekwa wenye haki.
Tundu Lissu amebeba agenda ya watanzania, anabeba agenda yetuu, na ndio sababu ya kupata uungwaji mkono Kila arndako.
Huu ni muda ambao, sauti za haki hazitazuilika, yataongea mawe na miti msiyodhani inaweza kupiga KELELE kudai haki ya kupata sanduku la kura lisilonajisiwa.
Hoja ijibiwe kwa hoja, polisi na majeshi wakae pale kulinda amani.
Free our Prophet Tundu lissu.
Sahihi kabisaAnaedhani anaweza kuzuia uchaguzi angezuia kwanza kukamatwa kwa Lissu.
Ujinga Sasa huu. Mbona hakuna mahusiano!Sahihi kabisa
Sasa Lisu SI jambazi wa kkusumbuliwa Kila mara,Hawata Mfanya chochote Mkuu.
Mungu ninayeamini, Bwana wa Majeshi Mungu mwenye Nguvu atawatawanya na watakimbiana.
Mpakwa Mafuta wa Bwana huyu TL.
Na Mungu wa Israel Bwana Aliyehai atamshindia.
Ameni.
Wanachadema hamkuweza kuzuia Lisu asikamatwe
Wanampotezea muda,They are just waiting their time.
Ilikuwa live wakati anakamatwa kiongozi labda kama hauishi Tanzania hivyo hawajui polisi wa TanzaniaMimi naami polisi sio wajinga kiasi hiki wamkamate bila kosa, tusikimbilie tu kutukana na kulaumu , tuwe wenye kujisahihisha yanapotokea makosa upande wetu
Wewe jinga sana!anapaswa kufuata sheria mikutano mwisho saa 12, hii saa moja anafanya nini? akifa mtu tunampeleka ICC
Kosa ni Lisu kuwa na hoja ngumu sizizona majibu mbele ya akili ndogo CCM,Mimi naami polisi sio wajinga kiasi hiki wamkamate bila kosa, tusikimbilie tu kutukana na kulaumu , tuwe wenye kujisahihisha yanapotokea makosa upande wetu
Mungu yuko upande wa Tundu Lissu hawamuwezi.anaombewa mpaka na watoto wadogo.Na liko kusudi Mungu ameliweka kwa Lissu kushindana nae ni kushindana na aliekuumba.Atatoka tena kwa kishindoHawata Mfanya chochote Mkuu.
Mungu ninayeamini, Bwana wa Majeshi Mungu mwenye Nguvu atawatawanya na watakimbiana.
Mpakwa Mafuta wa Bwana huyu TL.
Na Mungu wa Israel Bwana Aliyehai atamshindia.
Ameni.