Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu.
Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani.
UPDATE:
Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu na walinzi wake wote, Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge, Suzan Kiwanga na Mwandishi wa Jambo TV (Oscar). Polisi wanaendelea kuwatafuta wengine walio ambatana na Tundu Lissu Wilayani Karatu
View attachment 2744826
Mwanzo wa ngoma ni lele. Watabana lakini wataachia. Tuendelee kupaza sauti. Kama vipi tuanze kuhamasishana nchi nzima kuanzia Chadema matawini.
Updates mfululizo zitatosha kuwapa utambulisho wa dhamira zetu safari hii.