Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu
Naamini kuwa , na ninajua kuwa kabla sijafikisha miaka 50 tutakuwa tushaongozwa na jeshi ., kwangu itakuwa furaha na hakika nitaingia kwenye system kama kiongozi mkubwa .

Nimeandika leo tarehe 10/09/2023 naomba nikumbushwe siku ikifika .

Weekend hii nipo nakunywa supu baada ya purukushani za usiku , sasa wewe nichukulie serious nikung'oe meno

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu.

Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani.

UPDATE:
Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu na walinzi wake wote, Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge, Suzan Kiwanga na Mwandishi wa Jambo TV (Oscar).
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Kwenye nchi za watu weusi inataka moyo wa chuma kutetea raia wake ambao kimsingi hata hawaelewi haki zao na faida ya mwanaharakati kama tundu lissu, freeman Aikaeli, John pambalu, twaha mwaipaya na wengine wengi.. Itafika wakati mapinduzi yafanywe na wachache tu tukitegemea watanzania waandamane kudai haki hapo hatutaweza

Kifuatacho ni Chama kuandaa mbinu kabambe za kukabiliana na ccm pasipo nguvu ya umma maana umma wenyewe hawana meno ndio maana serikali inajitafunia nchi inavyotaka.. Tundu lissu inabidi ajuwe kuwa hao anaowatetea ndohaohao wakishapewa ardhi ya ngorongoro watamshukuru Samia Kwa kuwaacha waendelee kuishi ndani ya hifadhi kuliko lissu aliepambana kuwatetea
Hamna Serikali yoyote ambayo inaweza kuruhusu kundi au mtu flani asitii sheria za nchi.Ata tungekua sisi CHADEMA ndiyo tupo Ikulu tusingeweza kuruhusu mambo ya hivyo ya hivyo.
 
Naamini kuwa , na ninajua kuwa kabla sijafikisha miaka 50 tutakuwa tushaongozwa na jeshi ., kwangu itakuwa furaha na hakika nitaingia kwenye system kama kiongozi mkubwa .

Nimeandika leo tarehe 10/09/2023 naomba nikumbushwe siku ikifika .

Weekend hii nipo nakunywa supu baada ya purukushani za usiku , sasa wewe nichukulie serious nikung'oe meno

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Una umri Gani?
 
Nakubali sana kiongozi sana! Usinisahau kwenye Cabinet hata kacheo uchwara, siku nitakufata na kukunong'oneza "MIMI NDO HOHEHAHE, YULE MSELA MAVI KULE JF!..." NAKUPA TANO UNANIPA TEUZI, TUNAONGOZA NCHI KWA MISINGI NA TARATIBU 😅👍🏾
 
Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu.

Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani.

UPDATE:
Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu na walinzi wake wote, Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge, Suzan Kiwanga na Mwandishi wa Jambo TV (Oscar). Polisi wanaendelea kuwatafuta wengine walio ambatana na Tundu Lissu Wilayani Karatu
View attachment 2744826

Hiyo ndiyo faida yake, anashindwa kuachana na siasa akaishi na familia yake,
 
Back
Top Bottom