Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
HIzo hospital zimejengwa na serekali ya CCM,Halafu wanasema hakujafanyika kitu.Piga kabisa,akili itàwaingiaHospital ya Wilaya na Vituo vya Afya vimepokea Wanawake, watoto, Wazee walojeruhiwa ,huku wengine hali zao zikiwa MBAYA.
View: https://youtu.be/_cvN0AYLofs?si=LW7iGmWMm0R_LTMg
Uzuri kila mmoja wetu atalamba futi saba bila kujali cheo wala nini yani , apo Ukuu wa Mungu ulipoTandika kabisa,atie akili.
Unajua wajibu wa Serikali?HIzo hospital zimejengwa na serekali ya CCM,Halafu wanasema hakujafanyika kitu.Piga kabisa,akili itàwaingia
Zilijengwa Kwa Kodi za wananchi sio pesa ya mtu!HIzo hospital zimejengwa na serekali ya CCM,Halafu wanasema hakujafanyika kitu.Piga kabisa,akili itàwaingia
Ni kodi ambazo wananchi hulipa kwahiyo kama chuki zako ni hizo jenga zako kutoka mfukoni mwako halafu utazuia watu wasije. Ila mlipa kodi lazima aende. Kwani bila ya hawa policcm ccm inaweza kuishi?HIzo hospital zimejengwa na serekali ya CCM,Halafu wanasema hakujafanyika kitu.Piga kabisa,akili itàwaingia
Hivi ni Serikali ya CCM au Serikali ya wananchi wa Tanzania? Na hizo hospitali zimejengwa kwa kodi ya wanaCCM au kodi ya wananchi wa Tanzania?HIzo hospital zimejengwa na serekali ya CCM,Halafu wanasema hakujafanyika kitu.Piga kabisa,akili itàwaingia
huenda wahalifu walikua wengi zaidi ya wananchi,Hospital ya Wilaya na Vituo vya Afya vimepokea Wanawake, watoto, Wazee walojeruhiwa ,huku wengine hali zao zikiwa MBAYA.
View: https://youtu.be/_cvN0AYLofs?si=LW7iGmWMm0R_LTMg
Na kodi wamelipa mabwana zako hao wa ccm tu au sio.HIzo hospital zimejengwa na serekali ya CCM,Halafu wanasema hakujafanyika kitu.Piga kabisa,akili itàwaingia
Polisi wetu ni zaidi ya hivyo.Mimi naami polisi sio wajinga kiasi hiki wamkamate bila kosa, tusikimbilie tu kutukana na kulaumu , tuwe wenye kujisahihisha yanapotokea makosa upande wetu
Hahahahahaha nimefurahi namna huyo alivyonyonyolewa na kupigwa Tanganyikajeki kudadeki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hospital ya Wilaya na Vituo vya Afya vimepokea Wanawake, watoto, Wazee walojeruhiwa ,huku wengine hali zao zikiwa MBAYA.
View: https://youtu.be/_cvN0AYLofs?si=LW7iGmWMm0R_LTMg